Ma brother wa miaka 35+ hebu tupeni wadogo zenu, ushauri wowote wa kuhusu maisha

Well done Mkuu 💐💐💐
 
Usitegemee pesa ya kula ambayo haipo mfukoni kwako kama cash utakuja kulala na njaa kimasihara..

Pesa haitafutwi inawekewa mtego alafu unatulia zako, sisi ambao tulikosea kuweka mtego Wacha tuendelee kuzitafuta
Hii imeenda aisee.... acha kabisa mimi kama ningeweka mitego ungakuta sahivi nina billion kadhaa ki uhakika. Kwakuwa nilikosewa mtego naendelea kuzisaka
 
Daah mm Bado ntapitia wait till I turn 50 mdogo angu
 
Usitegemee pesa ya kula ambayo haipo mfukoni kwako kama cash utakuja kulala na njaa kimasihara..

Pesa haitafutwi inawekewa mtego alafu unatulia zako, sisi ambao tulikosea kuweka mtego Wacha tuendelee kuzitafuta
Akili nyingi sana mkuu
 
1. Ndoa zinachangamoto nyingi. Jitahidi kumuelewa mwenzako. Kuachana liwe chaguo la mwisho kabisa. Hasa kama mmeshazaa watoto.

2. Epuka kujiringanisha na mtu. Pambana kuwa wewe bora wa leo, kuliko wewe wa jana. Mashindano ktk maisha yatakufanya uishi maisha ya maumivu.

3. Usiogope wala kuona aibu kwenda kwa mganga kama itakubidi.

4. Mafanikio hayaji kwa kufanya kazi kwa bidii tu. Ni muunganiko wa mambo mengi. Bahati pia inahusika.
 
1.Panga kuwa na familia mapema.
2.Get started kwa shunghuli yeyote ya kukuingizia kipato, hii itakujengea uzoefu wa biashara mapema na kukujengea stable source of income.
3.Kama umeshaanza kufanya kitu cha kijasiriamali, fikiria namna ya kufanya tofauti na wengine ili kujikuza zaidi.
4.Ziangatia mtindo bora wa maisha kulinda afya yako, kula kila kitu kwa kiasi, fanya mazoezi na uwe active kila siku, pendelea kutembea, Lima bustani, panda ngazi badala ya lift.
5.Jitaftie elimu ya ufundi kama umemaliza chuo kikuu, ukipata kamtaji jiajiri elimu cha chuo itakusaidia.
 
Hiyo na 6 nimejionea ni kweli kabsa mjapan/mzungu ukiajiriwa ni kweli umepata ajira.

NB:Mbususu ziliwe.
 
Point 1 issue ni kumpata mtu sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…