M23 ya Rwanda yapata kipigo. Wamekufa viongozi wao muhimu sana

nakuunga mkono 100%.
ila mkuu ogopa mamluki,mamluki wakijipenyeza ndani ya nchi na serikali ni kazi kuwabaini.
ugumu wanaokutana nao jeshi la Congo kupambana na M23 ni jeshi la Congo kuwa na mamluki wa M23 waliojipenyeza ndani ya serikali na jeshi miaka mingi iliyopita.
hofu yangu ni hiyo.
 
Jichanganye tu we Kagame
Wewe akili huna, kwa nchi masikini za Afrika hakuna anayepigana akabaki na unafuu wa maisha, kama sasa hivi tunalalamika chakula ni ghali, tukiingia vitani itakuwa mara mbili au tatu.

Mwisho kabisa, wanajeshi wana ndugu, wana familia. Hakuna mtu anayependa kumpoteza ndugu yake hasa familia, endelea kukaza matako ili ufurahie Tanzania kuingia vitani ukidhani vita ni kama kunywa maji.
 
Felix Tshisekedi atimize ahadi yake Sasa ya kwenye kampeni ya kukafurusha hako ka pussy Kagame
 
Jichanganye tu Rwanda igeuke Kata ya Kigoma
 
Felix Tshisekedi atimize ahadi yake Sasa ya kwenye kampeni ya kukafurusha hako ka pussy Kagame
Kwa makakati uliowekwa m23 watajutia matendo yako ya kishenzi ndani ya congo. Saa hizi kagame kichwa kinamuuma jinsi gani atawapokea hao kenge wake wa M23 na kila wakati anakataa kuwa hausiki. Yaani wangeweka mkakati atakaye wapokea M23 ale kichapo tu.
 
Burundi nae akiwashe
 
Narudia tena.....RWANDA AFANYE UJINGA WAKE KWA CONGO NA BURUNDI ILA SIO TANZANIA. asijaribu kuigusa mipaka ya nchi hii....atajuta mbwa huyu.
Aiguse mara ngapi kama naibu waziri mkubwa ni kijana wake
 
Narudia tena.....RWANDA AFANYE UJINGA WAKE KWA CONGO NA BURUNDI ILA SIO TANZANIA. asijaribu kuigusa mipaka ya nchi hii....atajuta mbwa huyu.
Hahahaha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wapeni vichwa tu!
 
Mbona hushangai waisraeli wako milion 9 ila wanatishia middle east yenye raia milion 400.

Israel wana jeuri ya mabeberu same to Rwanda jamaa ana jeuri ya mabeberu.
 
Habari za kusadikika.
 
Huko mipakani tuna wachonyota Kila mala🤣 uliza wananchi wa Karagwe Wana habari hii hasa kwenye lile Ziwa Lilo mpakani na Rwanda, sema tunawafinya kimyakimya
 
Huko mipakani tuna wachonyota Kila mala🤣 uliza wananchi wa Karagwe Wana habari hii hasa kwenye lile Ziwa Lilo mpakani na Rwanda, sema tunawafinya kimyakimya
Hakuna kitu kizuri kama kujifariji,endelea kujifariji
 
Good move.
 
Uko sawa kabisa,na nakubaliana na wewe mia kwa mia pia.ila usiifananishe congo na Tanzania,
Congo iliharibiwa na Mobutu na Kupelekea kua rahisi kuingiliwa na mamluki wa kigeni.
Tanzania tulikua tunajua mapema uwepo wa mamluki na ndio maana kagame alipoiinulia mabega Tanzania,kikwete akachukua hatua Kali na za haraka kuwaondoa wahamiaji haramu aliokua anawategemea kagame.
Lakini Mobutu yeye alikua anaangalia pesa TU,sio taifa.
 
Tanzania ujinga ni mwingi sana uwezo wa ku reason ni mdogo.
Rwanda avamie Congo then Tanzania. duh
Mnafikiri hawezi, kama hamas wamedefeat israel jeshi lililokuwa likiaminika kuww ndo jeshi bora kabisa
 
Mbona hushangai waisraeli wako milion 9 ila wanatishia middle east yenye raia milion 400.

Israel wana jeuri ya mabeberu same to Rwanda jamaa ana jeuri ya mabeberu.
Ha ha haa,
Mbona mazingira ni tofauti kabisa kati ya Israel na Rwanda.

Kama ni kweli kua Nia ya Rwanda ni kuzipiga nchi na kuweka Bahima basi mabeberu hawatakua upande wa kagame,kwa sababu mabeberu wao wanamtaka kagame kwa sababu ya malighafi TU,na malighafi wanaweza kuipata hata bila ya Bahima.
Wakati Israel yenyewe inapigana sio kuweka empire yake Bali ni kujilinda baada ya kuwakandamiza wapalestina.

Kagame ni rafiki wa mabeberu sawa lakini pia Tanzania ni tegemeo la mabeberu katika masuala ya mabeberu kwa ajili ya amani ya nchi za ukanda wa maziwa.

Pia Tanzania ni rafiki wa mabeberu na upande mwingine ni rafiki wa akina Urusi na china.hivyo kagame akiungwa mkono na mabebeu Tanzania na wenzake wataungwa mkono na akina Urusi na china.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…