Maadhimisho ya miaka 60 ya muungano na idadi ndogo ya mahudhurio uwanjani, nini tatizo?

Na huo ndio ukweli wenyewe !πŸ™
 
Mbona machadema walioandamana Arusha katikati ya mvua kali?

Kujaza Uwanja hata kuwe na jua la wastani kunahitaji hamasa na kama unabisha waulize wasemaji wa Simba na Yanga dadeki πŸ˜„πŸ˜„
 
kwani Lini watu walijaa ? Kadri miaka inavyozidi kwenda watu wanaendelea kuona hakuna umuhimu wowte. Lini ushawahi kuona watu wamejazana?
Hoja ni hakuna msukumo na watu hawaelewi nini kinafanyika hapo
 
kwani Lini watu walijaa ? Kadri miaka inavyozidi kwenda watu wanaendelea kuona hakuna umuhimu wowte. Lini ushawahi kuona watu wamejazana?
Hoja ni hakuna msukumo na watu hawaelewi nini kinafanyika hapo
Mwamposa anajazaga Lupaso achilia mbali hapo padogo Shamba la bibi πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Watanganyika wanaumizwa na Mboko za wamasai, kuambiwa Zanzibar twende na Passport na mboko kwa wanaokula mchana wakati wa Ramadhani
 
Ina maana mvua yote hiyo hamuioni au ndio yale yale tu kukazafuvu.com?
 
Mbona machadema walioandamana Arusha katikati ya mvua kali?

Kujaza Uwanja hata kuwe na jua la wastani kunahitaji hamasa na kama unabisha waulize wasemaji wa Simba na Yanga dadeki πŸ˜„πŸ˜„
sasa unalinganisha watu 100 na kujaza uwanja una akili timamu?
Kwahiyo shida ni hakuna hamasa na sio Watu wamegoma kisa hawaelewi Muungano?
 
sasa unalinganisha watu 100 na kujaza uwanja una akili timamu?
Kwahiyo shida ni hakuna hamasa na sio Watu wamegoma kisa hawaelewi Muungano?
Kwani watu wanafata kuelewa kitu gani kipya?

Chalamila angeweka Vionjo mbalimbali Uwanja ungekuwa mdogo ule

Very simple

Watu 100 kwa Taasisi kama Chadema ni Wengi Sana ukilinganisha na Watu 10,000 (capacity) wa Shamba la Bibi kwenye Shughuli ya serikali Yenye Marais zaidi ya 10 na Mabalozi wa Dunia nzima, Usiwe tutusa dogo!
 
Sasa shida ni hamasa au watu wamegoma sababu hawauelewi Muungano?
hamasa inakuja baada ya kuelewa na kupenda ktu. Na si sababu ya mvua. Ndio maana mekuambia simba na yanga ingecheza hakuna sehem ya kukanyaga hapo sahiv. Sababu s mvua sababu watu hawaelewi Chochote
 
Wananchi wanautaka Muungano lakini wenye muundo wa serikali 3 na manufaa pande zote mbili. tuitishe referundum,kura y maoni tumalizane
 
Mleta uzi sometimes punguza kuwa na akili finyu ina maana huoni mvua tena zimenyesha mfululizo siku ya 4 hii?

Sio uwanjani tu hata makanisani sikuhizi watu ni wachache sababu ya mvua.
i WISH SABABU INGEKUWA NI HIYO....Mungu ibariki Tanzania...

There is something wrong somewhere
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…