Maadhimisho na Kilele cha Usomaji Quran kufanyika Siku ya Pasaka ni Dharau na Uchokozi kwa Wakristo au ni Utaratibu tu?

Vita yenu na WaKatoliki ( sina uhakika kuhusu KKKT na Anglikana) inaendeleaje!?
hatuna vita mkuu, ni katika kuhubiri injili, tatizo tunakuwa wawazi sana. kukemea wale wanajiita wakristo lakini mafundisho ya kristo wanayakanyaga.
ndo tunawauliza hapa vipi.
 
Na nimeona katika tangazo lao kubwa kuwa mgeni rasmi atakuwa ni Muislamu Mwenzao Rais Samia Suluhu Hassan na litafanyika tarehe 9 Aprili, 2023 ambayo Wakristo wote akina GENTAMYCINE (Zanaki and Makuwa Think Tank) ndiyo tutakuwa tunasheherekea Siku Kuu yetu Muhimu na Kubwa ya Pasaka (Kufufuka kwa Mkombozi Wetu) Yesu Kristo.

Nimekaa pale sasa tayari kusubiria majibu yenu na pia kusoma maoni yenu kama Great Thinkers hapa JamiiForums.

Endeleeni kutafuta Watu ubaya Oky?
Kuna matukio na maadhimisho ya kikistu hasa katika kanisa katoliki Rais Samia amealikwa na amehudhuria.
Sasa waislamu wameona mara nyingi analikwa na wakristu na hata pasaka wameona wakristu wanaweza kumwalika,hivyo wakatumia mwanya huo kumzuia asishiriki na wakristu.
Kwa maana nyingine ni wivu tuu
 
Hayo unayoyasema sifahamu umeyatowa wapi, soma kipande hiki kidogo ...

Uislamu ndiyo dini pekee nje ya Ukristo yenye kipengele cha imani ya kumwamini Yesu Kristo. Yesu, alayhi salaam, ametajwa mara ishirini na tano ndani ya Quran na ana daraja la heshima pamoja na Mitume wengine wakubwa wa Mwenyezi Mungu.
Usikatae hayo niliyoyatoa yamo katika mafundisho ya uislamu kuwa Allah na malaika wake wanamswalia Mohammad na pia waumini ni lazima kumswalia Mohammad... halafu unashangaa kuwa shetani hapigwi mawe na mahujaji kweli? Halafu iweje Yesu na Issa wametofautiana sana?
 
Na nimeona katika tangazo lao kubwa kuwa mgeni rasmi atakuwa ni Muislamu Mwenzao Rais Samia Suluhu Hassan na litafanyika tarehe 9 Aprili, 2023 ambayo Wakristo wote akina GENTAMYCINE (Zanaki and Makuwa Think Tank) ndiyo tutakuwa tunasheherekea Siku Kuu yetu Muhimu na Kubwa ya Pasaka (Kufufuka kwa Mkombozi Wetu) Yesu Kristo.

Nimekaa pale sasa tayari kusubiria majibu yenu na pia kusoma maoni yenu kama Great Thinkers hapa JamiiForums.

Endeleeni kutafuta Watu ubaya Oky?
Kuna wakati huaga nashangaa ww unapojiita great thinker una maana nyingine zaidi ya hii niijuayo Mimi au!??

Great thinker gani anaweza kuwaza vitu vya kipuuzi namna hi!? Kwani umeambiwa wakristo na waislam wanashirikishana kwenye mambo yao mpk wawe na mda wakupishana katika mambo yao!??

Na ikitokea iddi (sikukuu ya waislam) ikawa jumapili unamaanisha wakristo wasiende kanisani kupisha sikukuu ya waislam!??

Kitazuia kipi asiyekuwa muislam kuendelea na furaha ya sikukuu ya pasaka kwenye hili!??

Au mgeni rasmi aliyealikwa siku hiyo alialikwa kwenye maadhimisho ya pasaka kanakwamba Kuna mkanganyiko juu ya Hilo!?

Jaribu kuwa na mtazamo chanya kwenye baadhi ya vitu, nasio kujitahidi kutafuta faults zisizo namsingi na kuzijijajilisha hapa.
 
Usikatae hayo niliyoyatoa yamo katika mafundisho ya uislamu kuwa Allah na malaika wake wanamswalia Mohammad na pia waumini ni lazima kumswalia Mohammad... halafu unashangaa kuwa shetani hapigwi mawe na mahujaji kweli? Halafu iweje Yesu na Issa wametofautiana sana?
Wanamswaliaje muhammad ili ujue unacho kisema umekielewa vip ?

Nani kakwambia pale waislam wanampiga mawe shetani?

Alafu utofauti ya yesu kwenye bibilia na qur'an ni kwa sababu ya qur'an ineeleza ukweli kumuhusu yesu.
 
Umechanganya mambo. Nakujibu hapa chini kuhusu Salaat ya Mtume kwa ufupi. Kuhusu kupiga mawe "shetani" tazama post inayofatia...

Naam, Allah na malaika wake wanamswalia mtume, ipo kwenye Qur'an 100%, Na sisi tunahimizwa tumsalie mtume. Aya kadhaa kabla ya hiyo, Allah anatufahamisha kuwa yeye na malaika wake wanatuswalia na sisi.

Unafahamu maana ya neno Salaat?

Ungelifaham nadhani hata wewe ungependa malaika na Allah wakuswalie.

. Nakushauri badala ya kujifanya unaujuwa Uislam ungeuliza maswali kwa yanayokutatiza ungepata faida kubwa sana pamoja na wansaotusoma, kuliko kuwa "Islamophobe". Wacha uoga.
 
Usikatae hayo niliyoyatoa yamo katika mafundisho ya uislamu kuwa Allah na malaika wake wanamswalia Mohammad na pia waumini ni lazima kumswalia Mohammad... halafu unashangaa kuwa shetani hapigwi mawe na mahujaji kweli? Halafu iweje Yesu na Issa wametofautiana sana?
Na hii kuhusu kupiga mawe shetani...

Kupiga Mawe kwa Ibilisi ( Kiarabu : رمي الجمرات ramy al-jamarāt , lit. " throwing of the jamarāt [place of kokoto]") [1] [2] [3] ni sehemu ya Hija ya kila mwaka ya Kiislamu ya Hija katika mji mtakatifu. wa Makka huko Saudi Arabia . Wakati wa ibada hiyo, mahujaji wa Kiislamu hutupa kokoto kwenye kuta tatu (zamani nguzo), zilizoitwa jamarāt , katika mji wa Mina mashariki mwa Meka. Ni mojawapo ya mfululizo wa matendo ya kitamaduni yaliyosafishwa ambayo ni lazima yatekelezwe katika Hajj. Ni mfano wa kuigizaHajj ya Ibrahim (au Ibrahimu ), ambapo alipiga mawe nguzo tatu zinazowakilisha Shetani , na majaribu ya Waislamu kuasi matakwa ya Mwenyezi Mungu .

Kupigwa mawe kwa Ibilisi kutoka 1942
Katika Eid al-Adha (siku ya 10 ya mwezi wa Dhu al-Hijjah ), mahujaji lazima wapige Jamarah Kubwa au Al-Jamrah Al-Aqaba kwa kokoto saba. Baada ya upigaji mawe kukamilika siku ya Idi, ni lazima kila hujaji akate au kunyoa nywele zake. [4] Katika kila moja ya siku mbili zifuatazo, lazima wapige kuta zote tatu na kokoto saba kila moja, zikienda kwa mpangilio kutoka mashariki hadi magharibi. Kwa hivyo angalau kokoto 49 zinahitajika kwa ibada, zaidi ikiwa kurusha zingine hukosa. Baadhi ya mahujaji hukaa Mina kwa siku ya ziada, katika hali ambayo lazima tena wapiga mawe kila ukuta mara saba. kokoto zinazotumika katika upigaji wa mawe kwa kawaida hukusanywa huko Muzdalifah , uwanda wa kusini-mashariki mwa Mina, usiku wa kabla ya kurushwa kwa mara ya kwanza, lakini pia zinaweza kukusanywa Mina.
. Soma zaidi: Stoning of the Devil - Wikipedia.
 
Wanamswaliaje muhammad ili ujue unacho kisema umekielewa vip ?

Nani kakwambia pale waislam wanampiga mawe shetani?

Alafu utofauti ya yesu kwenye bibilia na qur'an ni kwa sababu ya qur'an ineeleza ukweli kumuhusu yesu.

Na hii kuhusu kupiga mawe shetani...

Kupiga Mawe kwa Ibilisi ( Kiarabu : رمي الجمرات ramy al-jamarāt , lit. " throwing of the jamarāt [place of kokoto]") [1] [2] [3] ni sehemu ya Hija ya kila mwaka ya Kiislamu ya Hija katika mji mtakatifu. wa Makka huko Saudi Arabia . Wakati wa ibada hiyo, mahujaji wa Kiislamu hutupa kokoto kwenye kuta tatu (zamani nguzo), zilizoitwa jamarāt , katika mji wa Mina mashariki mwa Meka. Ni mojawapo ya mfululizo wa matendo ya kitamaduni yaliyosafishwa ambayo ni lazima yatekelezwe katika Hajj. Ni mfano wa kuigizaHajj ya Ibrahim (au Ibrahimu ), ambapo alipiga mawe nguzo tatu zinazowakilisha Shetani , na majaribu ya Waislamu kuasi matakwa ya Mwenyezi Mungu .

Kupigwa mawe kwa Ibilisi kutoka 1942
Katika Eid al-Adha (siku ya 10 ya mwezi wa Dhu al-Hijjah ), mahujaji lazima wapige Jamarah Kubwa au Al-Jamrah Al-Aqaba kwa kokoto saba. Baada ya upigaji mawe kukamilika siku ya Idi, ni lazima kila hujaji akate au kunyoa nywele zake. [4] Katika kila moja ya siku mbili zifuatazo, lazima wapige kuta zote tatu na kokoto saba kila moja, zikienda kwa mpangilio kutoka mashariki hadi magharibi. Kwa hivyo

Na hii kuhusu kupiga mawe shetani...

Kupiga Mawe kwa Ibilisi ( Kiarabu : رمي الجمرات ramy al-jamarāt , lit. " throwing of the jamarāt [place of kokoto]") [1] [2] [3] ni sehemu ya Hija ya kila mwaka ya Kiislamu ya Hija katika mji mtakatifu. wa Makka huko Saudi Arabia . Wakati wa ibada hiyo, mahujaji wa Kiislamu hutupa kokoto kwenye kuta tatu (zamani nguzo), zilizoitwa jamarāt , katika mji wa Mina mashariki mwa Meka. Ni mojawapo ya mfululizo wa matendo ya kitamaduni yaliyosafishwa ambayo ni lazima yatekelezwe katika Hajj. Ni mfano wa kuigizaHajj ya Ibrahim (au Ibrahimu ), ambapo alipiga mawe nguzo tatu zinazowakilisha Shetani , na majaribu ya Waislamu kuasi matakwa ya Mwenyezi Mungu .

Kupigwa mawe kwa Ibilisi kutoka 1942
Katika Eid al-Adha (siku ya 10 ya mwezi wa Dhu al-Hijjah ), mahujaji lazima wapige Jamarah Kubwa au Al-Jamrah Al-Aqaba kwa kokoto saba. Baada ya upigaji mawe kukamilika siku ya Idi, ni lazima kila hujaji akate au kunyoa nywele zake. [4] Katika kila moja ya siku mbili zifuatazo, lazima wapige kuta zote tatu na kokoto saba kila moja, zikienda kwa mpangilio kutoka mashariki hadi magharibi. Kwa hivyo angalau kokoto 49 zinahitajika kwa ibada, zaidi ikiwa kurusha zingine hukosa. Baadhi ya mahujaji hukaa Mina kwa siku ya ziada, katika hali ambayo lazima tena wapiga mawe kila ukuta mara saba. kokoto zinazotumika katika upigaji wa mawe kwa kawaida hukusanywa huko Muzdalifah , uwanda wa kusini-mashariki mwa Mina, usiku wa kabla ya kurushwa kwa mara ya kwanza, lakini pia zinaweza kukusanywa Mina.
. Soma zaidi: Stoning of the Devil - Wikipedia.
Sasa je inaingia akilini kufanya hivyo? Dini watu wanamezeshwa bila kuhoji
 
Umechanganya mambo. Nakujibu hapa chini kuhusu Salaat ya Mtune kwa ufupi. Kuhusu kupiga mawe "shetani" tazama post inayofatia...

Naam, Allah na malaika wake wanamswalia mtume, ipo kwenye Qur'an 100%, Na sisi tunahimizwa tumsalie mtume. Aya kadhaa kabla ya hiyo, Allah anatufahamisha kuwa yeye na malaika wake wanatuswalia na sisi.

Unafahamu maana ya neno Salaat?

Ungelifaham nadhani hata wewe ungependa malaika na Allah wakuswalie.

. Nakushauri badala ya kujifanya unaujuwa Uislam ungeuliza maswali kwa yanayokutatiza ungepata faida kubwa sana pamoja na wansaotusoma, kuliko kuwa "Islamophobe". Wacha uoga.
Kabla ya Mohammad hakuna nabii wala mtume aliewahi kuswaliwa na Allah hebu nikuambie kitu usikwepe hoja
 
Na sio mtune ni mtume
 
Wanamswaliaje muhammad ili ujue unacho kisema umekielewa vip ?

Nani kakwambia pale waislam wanampiga mawe shetani?

Alafu utofauti ya yesu kwenye bibilia na qur'an ni kwa sababu ya qur'an ineeleza ukweli kumuhusu yesu.
Quran ni kitabu kilichookoteza mno maneno ni kama mlevi anaefoka hebu niambie kwa mujibu wa Quran Yesu alikuwa na wanafunzi wangapi na unitajie hata majina mawili ya wanafunzi wake
 
Quran ina tafsiriwa na hadith sahihi za mtume kuhusu wanafunzi quran imetaja na mtume akataja idadi so labda wewe ndio hujui kua quran imetaja wanafunzi na mtume ametaja idadi ya hao wanafunzi.
 
Kabla ya Mohammad hakuna nabii wala mtume aliewahi kuswaliwa na Allah hebu nikuambie kitu usikwepe hoja
Nime kuuliza swali lakin naona hutaki kujibu ebu nieleze kumswalia mtume kukoje hivi hujui hata mwanaadam anae mswalia mtume nayeye pia ana swaliwa vilevile na Allah?
 
Quran ina tafsiriwa na hadith sahihi za mtume kuhusu wanafunzi quran imetaja na mtume akataja idadi so labda wewe ndio hujui kua quran imetaja wanafunzi na mtume ametaja idadi ya hao wanafunzi.
Nitajie majina mawili tu ya wanafunzi wa Yesu kwa mujibu wa Quran na hadithi
 
Back
Top Bottom