MBOKA NA NGAI
JF-Expert Member
- Jan 31, 2025
- 350
- 576
Ni uongo Tanzania na Africa kusini zikiamua kushambulia Rwanda hakuna mifumo ya ulinzi wa kuizuia uharibifu.Taarifa zinazotoka mjini Goma, ni kukamatwa kwa watu kutoka Afrika kusini, waliosafiria Passport za Tanzania, kuelekea Goma.
Inasemekana, lengo lilikuwa kudukuwa mifumo ya ulinzi inayolinda anga la Rwanda.
Kupitia picha zinazosambaa, inasemekana walipofika Goma, walitumia magari ya MONUSCO.
Vyombo vya usalama na Intelijensia ya M23,iliweza kuwakamata na mpaka sasa, wapo mikononi mwao.
Acha kuizarau Rwanda mkuuNi uongo Tanzania na Africa kusini zikiamua kushambulia Rwanda hakuna mifumo ya ulinzi wa kuizuia uharibifu.
Hakuna walichojipangaAcha kuizarau Rwanda mkuu
Jamaa wapo vizuri tusijivunia jografia ya kimaeneo
Jamaa wamejipanga wana silaha nzito na mafunzo ya kutosha
Sisi tuendelee na maombi viwanja wa Leaders
Video uione wewe maswali utuulize sisiAisee kuna clip 1 mbaya snaa nmeiona ya huko Congo jamaa mwanajesh mmoja anawau watu kadhaa kwa kuwapiga na chuma zito kichwani then wanachoma bendera ya congo, wale jamaa ni nani? Mana bendera yao ni nyeusi ina maneno ya kiarabu
Wanaua watu halafu wanataka kuwapandikiza waislam,Wawe wazi Wana tamaa na kongo.Uislam au uarabu na kongo wapi na wapiAisee kuna clip 1 mbaya snaa nmeiona ya huko Congo jamaa mwanajesh mmoja anawau watu kadhaa kwa kuwapiga na chuma zito kichwani then wanachoma bendera ya congo, wale jamaa ni nani? Mana bendera yao ni nyeusi ina maneno ya kiarabu
Uongo mtupuTaarifa zinazotoka mjini Goma, ni kukamatwa kwa watu kutoka Afrika kusini, waliosafiria Passport za Tanzania, kuelekea Goma.
Inasemekana, lengo lilikuwa kudukuwa mifumo ya ulinzi inayolinda anga la Rwanda.
Kupitia picha zinazosambaa, inasemekana walipofika Goma, walitumia magari ya MONUSCO.
Vyombo vya usalama na Intelijensia ya M23,iliweza kuwakamata na mpaka sasa, wapo mikononi mwao.
Baba yako kakamatwa na M23, usiwe mbali na TV uone anavyokabidhiwa huko alikofanya maajabu. Mwanae na wewe unahangaika, bahati mbaya hata kumuokoa huwezi.Uongo mtupu
Kwani simlijalibu mkashindwa? Nani alikuwa analinda airport ya Goma, Nani alirusha makombora Rwanda, 🤔Ni uongo Tanzania na Africa kusini zikiamua kushambulia Rwanda hakuna mifumo ya ulinzi wa kuizuia uharibifu.
Hamna kitu.Acha kuizarau Rwanda mkuu
Jamaa wapo vizuri tusijivunia jografia ya kimaeneo
Jamaa wamejipanga wana silaha nzito na mafunzo ya kutosha
Sisi tuendelee na maombi viwanja vya Leaders
Watakuwa ADF wale waasi WA Uganda.Aisee kuna clip 1 mbaya snaa nmeiona ya huko Congo jamaa mwanajesh mmoja anawau watu kadhaa kwa kuwapiga na chuma zito kichwani then wanachoma bendera ya congo, wale jamaa ni nani? Mana bendera yao ni nyeusi ina maneno ya kiarabu
M23 wana mifumo gani ya anga. Hawa walevi hawajapa wanaume tu wawape kipigo Cha mbwa Koko.Taarifa zinazotoka mjini Goma, ni kukamatwa kwa watu kutoka Afrika kusini, waliosafiria Passport za Tanzania, kuelekea Goma.
Inasemekana, lengo lilikuwa kudukuwa mifumo ya ulinzi inayolinda anga la Rwanda.
Kupitia picha zinazosambaa, inasemekana walipofika Goma, walitumia magari ya MONUSCO.
Vyombo vya usalama na Intelijensia ya M23,iliweza kuwakamata na mpaka sasa, wapo mikononi mwao.
Wanaua watu halafu wanataka kuwapandikiza waislam,Wawe wazi Wana tamaa na kongo.Uislam au uarabu na kongo wapi na wapi