Tetesi: M23 wamepewa kichapo na wamerudishwa nyuma baada na za Vikosi Maalum vya DRC kuingia Goma

Mageneral wawe front!!!!?,vita ipi hyo mtu anaweka mageneral wake front.kwanza wengi ni watu wazima sana na wanalindwa.Alafu unajua mageneral wakiangushwa vitani askari wanakosa moral.hata vita za zamani za mapanga shaa generals walikuwa hawakai front
 
Leo asubuhi Askari wa M23 wamekamata kituo cha mpakani kati ya Goma na Gisenyi nimeona video zao wakipiga magoti na kusali.
Kagame anaidai nini Drc ?...mbona anaivuruga sana hivyo?
 
Hunijui sikujui kweni Ututsi ni uraia?
Wewe hata kama ni mtanzania mwenye asili ya kitutsi lakini una vinasaba vya uhaini.

Kwenye Tz huwa unasimama kwenye u-CCM na u-Chadema.

Kwenye utaifa huwa unasimama Rwanda na hujawahi kuficha hili!

Siku haya mataifa mawili yakipigana utakimbilia Rwanda na kuipigania.

Wewe ni mhaini wa wazi! Una vinasaba vyote vya uhaini.
 
Rhumba na Kitaulo Wamuachie Nani?
 
Naunga mkono hoja jamaa ni mnyarwanda.
 
Wewe Shombe wa Kiarabu usinichukie hunijui sikujui.
Hata uruke uruke vipi bado haiondoi maana kuwa wewe ni mhaini wa hili Taifa.

Unaupenda Ututsi kuliko utanzania. Uwepo wako kwenye taifa la Tanzania ni najisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…