Ma brother wa miaka 35+ hebu tupeni wadogo zenu, ushauri wowote wa kuhusu maisha

Mtoto akililia wembe mpe,Kua uyaone mwenyewe utajua kuzaa au kutozaa ni kipi deal pale kipara kitatoka kwa ada za EMS na kutoa kitambi cha stress na mkeo kutoa matako makubwa na kujaa mafuta hata dudu yake inakuwaje search now or later
 
CCM ya nyokoko
 
Sisi wenyewe mabroo zako bado tunajitafuta. Ndio maana Bro etu mkubwa TID analingia kuishi kwa mamake Kinondoni
 

Chadema wanakunyima usingizi
 
8.

Kwa daresalama ni kweli mkuu.
 
1. Jali afya yako sana.
a) Tumia zana kwa kila tendo.
b) Usitumie bangi, sigara, au mihadarati
c) Tunza afya ya akili kwa kujiweka mbali
na mtu au chochote cha kukuvuruga
d) Usipige nyeto
Pombe mbona hujaitaja? Au pombe fresh ila sigara no? Wakati zote zipo kundi moja ingawa pombe ni zaidi ya sigara ndio maana unaambiwa pombe sio sigara, au hujui pombe ndio inayoongoza kwa kuivuruga akili?
 
Kwa nini wasipige nyeto? Toa mbadal wa upwiru ulio Salama kwa pesa na afya zaidi ya nyeto kiongozi.
 
Mpaka hapa mkuu nina miaka 35 sijaoa changamoto niliyokumbana napata
wenza ambao ni dini Tofauti na mimi ambayo mzazi wangu alikataa kata nisioe hiyo dini Ata kama yeye akiwa amefariki kweli 🥵alishafariki. Ila wanawake naopata ni wa hiyo hiyo dini Niko njia panda kichizi
 
Kama alikutapeli mganga anaeshinda na shuka nyekundu msituni huna ya kushauri mtu hapa.
Lucas vipi bhana.
mafanikio mtu kutokana na bidii, uaminifu, neema na baraka za Mungu hudumu sana na daima huambatana na furaha na amani maisha yote,

ukijichanganya kutumia ndumba, ramli na ushirikina kwasababu ya uvivu na tamaa zako za mafanikio bila kufanya kazi, utaishia kudhulumu uhai wa miongoni mwa wanafamilia yako na hatimae utaishi maisha ya hofu na yasiao na amani wala uhakika wa kesho maisha yako yote.

ushirikina ni kitu mbaya sana ambayo wavivu hupendelea kuitumia kama njia ya mafanikio.

Mwenyezi Mungu akuepushe na roho ya ushirikina gentleman
 
Wewe Mrogi acha maneno zako.
Ulifata Nini kwa Mganga ?
Hukuends kuuwa mpinzani wa nafasi ya ugombea wenza wewe.
 
Wewe superfeo akikusikia🤣Yani umiliki basi 50 alafu usiroge, do you know road logistics competition lakini huu ni mfano
 
Pombe ina shida gani tofauti na akili ya mtu anae itumia hiyo pombe?
The same kwa sigara na bange shida si bichwa tu la mtu, kuna watu pombe zinawakata na wapo zinazowakubari sasa wewe km mbichwa wako ukigundua pombe haikai tafuta stimu nyingine inayokuweka sawa ila pombe sigara zote level 1 ingawa pombe sio sigara maana pombe ipo juu ya sigara na madhara ya pombe ni zaidi ya sigara ndio maana unaambiwa kunywa glass 2 tu kwa afya ila watu wanapiga bapa 4 mpaka 10 kwa siku 1 unategemea akili yake itakuaje?
 
Unaongea vitu vya ajabu ambavyo kwa dunia ya kwanza ni ujinga tu
 
Pombe kidogo na bangi mimi navuta fresh tu ,wehu wengi tu wanatumia hivi vitu wanavishusha thamani yake ndani ya jamii.
 
Hawataki kubadili dini kukufuata?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…