Wafia dini wanajuaMkuu issue sio kuwalaumu hao Miungu,, Issue ni kwamba dhana ya neno "Mungu" haijulikani kama ipo au haipo.
Hakuna anaeweza kuthibitisha kama yupo, Hakuna anaeweza kupinga kama Hayupo, Hakuna anaejua lolote kuhusu dhana ya neno "Mungu" ,,,,,,,,,,,,!
Kwahiyo mkuu unataka kuniambia sisi tumekujaje hapa duniani?Hao Adam na Hawa hawakuwahi kuwapo.
Huyo Mungu mwenyewe ni muhusika katika hadithi ya uongo ya kutungwa na watu tu.
Ndiyo maana hii hadithi ukiichunguza ina maswali yasiyojibika.
Ni hadithi yenye longolobgo nyingi za kuungwaungwa na watu tu, kamba nyiiingi za kijinga tu.
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote anaweza kuthibitishwa kimantiki kwamba hayupo.Mkuu issue sio kuwalaumu hao Miungu,, Issue ni kwamba dhana ya neno "Mungu" haijulikani kama ipo au haipo.
Hakuna anaeweza kuthibitisha kama yupo, Hakuna anaeweza kupinga kama Hayupo, Hakuna anaejua lolote kuhusu dhana ya neno "Mungu" ,,,,,,,,,,,,!
Suala la sisi tumekujaje hapa duniani ni zuri, kubwa na lina maelezo mengi ya kitaalamu.Kwahiyo mkuu unataka kuniambia sisi tumekujaje hapa duniani?
Aisee.Mungu huyo angetuhurumia na kutuumba bila mizigo hiyo ya vilema, kunyakunya na kujambajamba kila siku.
Mimi mtu mmoja akiniambia Mungu yupo ntamwambia sawa, Au mwingine akasema Mungu hayupo nitamwambia sawa pia.Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote anaweza kuthibitishwa kimantiki kwamba hayupo.
Na kwa kuanzia huyo wengine wote wanaweza kuoneshwa kuwa likely ni uongo ule ule.
Kwenye jamii zetu unaona kabisa Kuna mifumo mbalimbali inayotumiwa kutunza kitu kinachoitwa maadili.
Lakini ili hayo maadili yawe maadili, chanzo chake huwa ni nini hasa.
Kwa nini watu washangae mtu kuwa na mahusiano na baba/mama yake au kaka/dada yake?
Kwani Baba, mama, kaka au dada, si wanawake au wanaume kama wengine? Kwa nini watu waone kama ni kinyume cha maadili?
Hivi mtu akiiba kitu kwa nini ionekane ni kinyume cha maadili. Hivi wizi si uwezo wa kuchukua kitu cha mwingine kwa kumzidi akili?
Hivi chanzo cha kuwepo kwa haya maadili ni nini. Na haya maadili yalianzaje anzaje?
CC: Kiranga , Infropreneur
Ndiyo maana nimeanza kwa kusema Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote.Mimi mtu mmoja akiniambia Mungu yupo ntamwambia sawa, Au mwingine akasema Mungu hayupo nitamwambia sawa pia.
Baada ya hapo kila mmoja atatakiwa kwanza anielekeze maana ya dhana "Mungu" ni nini?
Maana huwezi ukasema kitu kipo halafu kisionekane na Huwezi kusema kitu hakipo wakati hujawahi kukiona, kukitazama na kukisikia.
Niijue hii dhana ndipo sasa aanze kuniambia hicho kitu "Kitu" au "Hakipo".
That's why ninasema hakuna anayejua hizo habari kama zipo au hazipo, Kama hakuna anayejua hakuna haja ya kubishiana vitu Fictious.
Hiyi ndiyo maana ya maadili kweli? Nafikri tutofautishe mila na desturi.Kwenye Uislamu kuna sheria ya kuoa wake Hadi wanne, wakatoliki wanayo!?.
Kwenye Uislamu kuna sheria ya kuswali swala tano, wakatoliki wanayo!?.
Kwenye Uislamu kuna sheria ya kumuabudu Mungu Mmoja pekee, wakatoliki wanayo!?.
Huyo ni wa kwenye hadithi za kitabu cha biblia, anaitwa "Yehova".Ndiyo maana nimeanza kwa kusema Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote.
Nimeweka defining characteristics za huyo Mungu kabla ya kusema hayupo.
Tatizo mara nyingi tunaenda kwenye mjadala wa Mungu bila hata ya kum define.
Si Yehova tu, hata Allah na wengi wengine wana sifa hizo.Huyo ni wa kwenye hadithi za kitabu cha biblia, anaitwa "Yehova".
Huyu huwa hata hahitaji mtu kutoa introduction ya maana ya "Mungu", huyu sifa zake hazijawahi kuendana na yeye alivyo.
Hata Miungu ya wahindi: Mungu rahman, Vishnu, Shiva, Lakshmi, Durga, Ganesh na Saraswati.Si Yehova tu, hata Allah na wengi wengine wana sifa hizo.
Ukiyaangakia yale majina 99 ya Allah sifa zote hizo zimo.
Dhana "Mungu" ipo, ndiyo hii tunayoijadili. Hii ni dhana.Hata Miungu ya wahindi: Mungu rahman, Vishnu, Shiva, Lakshmi, Durga, Ganesh na Saraswati.
Miungu ya wabudha iliyoletwa na wazee wa kale kina
buddha, Avalokiteshvara, Manjushri na Maitreya.
Yote ni Fictious sababu inaanza kutajwa pale inapoamuru kuiumba dunia "kitu fulani tokea" ila yenyewe haitajwi ilipotokea.
Hivyo hakuna anayeweza kua na uhakika na kuthibitisha dhana "Mungu" kama kweli ipo?
Au kama yupo atusaidie, ila ni vyema kabla hajafafanua aje na maana ya "Mungu" kwanza.
Kama wanajua watuambie "Mungu" ni nini au ni Nani?Wafia dini wanajua
WanakujaKama wanajua watuambie "Mungu" ni nini au ni Nani?
Na je, yupo? Yupo wapi?
Ndiyo tupo hapa tunajadili. Maana tukianza kuwa na mtazamo Fulani mitazamo ya wengine tunaona haifai Kwa mjadala.Maadili ni nini? Kuna document ya reference? Au ni perception ya mtu fulani tu? Au intuition?
I see this too subjective brother, bila definition tutajadili hewa, maadili ni neno ambalo linatumika vibaya sana nchini kwetu kuua vipaji, linatumika kutisha innovators kwa sababu tu watu wanataka wafit to their comfort zones, dunia inatuacha kwa kasi sana sisi tunabaki na ukaririsho ambao hauna hata evidence kwa jina la "maadili" the same thing ikifanywa na watu wengine wanapiga pesa na kusonga mbele!Ndiyo tupo hapa tunajadili. Maana tukianza kuwa na mtazamo Fulani mitazamo ya wengine tunaona haifai Kwa mjadala.
Kila mtu anaruhusiwa kusema anavyoona yeye kuhusu maadili.
Kama unakubali dhana "Mungu" ipo, unawezaje wakati huo huo kusema tena Mungu hayupo.Dhana "Mungu" ipo, ndiyo hii tunayoijadili. Hii ni dhana.
Ila, Mungu anayeelezwa na hiyo dhana hayupo.
Dhana ni dhana, abstract thought.Kama unakubali dhana "Mungu" ipo, unawezaje wakati huo huo kusema tena Mungu hayupo.
Maana dhana ina sifa ya kufafanulika, Kubadilika, kulinganishwa, kueleweka na kuwepo kimazingira na kihisia.