Niwaheri
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,994
- 4,729
Ila we jamaa unachekesha eti jalalaniJalalani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila we jamaa unachekesha eti jalalaniJalalani
Kwa mada zako. Njia nyepesi ni submit materials zako kwenye radio ndogo kama mjini fm uwe unaalikwa kama guest speaker au hata guest host mwenye kipengele maalum..
Then utakuwa unatega camera au unaweza muomba producer wa kipindi akupe clips zako baada ya kipindi na utapost whattsap na kwenye mitandao ya kijamii mingine.
Kwa mada controversial unazoandika humu, utaenda mjini kirahisi maana content zako ni sharable haswa kwa group kubwa la wanaume ila inabidi uwe na ngozi ya chuma maana kwenye controversies lolote linaweza kutumika dhidi yako hususani kama mkeka wako sio msafi
Hongera sana kwa maandiko yako kutumiwa na Ma recturer vilaza japo haujapata acknowledgement yoyoteNaam MKUU.
Tafuta editors, graduates wa kozi za filmmaking
Huwa inasikitisha sana kuona mtu ana potential kama wewe halafu anaichezea
Angalia watu wenye mapodcast huko youtube watafute
Hongera sana kwa maandiko yako kutumiwa na Ma recturer vilaza japo haujapata acknowledgement yoyote
Ni yeye huyu anatufanya watoto hapa 😹😹Taja chuo na jina la lecturer ili tujue ni kweli ama wewe ni Robert mwenyewe!!
Hapo sasaVip kama Huyo Robert Heriel ndiye alie Copy kutoka kwa huyo Lecturer. Na haku recite source.?
Ni kawaida, wasioweza kuongea vizuri sana hususani introverts huwa best writers.Kuongea Mimi sio mzuri Sana Mkuu🤓🤓
Ila najifunza huu mwaka wa kumi 😅😅
Wengi humu wanacopy na kupaste sema wachangiaji hatupendi kufatilia..!Vip kama Huyo Robert Heriel ndiye alie Copy kutoka kwa huyo Lecturer. Na haku recite source.?
Jamaa msumbufu aseh 😂Jina la lecturer
Atupe jina la lecturer tumwangalie km ni yeye kweliJamaa msumbufu aseh 😂
Mtag Robert Heriel MtibeliWakuu nipo Venue hapa kuna MTU anasoma nyuzi za Robert Heriel na kujifanya ni za kwake huku akijisifu.
Hakika JF sasa ni zaidi ya chuo.
Hivi wanafunzi wa masters utawadanganya kirahisi hivi!
Acha achukue maujiko tu, ametufungua mengi mnoWengi humu wanacopy na kupaste sema wachangiaji hatupendi kufatilia..!
Kuna mmoja humu ana nyuzi za kuwa sema wanawake anachofanya anazichukua huko kisha anazitranslate anakuja kujisifia km zake tunamchora Ila tunamuacha ajichukulie maujiko..!!
Ngoja atakupa majibuAtupe jina la lecturer tumwangalie km ni yeye kweli
Hakuna kusoma Lala (HKL)...🤣🤣🤣Hatusomi Kufaulu Lazima(HKL)
Ndo masomo yenu yanaendana na nyuzi za Mtibeli.