Ma brother wa miaka 35+ hebu tupeni wadogo zenu, ushauri wowote wa kuhusu maisha

Mi nilijua unataka neno la busara
Kumbe ulilenga kiuchumi zaidi..
Mana katika umri huo watu washapata busara zao na wakufanikiwa ama wa kukosa washakosa na wamejua maisha ni nini hasa
ndicho nilicho kilenga, Soma mwanzo wa Uzi uelewe vizuri.

nime uliza wewe pale ulipo mquote Jamaa uka sema 30 bado sana!
 
Wewe unajisifu kubaki njia kuu, kula mademu as much as you can broo

Sambaza hao wazungu 🤣unabeba uzito kwenye mbupu
ndio maana mimi na wewe ni mbingu na ardhi, wakati wewe una pambania mbususu zaidi,

Mimi na aim kuongeza na kuboresha portfolio zangu😊, halafu bado una fikiria vile vile ulivyo kuwa dogo😁😂
 
Kiuchumi, kama afya unayo huo ni mtaji, kama unatokea kijijini Lima mazao kama miti, ndizi, matunda mbalimbali nk utapata riziki ya rejareja na jumla pia
 

ahsante sana kwa Ushauri wako mzuri...
Tutayafuata haya.
 
sahihi pia, nina watu hata hapa jf nime waona.
 
Usiogope kiwekeza kibiashara
Hasara au kufeli kusikurudshe nyuma
Chagua mambo 3/2 uwe bora @.
Don't date mwanamke alipanga na hana kazi stable
-dont pay bill ya mwanamke yoyote (either she is your wife)
Be private but not jealous & smart
Jifunze na wasikilze wakubwa waliofanikiw
-kula healthy na fanya zoez 3times per 10days
-Hama kwenu at any cost
-fanya utafutaji nje ya nyumbn (maeneo uliyokulia)

!.n.k
 
Hapa umetema madini Sana mkuu
 
spleen hii nili isoma nika ielewa, ila nime isoma Tena Nika kubali una jua bro 🔥 🔥
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…