Moronight walker
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 3,103
- 4,704
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaeza twambia waliendaje pale walipo kama we unajua? au umerkia na kuaandika tu? kwahiyo Wahaya na Wasukuma wakianza kuua na kukimbiza Wahangaza wa Ngara na Kigoma solution ya Selikali ni kuwarudisha Burundi sio?je wakidai kuondoka na ardhi yao? kasome historia sio unakurupuka tu!.hao watusi kwa nin wang'ang'anie kukaa kweny nchi ambayo kiasili sio yao? Nchi yao rwanda si ipo lakn? Hata kama ni sababu serikali ya congo imewaharass, ni sababu kiasili hapo sio kwao, solution ni kurudi kwny ardhi yao mama.
Umeona?na wengi wao wako hapa Bongo! as long as wameshajua kiswahili basi wamekua wabongo. Damu za watu ziawaumbua. Tsisekedi amesha wafanya kuwa mstali wambele vitani kupigana na m23 inawakamata kila siku.Wabongo hawaandiki kiswahili kibovu kama wewe unayetumia UHONI na UHONGO, sema tuu wewe ni FDLR umekuja kutembeza propaganda zenu za sumu
Sehemu wakishaingiaga hao jamaa ni majanga tuKenya wanafanya nini Congo [emoji1078]
daah we jamaa wewe sawa unajua sana katika nyanja hizo za kikandaCongo anapaswa kuwa mtoto wetu pendwa kama ilivyo Burundi ni muda sasa wa kujitanua na nadhani tunapaswa kufanya hivyo Kwa sasa.
Waafrika tuna matatizo sana na roho mbaya. Kwani hao Watutsi wanaoishi Congo wakitambuliwa kama raia na wanafuata sheria za nchi tatizo lipo wapi? Congo na ukubwa wote hata wasomali wangehamia kule luna tatizo gani wakati yote ni Afrika.hao watusi kwa nin wang'ang'anie kukaa kweny nchi ambayo kiasili sio yao? Nchi yao rwanda si ipo lakn? Hata kama ni sababu serikali ya congo imewaharass, ni sababu kiasili hapo sio kwao, solution ni kurudi kwny ardhi yao mama.
Naijua vizuri sana historia ya maeneo hayo na nimeisoma 1994 Genocide vizuri sana, huwezi kunidanganya chochote au kunilisha propaganda😃😃😃😅😅😅 kumbe wewe ni mtutsi.
Unajifanya mbongo.
Still bado mnachuki.
Hakuna mtu anachofurahia ukatili uliyofanywa na interahamwe pale rwanda
Hiyo ongelea wewe ndugu.Vipi silent genocide ya Banyamulenge, ongelea hilo pia sio kila siku kusingizia Rwanda
Weka hapa huo mkataba?mikataba si ipo au,hujui kama kuna makubaliano unahisi ao M23 wamekurupuka kudai wanachodai?
Wako pale tangu miaka ya 1800 na kabla ya uhuru leo unaambia sio raia, akili za kipuuzi kama hizi ndio maana migogoro ya kipumbavu Africa haiishi, ukabila wa kishamba kama wako utawamaliza wajinga kama wewehao watusi kwa nin wang'ang'anie kukaa kweny nchi ambayo kiasili sio yao? Nchi yao rwanda si ipo lakn? Hata kama ni sababu serikali ya congo imewaharass, ni sababu kiasili hapo sio kwao, solution ni kurudi kwny ardhi yao mama.
Genocide gani wanafanyiwa? RPF mnashambulia raia halafu mnaeneza propaganda kwamba ni FARDC. Asiefahamu janja yenu mtamyumbisha.Nchi yao iwafurushe waende wapi? kwa akili ya Congolese kama wewe ndio maana wanapigana, nawaunga mkono sana M23 na ikibidi sasa wasiishie tuu kuwatoa, wajikatie kipande chao watangaze uhuru kabisa then vita ianze kupigwa rasmi kam Eritrea na Ethiopia or Sudan na South Sudan, huwezi kuwafanyia wananchi wako genocide ukafikiri na wewe utapona
Hao ni waasi huwa hawana sare rasmi chamsingi liwe gwanda tuMbona bendera ya begani ni ya jeshi la DRC?
Mr. Putin kumbe na wewe ni Mtusi!M23 wakamata mji wa Kishanga tena, Jeshi la Congo na washilika wake FDLR,MAIMAI NYATULA,CODECO,MAIMAI YAKUTUMBA NA WAZUNGU MERCENARIES waliopewa kazi na DRC wakimbia.
M23 yatangaza vita rasmi kupambana na hivo Vikosi kwa kuwa wanafanya Mauaji ya kuwalenga Watusi,Hema na wanaozungumza Kinyarwanda kwa ujumla yani Genocide!.
Serikali ya DRC ICC inawasubilia.
View attachment 2497047View attachment 2497050
View attachment 2497051View attachment 2497052View attachment 2497053
Watutsi wachukiwe kwa sababu gani?Boss unaonekana uko hapa kueneza propaganda tuu na unaonekana hupendi watusi
Serikali ya Congo haiui Watutsi wala Wahutu. Congo ina makabila zaidi ya 200 haijawahi taka kuua hata mojawapo. Ni Rwanda tu yenye makabila matatu, mawili kati ya hayo yanawindanahao watusi kwa nin wang'ang'anie kukaa kweny nchi ambayo kiasili sio yao? Nchi yao rwanda si ipo lakn? Hata kama ni sababu serikali ya congo imewaharass, ni sababu kiasili hapo sio kwao, solution ni kurudi kwny ardhi yao mama.
Nilikua nao kwenye simu mkataba wa Luanda nausaka,ila ntaupata tu ntauweka hapa.Weka hapa huo mkataba?