M23 wakamata mji FARDC na washirika wak wakimbia

M23 wakamata mji FARDC na washirika wak wakimbia

Hapa nasikia Harufu ya North and South Kive Republic![emoji1787][emoji1787]
Ukiona Serikali inaanza ku target Raia wake kama BASHIR kule SUDAN alicho kifanya Darfur basi hivo.

Mark my Word!
Tarehe 27/01/2023
True
 
Usijitoe akili mpuuzi wewe, unafikir 1994 wahutu walikaribia kuwamaliza watusi wote kwa sababu walikuwa wanawapenda, na nani amesema watanzania wanachukia watusi mpuuzi sana wewe
1994 waliuawa wahutu wengi kuliko watusi
 
Akili za kipuuzi hizi, endelea kujitoa ufahamu
Takwimu ni kwamba waliuawa watu 1m,wengi wao watusi,wachache wahutu wasio na msimamo mkali,lakini mwaka 1994 palikua na watusi laki nane tu rwanda,ingekua kweli waliouawa wengi watusi pasingekua na mtusi Leo Rwanda
 
ao jamaa wanatisha kama mpaka sasa majeshi kama Kenya,Munusco n,k bado wanajiuma kucha kuwafurusha hao awagusiki,gusa unate.
Hapa kuna mchezo unachezeshwa na watu fulani, bahati mbaya wanaochezewa hawajui kama wanachezewa na anayechezesha yupo pembeni anakuja kuongea na wewe mwenyewe.

Hatimaye DRC inaenda kupasuka na yale maneno ya PK kuwa anaonekana ni mdogo kumbe ni dubwana kubwa yanaenda kuoneka baadaye kidogo.

Note this for future reference!.
 
Mbona JWTZ chini ya Mwakibolwa aliwachapa mpaka wakakimbilia Rwanda kipindi cha JK.

Hawakupata acha uongo. Waliingia makubaliano tu wakaondoka. Hao utawachapa mpaka lini?. Maana hawaishi.
 
huelewi lolote kuhusu hilo unatakiwa kujua kwann genera mwakibolwa chini ya JwTz aliwasambaratisha ,serikali yetu ilikumbana na nn baada yakikwete akiwa mwenyekiti jumuia ,baada yakubaili kanuni

Aliwasmbaratisha wapi?. Mbona leo wapo? SULUHISHO sio kusambaratisha, SULUHISHO ni kuondoa genocide ya watusi.
 
Wewe unauelewa unachokifanya hapa.

Hao wanataka kupata mamlaka kamili ya Kivu Kusini kama wewe ni serikali upo tayari kuwaachia?

Kama serikali inawaua watusi kwa Nini wasiombe serikali mpya?
 
Upo tayari kuwaachia Rwanda wautawale mkoa wa Kagera?

Mfano tofauti. Kule Kuna genocide ya watusi. Fuatilia Vita vya banyamulenge tangu 1996. Halafu fautilia Vita vya Jean Claude Ondekane aliyefika mpaka Kinshasa dhidi ya Kabila.
 
Back
Top Bottom