M23 ya Rwanda yapata kipigo. Wamekufa viongozi wao muhimu sana

Na JK alishawaambia SADC kama mnashindwa niacheni niazishe baraa mpaka Kigari au huyu jamaa aongee na Hawa watu wake, bifu ndio lilianzia Hapa.
 
lee Vladimir cleef hofu yangu juu ya mamluki wa nje ya nchi kujipenyeza ndani ya serikali na nyumba nyeupe CDF kapita mulemule.
 
Mimi ningekuwa Rais wa Tanzania Kagame ningemtengenezea Tukio na kumtoa madarakani kwa nguvu,watusi ni Human animals
 
Unataka kureason Nini wakati vitu viko wazi. Au haujui kama M23 upo Congo. Unajua kutumia Google ? Basi jifunze kutumia Google alafu tafuta Makala za Hima Empire na M23

tajira hilo achana nalo!! unapoteza muda wako bure
 
Kwamba Lengo la PK na M7 ni kuitawala Tz hii ninayo ifahamu??
Naamini wewe ndio hujui historia au nguvu ya kila Nchi katika ukandaa huu wa Africa Mashariki.
Nenda kajifunze zaidi, acha hizo habari za kusadikika.

we jamaa akili umekalia

Watutsi wa rwanda waliungana na m7 kuivamia rwanda .Pk akachukua nchi

Tena
rwanda na uganda na waasi waliungana wakavamia DRC (kipindi cha mobutu) wakaiangusha serikali ya kongo wakamuweka Laurent kabira (akazingua wakamuua) wakamuweka joseph kabila huyu ndo katoka kwa uchaguzi!!

Rwanda na washikrika wake waliichafua burundi had leo burundi ina kundi la waas la red tabara linapigana na serikali ya burundi!!

unajua kwann hivi sasa Burundi imefunga mipaka yake???

sasa sema nn kinashindikana hapo!!

Kama hujui sikiliza afu katafute taarifa usijifanye mjuaji
 

naona sisiemu wanazinduka kua kuna wageni wa nchi jiran wameshika vitengo
 
sasa wewe ata kama ndio

Sasa wewe hata kama ndio ushabiki unazidisha sasa Tanzania itavamiwa kwa kipi hasa hatuna kinyongo na nchi yyte sisi.

Acheni uchochozi wa kijinga.
Kwani wakati anatoa maneno ya kijinga kwa jk tulimkosea nini? Kagame ni dictator na ana uchu wa rasilimali za nchi nyingine
 
... umeelewa MKAKATI?
... kwanza wanateka na kuzitawala Burundi na Kongo na kujiimarisha kiuchumi na kiteknolojia,

... THEN TANZANIA FOLLOWS!
QUITE PLAUSIBLE! πŸ’€πŸ’€πŸ’€β˜ οΈ
Hawaelewi hii ni longterm plan, hata israel wakati anakuja kununua ardhi kidogo kidogo kama mkimbizi kwa waarabu, hakuna angeamini ungemwambia kama hwa jamaa kuna siku watawatwala hawa waarabu na kuanzisha nchi yao, watu wana malengo ya 50 to 100 years to come,
Sasa kama mtu anapenyeza watu wake hadi kwenye sensitive organs za nchi huoni kwamba amejipanga?
 
Pamoja na watu wengi kupnga kuw M23 ikmalz congo na ugand itaingia Tz na cc wa Tz tukajion tuko vzr kvp nawez nisikubali moja kwa moja kwa reason moja M23 wapo kwenyereal uwanj wa vita miak na mikak , wanafany real practice kwahyo wakzm Tz tunawez kaangwa kdogo
 
we husomi hata nakala??

mjinga hapa ni ww!! mm naelewa nn wachangiaji wanaongea!!

Anza kutafuta hayo wanayoongea utayapata shida unazan wananena kwa lugha
Ondoa ujinga wako na stori za vijiweni.
Kwa akili za kitoto Rwanda anaweza kuvamia Tanzania. Ficha ujinga wako basi. Kwa kipi mlichonacho watanzania au kwa uwezo gani alionao Rwanda. Nonsense kabisa
 
Na hawatajaribu sababu pamoja na m23 kua uwanja wa Vita lakini tulishawabalasa congo wakarudi Rwanda. Kagame akanuna na Uzuri alikutana na msela wetu kikwete akawa anamcheka kidhungu tu. Alipoona utawala wa msela umepita na mwamnyange hayupo karudisha kwato za m23 Kongo. Ila safari hatajuta watu walikua wanalinda amani tu Sasa hivi Ni kuwapelekea Moto wa uhakika. Wachague mawili tu warudi Rwanda wacongo waishi kwa Amani au wabaki wafe kibudu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…