Ulishayaona maadili ya Watindiga/Wahadzabe? Mwanaume akienda kuwinda akiua mnyama mkubwa kijiji kizima kinahamia kwake na analala na wanawake wote kijijini hapo, je hayo ndiyo maadili? Maadili yote tunayofuata yanatokana na miongozo ya Kanisa Katoliki!Wahadzabe, Watindiga, Wasandawe na Bushmen huko maporini hawana dini wala imani za ukristo na uislamu. Ila wana maadili.
Sasa hapa automatically, Dini sio kigezo cha watu kuwa na maadili.
Kwenye yale maeneo ambayo Kanisa Katoliki halina ushawishi, kama kwenye nchi za kiarabu na Kiislamu, maadili yao yanatokana na nini?Maadili yote tunayofuata yanatokana na miongozo ya Kanisa Katoliki!
Wote hata haoKwenye yale maeneo ambayo Kanisa Katoliki halina ushawishi, kama kwenye nchi za kiarabu na Kiislamu, maadili yao yanatokana na nini?
Kama wao wanaona sawa hayo ni maadili kwao ya jamii yao.Ulishayaona maadili ya Watindiga/Wahadzabe? Mwanaume akienda kuwinda akiua mnyama mkubwa kijiji kizima kinahamia kwake na analala na wanawake wote kijijini hapo, je hayo ndiyo maadili? Maadili yote tunayofuata yanatokana na miongozo ya Kanisa Katoliki!
Ndio kwa kiasi kikubwa.Kwa ivo kusingekuwepo na dini kusingekuwa na maadili?
Unataka kutuambia unachapa dada yako ewe kijana au?Kwenye jamii zetu unaona kabisa Kuna mifumo mbalimbali inayotumiwa kutunza kitu kinachoitwa maadili.
Lakini ili hayo maadili yawe maadili, chanzo chake huwa ni nini hasa.
Kwa nini watu washangae mtu kuwa na mahusiano na baba/mama yake au kaka/dada yake?
Kwani Baba, mama, kaka au dada, si wanawake au wanaume kama wengine? Kwa nini watu waone kama ni kinyume cha maadili?
Hivi mtu akiiba kitu kwa nini ionekane ni kinyume cha maadili. Hivi wizi si uwezo wa kuchukua kitu cha mwingine kwa kumzidi akili?
Hivi chanzo cha kuwepo kwa haya maadili ni nini. Na haya maadili yalianzaje anzaje?
CC: Kiranga , Infropreneur
Kwenye Uislamu kuna sheria ya kuoa wake Hadi wanne, wakatoliki wanayo!?.Wote hata hao
Waarabu wameiga maadili kutoka kwa Wakatoliki!
Kwahy Hadi walio olewa!?. Au hicho Kijiji wanaishi wasio olewa na wasio oa!?.Ulishayaona maadili ya Watindiga/Wahadzabe? Mwanaume akienda kuwinda akiua mnyama mkubwa kijiji kizima kinahamia kwake na analala na wanawake wote kijijini hapo, je hayo ndiyo maadili? Maadili yote tunayofuata yanatokana na miongozo ya Kanisa Katoliki!
Inawezekana huu mjadala umekuzidi kimo.Unataka kutuambia unachapa dada yako ewe kijana au?
Kwani dini imezalishwa lini!?. Unajua dini ni nini!?.Ni swali zuri...linahitaji mjadala uliokwenda shule hasa.
Tunaweza kusema kwamba kuna "Darwinian" explanation kama chanzo cha maadili. Kwa maneno mengine vile vinasaba vinavyofungamanishwa na sifa /"traits" zinazodhihirisha "maadili" vilikuwa vikitunzwa na kuzalishwa tena vizazi na vizazi........
Nadharia ya kwamba dini ndio chanzo cha maadili ni dhaifu....sababu maadili yamekuwepo kabla ya dini...pia maadili ni universal,....unlike dini.....
Maadili mengi yanatokana na sababu practical.Kwenye jamii zetu unaona kabisa Kuna mifumo mbalimbali inayotumiwa kutunza kitu kinachoitwa maadili.
Lakini ili hayo maadili yawe maadili, chanzo chake huwa ni nini hasa.
Kwa nini watu washangae mtu kuwa na mahusiano na baba/mama yake au kaka/dada yake?
Kwani Baba, mama, kaka au dada, si wanawake au wanaume kama wengine? Kwa nini watu waone kama ni kinyume cha maadili?
Hivi mtu akiiba kitu kwa nini ionekane ni kinyume cha maadili. Hivi wizi si uwezo wa kuchukua kitu cha mwingine kwa kumzidi akili?
Hivi chanzo cha kuwepo kwa haya maadili ni nini. Na haya maadili yalianzaje anzaje?
CC: Kiranga , Infropreneur
Kuna vyanzo kadhaa vya maadili (sourses of ethics) miingoni mwake niKwenye jamii zetu unaona kabisa Kuna mifumo mbalimbali inayotumiwa kutunza kitu kinachoitwa maadili.
Lakini ili hayo maadili yawe maadili, chanzo chake huwa ni nini hasa.
Kwa nini watu washangae mtu kuwa na mahusiano na baba/mama yake au kaka/dada yake?
Kwani Baba, mama, kaka au dada, si wanawake au wanaume kama wengine? Kwa nini watu waone kama ni kinyume cha maadili?
Hivi mtu akiiba kitu kwa nini ionekane ni kinyume cha maadili. Hivi wizi si uwezo wa kuchukua kitu cha mwingine kwa kumzidi akili?
Hivi chanzo cha kuwepo kwa haya maadili ni nini. Na haya maadili yalianzaje anzaje?
CC: Kiranga , Infropreneur
Kwahy maadili yamejumuishwa kwenye dini!?. Na dini haikujumuisha maadili!?.Maadili mengi yanatokana na sababu practical.
Mfano, kulikuwa na Mafarao wa Misri waliamimi familia zao ni takatifu za kimungu walioana wenyewe kwa wenyewe, matokeo yake, kutokana na gene pool kuwa ndogo, waliishia kupata magonjwa mengi ya genetic.
Wenye busara wakaangalia wakaona kuwa kuoana ndugu si kitu kizuri, kinaleta matatizo.
Wizi umeonekana kuwa unaondoa order katika jamii, unaumiza watu waliochuma mali zao kihalali, ni kitu ambacho watu wengi hawapendi kufanyiwa, hivyo ikaoneoana kuwa ni kitu kibaya jamii isikiruhusu.
Ndivyo maadili yalivyoanza, jamii isiyo na misingi mizuri ya kimaadili haitaweza ku survive. Na inawezekana jamii hizo zilikuwepo na sasa hazipo, kwa sababu hazikuwa na order.
Jamii zilizoweza kuwa na order ndizo zilizoweza ku survive.
Hivi ndivyo maadili yalivyoanza na kuingia kwenye uongozi, kwenye dini mpaka kwenye sheria.
This is necessary for society to function and survive.
Maadili ndiyo yalianza halafu wajanja wakaangalia haya maadili tuyawekeje ili iwe lazima watu wayafuate?Kwahy maadili yamejumuishwa kwenye dini!?. Na dini haikujumuisha maadili!?.
Kwa lugha nyepesi maadili ndo yalianza Kisha dini zikaongeza hayo maadili katika sheria na taratibu zao!?.
Anhaa, Sasa mbona kukawa na mvutano wa hzo dini na sheria zake, ikiwa ni watu walikaa wakaona wayaweke maadili katika dini ili watu waweze kuyafata kwa Ile hofu waliyowekewa!?.Maadili ndiyo yalianza halafu wajanja wakaangalia haya maadili tuyawekeje ili iwe lazima watu wayafuate?
Tukisema tu haya ni maadili yetu tumejiwekea watu, kuna wabishi hawatayafuata.
Ili wayafuate, tuseme hizi ni sheria za Mungu, ukikiuka, utakufa, ukikiuka, utapata dhambi na kuchomwa moto wa milele, kasema Mungu hivyo.
Ndiyo dini zikazaliwa hapo.
Dini ziliwekwa kama chombo cha kustawisha maadili yaliyokuwapo kabla ya dini, maadili hayakutokea katika dini.
Dunia imekuwa na mvutano siku zote.Anhaa, Sasa mbona kukawa na mvutano wa hzo dini na sheria zake, ikiwa ni watu walikaa wakaona wayaweke maadili katika dini ili watu waweze kuyafata kwa Ile hofu waliyowekewa!?.
Hayawani pekee ndo anaweza kumkula mama yake au baba kumkula mtoto wake.Chanzo cha maadili ni common sense tu.
Binadamu yeyote mwenye ufahamu na utimamu automatically lazima awe na utambuzi wa mambo ambayo yeye mwenyewe hataki afanyiwe na mtu yeyote yule.
Vivyo hivyo, Mambo hayo ambayo wewe binafsi hutaki kufanyiwa, Huwezi kumfanyaia mwenzako. Na Ndio maadili hayo.
Hebu fikiria binti yako anakuja na kukwambia "Baba njoo tusex wote" Yani hapa automatically ufahamu wako uta react kwa hasira kali sana. Kwamba hilo jambo si la kawaida.
Ni kinyume na utambuzi wako wa kifikra kulala na mwanao, binti yako. Yani common sense tu itakufanya u react vibaya mno kukemea hicho kitendo. Labda kama dishi lako liwe limeyumba ndio utakubali kufanya hivyo.
Na hapa ndipo chanzo cha maadili huanzia. Through common sense tu.
Kitu ambacho wewe hutaki kufanyiwa, Huwezi kumfanyia mwenzako.
Na mambo hayo ndio maadili.
Nadhani suala la mvutano lipo kutokana na kutofautiana mitazamo kiimani. Ila kwenye suala la maadili kila dini inatetea maadili kwa namna wanavyoyaainisha wao. Na kuna wanafalsafa ambao waliainisha nadharia tofauti kuhusu maadili, mfano Plato na Alstotle wanaamini maadili hutokana na tabia au sifa za mtu (virtue characters), ipo pia nadharia ya kwamba ili tujue kuwa kitendo fulani ni maadili tuzingatie matokeo ya maamuzi fulani, nkAnhaa, Sasa mbona kukawa na mvutano wa hzo dini na sheria zake, ikiwa ni watu walikaa wakaona wayaweke maadili katika dini ili watu waweze kuyafata kwa Ile hofu waliyowekewa!?.
Una ushahidi hani kwamba maadili yalikuwepo kabla ya dini? Nipe mfano wa hayo maadili.Maadili ndiyo yalianza halafu wajanja wakaangalia haya maadili tuyawekeje ili iwe lazima watu wayafuate?