Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
- Thread starter
-
- #61
ngoja ni paste kwenye notebook kabisa.1.kitu cha muhimu kutafuta ni afya Bora,physica,psychological,social
2.Kitu Cha pili cha kutafutq ni maarifa sahihi kuhusu kutafuta pesa,yaani hata kama umeajiriwa serikalini usiende kusoma kuwatishia wenzako,nenda kusoma ili uongeze income,opportunity etc
3.ukimaliza na hayo hapo juu tafuta familia ya mke mmoja,aliye bikiria.
Ni pimbi tu ,ataenda kutoa mahali kwa mwanamke aliyekwisha tumika na wenzake,Binti amepigwa blowjob za kutosha hostel huko, wewe unaenda kumpigia magoti,acha huu ufala
4.Uwekezaji,hata ulipwe milioni 20,ama ufanya biashara update faida ya milioni 100,kama hauwekezi kwenye Bonds,real estate,Stocks,Kuna siku utakuja kua masikini tena ombaomba mkubwa sana
5.ukifanikiwa kupata watoto walee ili waje wapambane na Dunia,na sio uwalee kwa kuwarahisishia changamoto za Dunia
Ukifanya hayo hapo kabla haujafika 35 utaweza kutatua 95% ya matatizo ambayo vijana na wazee huyapata
But kwenye uhalisia kibongo bongo ama east Africa vijana under 28 kumiliki Ata IST ni wachache kwenye kumi mmojaUnafikiri vina umri basi. Kikubwa pumzi.
Kina Mwijaku na Baba Levo wote ni 40 lakini mpaka leo wanatembea vitambi nje na kubusu makalio ya wanaume wenzao ili wale.
Usisubiri ufike umri fulani ndio uanze. Wewe ukipata fursa hata ukiwa na 18 tusua tu ila haimaanishi ukifika 35 huna muelekeo ndio umefeli.
Unaweza kuja kutusua na 50+.
Colonel Sanders katusia akiwa na miaka 65, leo hii mnaenjoy KFC wakati muanzilishi alisulubika na maisha mpaka kutoka kimaisha akiwa na 65 yrs.
Hili nalo nenopunguza kuwa mwema!
MMaskini hauna Tuzo
sawa gentleman,Wewe tlatla ushauri wako naomba vijana waupuuze tu bwashee.
😁😁😁AiseeeUta shangaa Lucas Mwashambwa na Tlaatlaah nao wana kuja kuji fanya waalimu, aisee hatu taki
View attachment 3276425
Kosa la kwanza ni hili, kujimithilisha na wengine ama kuweka uhalisia fulani kwa ujumla.But kwenye uhalisia kibongo bongo ama east Africa vijana under 28 kumiliki Ata IST ni wachache kwenye kumi mmoja
Si kila mtu ni wa kuheshimu wengine wafanyie dharau/wapimie kama wanavokufanyiaKuna mambo makuu ma 5 ya kuzingatia katika maisha 1 . Kumtegemea MUNGU ( kuwa mtu wa ibada ) 2. Kumuheshimu kila mtu 3.Uaminifu 4.Kufanya kazi kwa bidii 5.nidhamu ya pesa katika matumizi na akiba
Kama hauna mwanamke wa kueleweka vijana mnaojitafuta bora mpige puchu tu, kuliko kuwa na manzi ukiomba namba yake tu gesi inaisha , nywele zake zifumuka na mama yake anameza shoka.Achaneni na wanawake matapeli, msikimbilie kufunga pingu za maisha na mwanamke tu eti kwa kigezo ana tako na ni mrembo, tafuteni fursa mbalimbali nnje ya mipaka ya nchi yenu , kama hauvunji sheria za nchi na kutweza utu wa mtu usiogope chochote , hata hicho kingereza chako cha ugoko unaweza vimba nacho kikakukutanisha na fursa za maana tu........ itaendelea
Hilo gazeti lako silisomi Mr gentleman 🐒 elezea kwa ufupi.sawa gentleman,
ila kaa ukijua hua sikoseagi kushauri vijana kabisa,
na sipendi kijana afikie ile hatua ya life forces eti ndio aanze kujitafuata. Hua inasikitisha, inafedhehesha na kukatisha tamaa sana aise, hadi huruma....,
anyway,
ikikupendeza,
we kuwashauri waungane na wale vibaka wa kisiasa no reform no elections, huku pia wakiwa wanatapeliwa kidigitali pesa zao kidogo kwa kampeni ya mchongo ya tone tone,
kwakweli watajikuta wamekua na maisha magumu na ya kimaskini zaidi huku, hao vibaka wa siasa wakiendelea kunywa wisky na kufakamia nyama choma kwa wingi kwa furaha sana,
Na si unajua tena chairman mpya anavyopenda spirit? nyagi na wisky plus nyama choma? hapendagi usumbufu kabisa
Qmmae🤣Ushauri wangu, usisikilize ushauri wa mtu yeyote, utakuja kunishukuru
Usichague kazi kasoro ushoga,ujambazi,means any haram work achana nayo.siku zote usiwe mwepesi wa kukata tamaa.