Ma -Lecturer wengi acheni kukopi nyuzi za JF na kufundisha katika Venue, mnaonekana hamna uwezo

Ma -Lecturer wengi acheni kukopi nyuzi za JF na kufundisha katika Venue, mnaonekana hamna uwezo

Sio kama kuna tatizo. Vyote alivyofanya ni sahihi. Tunasoma vitabu mbalimbali na sehemu mbalimbali mitandaoni ili kuongeza maarifa na ufahamu. Na tukishaupata na kuulewa tunawajulisha na wengine hasa the next generation to us. Hakuna dhambi hapo heko kwa Mwamba.

Akisema aweke acknowledgements kwa anachozungumzia anampa nani sifa hizo? Asiyejulikana? Asilimia kubwa humu hatujulikani hivyo inaondoa mamlaka ya umiliki wa andiko lolote. Acha jamaa apige kazi ajichotee sifa. JF ni kisima cha maarifa ingawa na ujinga uko mwingi🤣
 
Kwa mada zako. Njia nyepesi ni submit materials zako kwenye radio ndogo kama mjini fm uwe unaalikwa kama guest speaker au hata guest host mwenye kipengele maalum..

Then utakuwa unatega camera au unaweza muomba producer wa kipindi akupe clips zako baada ya kipindi na utapost whattsap na kwenye mitandao ya kijamii mingine.

Kwa mada controversial unazoandika humu, utaenda mjini kirahisi maana content zako ni sharable haswa kwa group kubwa la wanaume ila inabidi uwe na ngozi ya chuma maana kwenye controversies lolote linaweza kutumika dhidi yako hususani kama mkeka wako sio msafi

Kuongea Mimi sio mzuri Sana Mkuu🤓🤓

Ila najifunza huu mwaka wa kumi 😅😅
 
Tafuta editors, graduates wa kozi za filmmaking

Huwa inasikitisha sana kuona mtu ana potential kama wewe halafu anaichezea

Angalia watu wenye mapodcast huko youtube watafute

Itabidi nitafute filmmaker alafu nimsapoti vyombo vya Kazi kisha ideas zilizopo kichwani ziwe presented kwenye picha za mijongeo
 
Vip kama Huyo Robert Heriel ndiye alie Copy kutoka kwa huyo Lecturer. Na haku recite source.?
Wengi humu wanacopy na kupaste sema wachangiaji hatupendi kufatilia..!

Kuna mmoja humu ana nyuzi za kuwa sema wanawake anachofanya anazichukua huko kisha anazitranslate anakuja kujisifia km zake tunamchora Ila tunamuacha ajichukulie maujiko..!!
 
Wengi humu wanacopy na kupaste sema wachangiaji hatupendi kufatilia..!

Kuna mmoja humu ana nyuzi za kuwa sema wanawake anachofanya anazichukua huko kisha anazitranslate anakuja kujisifia km zake tunamchora Ila tunamuacha ajichukulie maujiko..!!
Acha achukue maujiko tu, ametufungua mengi mno
Natafuta ajira .
 
Back
Top Bottom