Huu ni ukorofi aiseee Sasa taifa pale sisi tutaenda kupiga show mchana ya kumsifu YesukristoNa nimeona katika Tangazo lao Kubwa kuwa Mgeni rasmi atakuwa ni Muislamu Mwenzao Rais Samia Suluhu Hassan na litafanyika tarehe 9 April, 2023 ambayo Wakristo wote akina GENTAMYCINE ( Zanaki and Makuwa Think Tank ) ndiyo tutakuwa tunesheherekea Siku Kuu yetu Muhimu na Kubwa ya Pasaka ( Kufufuka kwa Mkombozi Wetu ) Yesu Kristo.
Nimekaa pale sasa tayari kusubiria Majibu yenu na pia Kusoma Maoni yenu kama Great Thinkers hapa JamiiForums.
Endeleeni kutafuta Watu ubaya Oky?
Hii hoja yako imepitwa na wakati mkuu.Wakristo huwa hatuna shida maana Mungu wetu ni Mkubwa.
Hao wengine ni wadhaifu sana
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Aiseee!!!...ingekuwaje sikukuu ya Eid el Fitr iangukie JUMAPILI au Siku ambayo wakristo wamepanga kutekeleza tukio lao,Inamaana mambo mengine yangepaswa kusimama au kutofanyika kabisa kisa tu kuna dini nyingine imeandaa tukio lao?...nadhani unapaswa kutafakari vyema kabla ya kuleta hiki unachoona kama "ushindani"usio namaana wala mustakabali mzuri kwa Watanzania na Nchi kwa ujumla.Na nimeona katika Tangazo lao Kubwa kuwa Mgeni rasmi atakuwa ni Muislamu Mwenzao Rais Samia Suluhu Hassan na litafanyika tarehe 9 April, 2023 ambayo Wakristo wote akina GENTAMYCINE ( Zanaki and Makuwa Think Tank ) ndiyo tutakuwa tunesheherekea Siku Kuu yetu Muhimu na Kubwa ya Pasaka ( Kufufuka kwa Mkombozi Wetu ) Yesu Kristo.
Nimekaa pale sasa tayari kusubiria Majibu yenu na pia Kusoma Maoni yenu kama Great Thinkers hapa JamiiForums.
Endeleeni kutafuta Watu ubaya Oky?
Labda uwe specific unaongelea pwani gani mkuu. Ila Kama ni pwani ya Tanga, Dar, Zanzibar, Lindi na Mtwara kwa maoni yangu ni vile tu wakristo wameamua kuwa wapole ilakama wangekuwa wanapenda kushindana, mambo yasingekuwa kama ulivyosema.Uko sahihi pwani na wakristi tunaishi nao vizuri kabisa
,ili jumapili hii ya pasaka waheshimu wenzao wakristo washerekee sikukuu yao ambayo waliisubiria kwa siku 40(kwaresma
mimi sijaona shida yoyote...
Ni ndugu kabisa, wapo wakristo ndugu zao waislamu, mama wakubwa, mama wadogo, wajomba, Shangazi, baba wakubwa, baba wadogo, zipo nyumba familia moja, utakuta kuna majina ya kikristo na ya kiislamu.Uko sahihi pwani na wakristi tunaishi nao vizuri kabisa
Ndio nikamwambia atapata tabu bure, si ajabu hata wapo wakristo wamefadhili hayo mashindano, na wapo watakao hudhuria, na wengine ni viongozi wa kikristo.Sasa hi hoja yako in Uhusiano gani na thread ya mleta mada mkuu?
Basi Kama ulishindwa kusoma kilichoandikwa si ungesoma tu tittle ungeelewa anakusudia kusema Nini?
Swali ni kwa Nini kilele Cha siku ya Quran iwe siku ya maadhimisho ya pasaka? Kwa nini wasingevuta ikawa jumapili ile nyingine, ili jumapili hii ya pasaka waheshimu wenzao wakristo washerekee sikukuu yao ambayo waliisubiria kwa siku 40(kwaresma)?
Hivyo ndivyo ilipaswa kuwa. Ni swala la ustaharaabu tu,na si kushindana.
Hakuna mtu anayemiliki Siku! Sioni mantikiNa nimeona katika Tangazo lao Kubwa kuwa Mgeni rasmi atakuwa ni Muislamu Mwenzao Rais Samia Suluhu Hassan na litafanyika tarehe 9 April, 2023 ambayo Wakristo wote akina GENTAMYCINE ( Zanaki and Makuwa Think Tank ) ndiyo tutakuwa tunesheherekea Siku Kuu yetu Muhimu na Kubwa ya Pasaka ( Kufufuka kwa Mkombozi Wetu ) Yesu Kristo.
Nimekaa pale sasa tayari kusubiria Majibu yenu na pia Kusoma Maoni yenu kama Great Thinkers hapa JamiiForums.
Endeleeni kutafuta Watu ubaya Oky?
Hakuna ubaya wao watamaliza maadhimisho yao watakuja kujiuga kula pilau na sisi