Tetesi: M23 yawakamata Hackers kutoka Afrika Kusini

MBOKA NA NGAI

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2025
Posts
350
Reaction score
576
Taarifa zinazotoka mjini Goma, ni kukamatwa kwa watu kutoka Afrika kusini, waliosafiria Passport za Tanzania, kuelekea Goma.

Inasemekana, lengo lilikuwa kudukuwa mifumo ya ulinzi inayolinda anga la Rwanda.

Kupitia picha zinazosambaa, inasemekana walipofika Goma, walitumia magari ya MONUSCO.

Vyombo vya usalama na Intelijensia ya M23,iliweza kuwakamata na mpaka sasa, wapo mikononi mwao.
 
Ni uongo Tanzania na Africa kusini zikiamua kushambulia Rwanda hakuna mifumo ya ulinzi wa kuizuia uharibifu.
 
Aisee kuna clip 1 mbaya snaa nmeiona ya huko Congo jamaa mwanajesh mmoja anawau watu kadhaa kwa kuwapiga na chuma zito kichwani then wanachoma bendera ya congo, wale jamaa ni nani? Mana bendera yao ni nyeusi ina maneno ya kiarabu
 
Wanaua watu halafu wanataka kuwapandikiza waislam,Wawe wazi Wana tamaa na kongo.Uislam au uarabu na kongo wapi na wapi
 
Taarifa zinazotoka mjini Goma, ni kukamatwa kwa watu kutoka Afrika kusini, waliosafiria Passport za Tanzania, kuelekea Goma.

Inasemekana, lengo lilikuwa kudukuwa mifumo ya ulinzi inayolinda anga la Rwanda.

Kupitia picha zinazosambaa, inasemekana walipofika Goma, walitumia magari ya MONUSCO.

Vyombo vya usalama na Intelijensia ya M23,iliweza kuwakamata na mpaka sasa, wapo mikononi mwao.
Uongo mtupu
 
Acha kuizarau Rwanda mkuu
Jamaa wapo vizuri tusijivunia jografia ya kimaeneo
Jamaa wamejipanga wana silaha nzito na mafunzo ya kutosha
Sisi tuendelee na maombi viwanja vya Leaders
Hamna kitu.
 
Aisee kuna clip 1 mbaya snaa nmeiona ya huko Congo jamaa mwanajesh mmoja anawau watu kadhaa kwa kuwapiga na chuma zito kichwani then wanachoma bendera ya congo, wale jamaa ni nani? Mana bendera yao ni nyeusi ina maneno ya kiarabu
Watakuwa ADF wale waasi WA Uganda.
Museveni ana jeshi congo Kwa ajili yao.
 
Taarifa zinazotoka mjini Goma, ni kukamatwa kwa watu kutoka Afrika kusini, waliosafiria Passport za Tanzania, kuelekea Goma.

Inasemekana, lengo lilikuwa kudukuwa mifumo ya ulinzi inayolinda anga la Rwanda.

Kupitia picha zinazosambaa, inasemekana walipofika Goma, walitumia magari ya MONUSCO.

Vyombo vya usalama na Intelijensia ya M23,iliweza kuwakamata na mpaka sasa, wapo mikononi mwao.
M23 wana mifumo gani ya anga. Hawa walevi hawajapa wanaume tu wawape kipigo Cha mbwa Koko.
 
Wanaua watu halafu wanataka kuwapandikiza waislam,Wawe wazi Wana tamaa na kongo.Uislam au uarabu na kongo wapi na wapi

Uislamu ni kero duniani, kule Kibiti mliua kwa nia ipi, Msumbiji mpaka leo mnaua tu, Nigeria, Chad, Somalia, DRC kila popote hiyo dini imegusa ni mauaji na kuchinja watu.
Mohamed mwenyewe muasisi wa uislamu aliisambaza kwa kutumia upanga na mauaji, mnafanya mavitu yanayo mshangaza shetani
 
Back
Top Bottom