Tetesi: M23 wamepewa kichapo na wamerudishwa nyuma baada na za Vikosi Maalum vya DRC kuingia Goma

Za chini ya carpet ni kwamba team ya special force ya M23 ipo mjini nyumba hadi nyumba, mtalo hadi mtalo. Kazi moja ni kunyang’anywa silaha. Ya pili wanajuana wenyewe huko huko
 
Naona raia wanawashangilia rebels, what is the meaning of this? Why are the refugees fleeing to Rwanda of all the places? Aren't they supposed to be enemies?
Uwoga,m23 wanakuchukua,wanakuvisha jezi zao,wanakuingiza kundini kwa nguvu, wanawake hubakwa,kwenda Rwanda sababu ni karibu na pana uhakika wa usalama,hata wamarekani walipoingia iraq walishangiliwa kisha wakashambuliwa
 
hahahaha tuache kuishi kwa historia, mfumo wa vita umebadirika sana sasa hivi.
Na tuwe makini sana kujiingiza kwenye hizi vita, kuna watu wana hamu sana na sisi.
Naongea kwa kiburi sana,hakuna watu wenye hamu ya vita na Tanzania kwa sababu mbili.

Moja hatuna shida na mtu yoyote

Mbili na muhimu Kuipiga Tanzania na kuishinda ni ngumu sana.
Ukionesha dalili za kuishinda jiandae kupigana na nchi nyingi sana.
Sababu Tanzania Ina marafiki Afrika Tanzania inayegemewa na Dunia nzima kama chombo Cha kutunza amani ya nchi za ukanda wa maziwa makuu Afrika.
 
"Wazalendo" waliotekwa wote ni FLDR walikuwa recruited na Tshisekedi kwa lengo la kufanya Genocide nyingine Kongo.

So called Wazalendo ni Interahamwe ni vipi Jeshi letu JW lipigane bega kwa bega na Interahamwe.

Iundwe tume ichunguze hii blunder.
 
"Wazalendo" waliotekwa wote ni FLDR walikuwa recruited na Tshisekedi kwa lengo la kufanya Genocide nyingine Kongo.

So called Wazalendo ni Interahamwe ni vipi Jeshi letu JW lipigane bega kwa bega na Interahamwe.

Iundwe tume ichunguze hii blunder.
Rwanda afanye mazungumzo na FDRL wamalize tofauti zao, vivyo hivyo na Congo, eneo hilo liwe na amani.
 
Tatizo linaanza Juu Li nchi likubwa sana hili afu Raisi amekomaa upande mmoja tu pengine kama pame sahaulika inabidi likatwe ziwe nchi 2 au 3

Option nyingine ilkua Drc kujivika mabomu kushambulia Rwanda direct hili nalo lazima li backfire maana Congo ni kubwa jinga
 
Uongo mtupu Jeshi la DRC ni mdebwedo dubwi debwee dubwana 🤣🤣🤣
 
KAMBA/UONGO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…