Maadhimisho na Kilele cha Usomaji Quran kufanyika Siku ya Pasaka ni Dharau na Uchokozi kwa Wakristo au ni Utaratibu tu?

Maadhimisho na Kilele cha Usomaji Quran kufanyika Siku ya Pasaka ni Dharau na Uchokozi kwa Wakristo au ni Utaratibu tu?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Na nimeona katika tangazo lao kubwa kuwa mgeni rasmi atakuwa ni Muislamu Mwenzao Rais Samia Suluhu Hassan na litafanyika tarehe 9 Aprili, 2023 ambayo Wakristo wote akina GENTAMYCINE (Zanaki and Makuwa Think Tank) ndiyo tutakuwa tunasheherekea Siku Kuu yetu Muhimu na Kubwa ya Pasaka (Kufufuka kwa Mkombozi Wetu) Yesu Kristo.

Nimekaa pale sasa tayari kusubiria majibu yenu na pia kusoma maoni yenu kama Great Thinkers hapa JamiiForums.

Endeleeni kutafuta Watu ubaya Oky?
 
Utajipa tabu bure na kujiumiza kichwa, sehemu nyingi Tanzania, hasa sehemu za Pwani, ndani ya familia moja wamechanganyika wakristo na waislamu, na wanashirikiana kwenye furaha na huzuni, usishangae kwenye mashindano ya Qur'an kukuta wa dini zote wapo.

Na mashindano yakimalizika ni saa saba, wakiondoka hapo wote kwa pamoja wanakwenda kutembea kwenye Pasaka.

Kuna wakati kulikuwa na jirani zangu ni waislamu, wakawa wamefiwa na mjukuu wao, kufika mjukuu ni mkristo na maiti imeletwa kwa babu yake muislamu, wakachanganyika waislamu na wakristo, bila kubaguana.
 
Na nimeona katika Tangazo lao Kubwa kuwa Mgeni rasmi atakuwa ni Muislamu Mwenzao Rais Samia Suluhu Hassan na litafanyika tarehe 9 April, 2023 ambayo Wakristo wote akina GENTAMYCINE ( Zanaki and Makuwa Think Tank ) ndiyo tutakuwa tunesheherekea Siku Kuu yetu Muhimu na Kubwa ya Pasaka ( Kufufuka kwa Mkombozi Wetu ) Yesu Kristo.

Nimekaa pale sasa tayari kusubiria Majibu yenu na pia Kusoma Maoni yenu kama Great Thinkers hapa JamiiForums.

Endeleeni kutafuta Watu ubaya Oky?
pasaka ni kufufuka kwa Yesu?
Mi ninavyojua pasaka ni maadhimisho ya Waisrael kutoka misri utumwani

Kutoka12:12 Maana nitapita kati ya nchi ya Misri usiku huo, nami nitawapiga wazaliwa wa kwanza wote katika nchi ya Misri, wa mwanadamu na wa mnyama; nami nitafanya hukumu juu ya miungu yote ya Misri; Mimi ndimi Bwana.

13 Na ile damu itakuwa ishara kwenu katika zile nyumba mtakazokuwamo; nami nitakapoiona ile damu, nitapita juu yenu, lisiwapate pigo lo lote likawaharibu, nitakapoipiga nchi ya Misri.

14 Na siku hii itakuwa ukumbusho kwenu, nanyi mtaifanya iwe sikukuu kwa Bwana; mtaifanya iwe sikukuu katika vizazi vyenu vyote, kwa amri ya milele.

15 Mtakula mikate isiyochachwa muda wa siku saba; siku hiyo ya kwanza mtaondoa chachu yote isiwe katika nyumba zenu kabisa; kwa kuwa mtu ye yote atakayekula mkate uliochachwa tangu siku hiyo ya kwanza hata siku ya saba, nafsi hiyo atakatiliwa mbali na Israeli.

16 Siku ya kwanza kutakuwa kwenu na kusanyiko takatifu, na siku ya saba kutakuwa kusanyiko takatifu; haitafanywa kazi yo yote katika siku hizo, isipokuwa kwa hiyo ambayo kila mtu hana budi kula, hiyo tu ifanyike kwenu.

17 Nanyi mtaitunza ile sikukuu ya mikate isiyochachwa; kwa kuwa katika siku iyo hiyo mimi nimeyatoa majeshi yenu katika nchi ya Misri; kwa hiyo mtaitunza siku hiyo katika vizazi vyenu vyote, kwa amri ya milele.

18 Mwezi wa kwanza, siku ya mwezi kumi na nne, wakati wa jioni, mtakula mikate isiyochachwa, hata siku ya mwezi ishirini na moja jioni.

19 Muda wa siku saba isionekane chachu katika nyumba zenu kabisa; kwa kuwa mtu ye yote atakayekula hiyo iliyotiwa chachu, nafsi hiyo atakatiliwa mbali na mkutano wa Israeli, akiwa mwenye kukaa hali ya ugeni, au akiwa mtu aliyezaliwa katika nchi.

20 Msile kitu chochote kilichochachwa; mtakula mikate isiyochachwa katika makao yenu yote.

21 Hapo ndipo Musa akawaita wazee wa Israeli, na kuwaambia, Nendeni, mkajitwalie wana-kondoo kama jamaa zenu zilivyo mkamchinje pasaka.

22 Nanyi twaeni tawi la hisopu, mkalichovye katika ile damu iliyo bakulini na kukipiga kizingiti cha juu, na miimo miwili ya mlango, kwa hiyo damu iliyo katika bakuli; tena mtu ye yote miongoni mwenu asitoke mlangoni mwa nyumba yake hata asubuhi.

23 Kwa kuwa Bwana atapita ili awapige hao Wamisri; na hapo atakapoiona hiyo damu katika kizingiti cha juu, na katika ile miimo miwili, Bwana atapita juu ya mlango, wala hatamwacha mwenye kuharibu aingie nyumbani mwenu kuwapiga ninyi.

24 Nanyi mtalitunza jambo hili kuwa ni amri kwako na kwa wanao milele.

25 Itakuwa hapo mtakapoifikilia hiyo nchi, Bwana atakayowapa, kama alivyoahidi, ndipo mtakapoushika utumishi huu.

26 Kisha itakuwa, hapo watoto wenu watakapowauliza, N'nini maana yake utumishi huu kwenu?

27 Ndipo mtawaambia, Ni dhabihu ya pasaka ya Bwana, kwa kuwa alipita juu ya nyumba za wana wa Israeli huko Misri, hapo alipowapiga Wamisri, akaziokoa nyumba zetu. Hao watu wakainama vichwa na kusujudia.

28 Basi wana wa Israeli wakaenda na kufanya mambo hayo; vile vile kama Bwana alivyowaamuru Musa na Haruni, ndivyo walivyofanya.

29 Hata ikawa, usiku wa manane Bwana akawapiga wazaliwa wa kwanza wote katika nchi ya Misri, tangu mzaliwa wa kwanza wa Farao aliyeketi katika kiti chake cha enzi, hata mzaliwa wa kwanza wa mtu aliyefungwa katika nyumba ya wafungwa; na wazaliwa wa kwanza wote wa wanyama.

30 Farao akaondoka usiku, yeye na watumishi wake wote, na Wamisri wote; pakawa na kilio kikuu katika Misri; maana hapakuwa na nyumba hata moja asimokufa mtu.
 
Utajipa tabu bure na kujiumiza kichwa,sehemu nyingi Tanzania,hasa sehemu za Pwani,ndani ya familia moja wamechanganyika wakristo na waislamu,na wanashirikiana kwenye furaha na huzuni,usishangae kwenye mashindano ya Qur'an kukuta wa dini zote wapo.
Na mashindano yakimalizika ni saa saba,wakiondoka hapo wote kwa pamoja wanakwenda kutembea kwenye Pasaka.
Kuna wakati kulikuwa na jirani zangu ni waislamu,wakawa wamefiwa na mjukuu wao,kufika mjukuu ni mkristo na maiti imeletwa kwa babu yake muislamu,wakachanganyika waislamu na wakristo,bila kubaguana.
Uko sahihi pwani na wakristi tunaishi nao vizuri kabisa
 
Mheshimiwa kwani Kuna tatizo gani? Mbona mechi zinachezwa hata siku ya sikukuu..Unaonekana bado ni ule umri wa kwenda kutembea beach kila sikukuu na kwenda kweny mabar sijui mnaita disco.

Sikukuu tulia kwako ya wengine hayakuhusu ! Hakikisha una furahi na familia yako pamoja na jirani basi mengine itakuwa ni umbea ..Kwani mashindano ya Qur an yanafanyika nyumbani kwako?
 
Na nimeona katika Tangazo lao Kubwa kuwa Mgeni rasmi atakuwa ni Muislamu Mwenzao Rais Samia Suluhu Hassan na litafanyika tarehe 9 April, 2023 ambayo Wakristo wote akina GENTAMYCINE ( Zanaki and Makuwa Think Tank ) ndiyo tutakuwa tunesheherekea Siku Kuu yetu Muhimu na Kubwa ya Pasaka ( Kufufuka kwa Mkombozi Wetu ) Yesu Kristo.

Nimekaa pale sasa tayari kusubiria Majibu yenu na pia Kusoma Maoni yenu kama Great Thinkers hapa JamiiForums.

Endeleeni kutafuta Watu ubaya Oky?
Kwani huo usomaji utakuwa unafanyika Tanzania nzima mpaka wakuzie wewe kusherehekea pasaka yako
 
Na nimeona katika Tangazo lao Kubwa kuwa Mgeni rasmi atakuwa ni Muislamu Mwenzao Rais Samia Suluhu Hassan na litafanyika tarehe 9 April, 2023 ambayo Wakristo wote akina GENTAMYCINE ( Zanaki and Makuwa Think Tank ) ndiyo tutakuwa tunesheherekea Siku Kuu yetu Muhimu na Kubwa ya Pasaka ( Kufufuka kwa Mkombozi Wetu ) Yesu Kristo.

Nimekaa pale sasa tayari kusubiria Majibu yenu na pia Kusoma Maoni yenu kama Great Thinkers hapa JamiiForums.

Endeleeni kutafuta Watu ubaya Oky?
Lete kifungu kinachoonesha kua pasaka ni kufufuka kwa huyo mnaemuita .....
 
Utajipa tabu bure na kujiumiza kichwa,sehemu nyingi Tanzania,hasa sehemu za Pwani,ndani ya familia moja wamechanganyika wakristo na waislamu,na wanashirikiana kwenye furaha na huzuni,usishangae kwenye mashindano ya Qur'an kukuta wa dini zote wapo.
Na mashindano yakimalizika ni saa saba,wakiondoka hapo wote kwa pamoja wanakwenda kutembea kwenye Pasaka.
Kuna wakati kulikuwa na jirani zangu ni waislamu,wakawa wamefiwa na mjukuu wao,kufika mjukuu ni mkristo na maiti imeletwa kwa babu yake muislamu,wakachanganyika waislamu na wakristo,bila kubaguana.
Sasa hi hoja yako in Uhusiano gani na thread ya mleta mada mkuu?

Basi Kama ulishindwa kusoma kilichoandikwa si ungesoma tu tittle ungeelewa anakusudia kusema Nini?

Swali ni kwa Nini kilele Cha siku ya Quran iwe siku ya maadhimisho ya pasaka? Kwa nini wasingevuta ikawa jumapili ile nyingine,ili jumapili hii ya pasaka waheshimu wenzao wakristo washerekee sikukuu yao ambayo waliisubiria kwa siku 40(kwaresma)?

Hivyo ndivyo ilipaswa kuwa. Ni swala la ustaharaabu tu,na si kushindana.
 
9 April, 2023 ambayo Wakristo wote akina GENTAMYCINE ( Zanaki and Makuwa Think Tank ) ndiyo tutakuwa tunesheherekea Siku Kuu yetu Muhimu na Kubwa ya Pasaka

Na wao siku hiyo itakuwa ni siku ya maadhimisho yao ya kilele cha usomaji wa Qur'an tukufu.

Hakuna tatizo wakati nyinyi mkifurahia ufufuko wa Bwana Yesu na wao ili wasiwe wanyonge basi Washerehekee kwa kuadhimisha kilele cha Usomaji wa kitabu kitukufu cha Mungu, Qur'an.

Nadhani siku hiyo itakuwa ni siku ya furaha kwa Wakristo sambamba na Waisilamu na hiyo ndio Tz ya amani.
 
Back
Top Bottom