Naunga mkono ni kwel hata nyani wana maadili , kuna siku niliona mtoto wa nyani akila bakora baada ya kumtupia biskuti , mama yake alimtandika baada ya yeye kuchukua na kubugia bila ruhusa ya mama yake🤔Maadili ni asilia(innate).
Kimsingi kabisa maadili ni kanuni zinazoepusha kutoweka kwa jamii ya viumbe.
Kila kiumbe kina maadili yake.
Unavyoona viumbe vinaishi na kuzaliana bila kuumizana ujue maadili yamehusika.
Ahsante kwa kuniongezea ujuzi kwenye hili.Dhana ni dhana, abstract thought.
Mfano, naweza kufikiri dhana ya "pembetatu duara", pembetatu ambayo hapo hapo ni duara, katika Euclidean geometry, wakati kiuhalisia pembetatu ina nyuzi 180 na duara lina nyuzi 360 na pembetatu haiwezi kuwa duara.
Naweza kufikiri dhana ya "namba kubwa kuliko zote", hiyo dhana naweza kuifikiria, naweza hata kuipa symbol. Lakini kufikiria dhana hiyo haimaanishi namba hiyo ipo, kwa sababu namba yoyote nitakayosema ni kubwa kuliko zote, nikiongeza moja tu naonesha kuwa namba hiyo si kubwa kuliko zote.
Watu wana uwezo mkubwa wa kutunga hadithi za uongo na kuzipa umuhimu zikawa kama kweli, rejea Yuval Noah Harari katika kitabu chake "Sapiens : A Brief History of Humankind" ameelezea sana hii dhana ya "manufactured reality".Ahsante kwa kuniongezea ujuzi kwenye hili.
Unaweza kunipa dokezo kidogo, unapoifikiria dhana "Mungu' hua unachora kitu gani kichwani mkuu?
Umejibu kila kituChanzo cha maadili ni common sense tu.
Binadamu yeyote mwenye ufahamu na utimamu automatically lazima awe na utambuzi wa mambo ambayo yeye mwenyewe hataki afanyiwe na mtu yeyote yule.
Vivyo hivyo, Mambo hayo ambayo wewe binafsi hutaki kufanyiwa, Huwezi kumfanyaia mwenzako. Na Ndio maadili hayo.
Hebu fikiria binti yako anakuja na kukwambia "Baba njoo tusex wote" Yani hapa automatically ufahamu wako uta react kwa hasira kali sana. Kwamba hilo jambo si la kawaida.
Ni kinyume na utambuzi wako wa kifikra kulala na mwanao, binti yako. Yani common sense tu itakufanya u react vibaya mno kukemea hicho kitendo. Labda kama dishi lako liwe limeyumba ndio utakubali kufanya hivyo.
Na hapa ndipo chanzo cha maadili huanzia. Through common sense tu.
Kitu ambacho wewe hutaki kufanyiwa, Huwezi kumfanyia mwenzako.
Na mambo hayo ndio maadili.
Mojawapo ya grave mistakes za kimaadili ni incest. Matokeo ya uhusiano huo ni binadamu mwengine kuja duniani. Binadamu huyo anapokua baadaye atakuwa na uhusiano gani na WAZAZI wake? Utakuwa ni uhayawani tu unaoendelea katika familia, ukoo, jamii na kabila.Mfano Baba kumnyunda mtoto wake ni kinyume na maadili ya kibinadamu lakini Kuna wababa kadhaa Duniani wamewanyunda mabinti zao na imekuwa unyama tu, hakuna madhara yoyote waliyoyapata sanasana unakuta mtoto anautaka Tena au baba kanogewa.
Lakini kwenye common sense tunasema, mzee na mtoto wake wote ni hayawani, kwasababu ni kinyume na fahamu timamu za kibinadamu.
Anhaa,,,,,! Nakupata, nakupata!!Watu wana uwezo mkubwa wa kutunga hadithi za uongo na kuzipa umuhimu zikawa kama kweli, rejea Yuval Noah Harari katika kitabu chake "Sapiens : A Brief History of Humankind" ameelezea sana hii dhana ya "manufactured reality".
Harari anaongelea uwezo mkubwa wa watu kutunga hadithi na kuzipa hadithi hizo ukweli mpaka thamani ya hadithi ya uongo inakuwa ya ukweli.
Mfano mmoja mkubwa ni paper money. Pesa ya US dollar 100 haina thamani ya vyakula inavyoweza kununua. Tukikaa kwenye a desert island tuko watu wawili tumeambiwa tuchague ama mapapai mawili ama noti ya US dollar 100, kila mtu atachagua mapapai mawili, ile dollar 100 haina thamani pale.
Mungu naye ni dhana iliyotungwa na watu na kupewa ukweli kwa mpango huo huo wa "manufactured reality". Kimsingi kwa kutaka ku maintain order katika jamii.
Ni dhana ya kwenye hadithi tuliyojitungia wenyewe tu, ambayo haipo kwenye uhalisia nje ya hiyo hadithi.
Watu hawapendi kuwa na maswali wasiyo na majibu yake. Wakipata maswali hayo, wanachomeka jibu la Mungu.
Nalinganisha na muhusika wa hadithi ya kutungwa na watu.Anhaa,,,,,! Nakupata, nakupata!!
Kwakua wewe unakubali hii dhana "Mungu" ipo na katika lugha ya kiswahili tunajifunza sifa ya dhana ni kubunika, kufikirika, kueleweka na kulinganishwa na kitu fulani.
Kwahiyo je wewe hua na kawaida ya kuifikiri, kuibuni, kuielewa na kuilinganisha na kitu fulani hii dhana "Mungu" [KATIKA IMAGINATION] ?
Wewe Allah wako yuko wapi? Na ni dubwasha gani hilo? Au ni ala ya kutunzia kisu?Kama wanajua watuambie "Mungu" ni nini au ni Nani?
Na je, yupo? Yupo wapi?
Hii kitu ya kwamba kitu ambacho hupendi kufanyiwa huwezi kumfanyia mwenzio ni uongo tu.Chanzo cha maadili ni common sense tu.
Binadamu yeyote mwenye ufahamu na utimamu automatically lazima awe na utambuzi wa mambo ambayo yeye mwenyewe hataki afanyiwe na mtu yeyote yule.
Vivyo hivyo, Mambo hayo ambayo wewe binafsi hutaki kufanyiwa, Huwezi kumfanyaia mwenzako. Na Ndio maadili hayo.
Hebu fikiria binti yako anakuja na kukwambia "Baba njoo tusex wote" Yani hapa automatically ufahamu wako uta react kwa hasira kali sana. Kwamba hilo jambo si la kawaida.
Ni kinyume na utambuzi wako wa kifikra kulala na mwanao, binti yako. Yani common sense tu itakufanya u react vibaya mno kukemea hicho kitendo. Labda kama dishi lako liwe limeyumba ndio utakubali kufanya hivyo.
Na hapa ndipo chanzo cha maadili huanzia. Through common sense tu.
Kitu ambacho wewe hutaki kufanyiwa, Huwezi kumfanyia mwenzako.
Na mambo hayo ndio maadili.
Ipo siku utakuja kufa vibaya wewe! Nakuhakikishia utamlilia huyo Mungu unayemkebehi sasa hivi naye hatakusikiliza!Watu wana uwezo mkubwa wa kutunga hadithi za uongo na kuzipa umuhimu zikawa kama kweli, rejea Yuval Noah Harari katika kitabu chake "Sapiens : A Brief History of Humankind" ameelezea sana hii dhana ya "manufactured reality".
Harari anaongelea uwezo mkubwa wa watu kutunga hadithi na kuzipa hadithi hizo ukweli mpaka thamani ya hadithi ya uongo inakuwa ya ukweli.
Mfano mmoja mkubwa ni paper money. Pesa ya US dollar 100 haina thamani ya vyakula inavyoweza kununua. Tukikaa kwenye a desert island tuko watu wawili tumeambiwa tuchague ama mapapai mawili ama noti ya US dollar 100, kila mtu atachagua mapapai mawili, ile dollar 100 haina thamani pale.
Mungu naye ni dhana iliyotungwa na watu na kupewa ukweli kwa mpango huo huo wa "manufactured reality". Kimsingi kwa kutaka ku maintain order katika jamii.
Ni dhana ya kwenye hadithi tuliyojitungia wenyewe tu, ambayo haipo kwenye uhalisia nje ya hiyo hadithi.
Watu hawapendi kuwa na maswali wasiyo na majibu yake. Wakipata maswali hayo, wanachomeka jibu la Mungu.
Maelezo MazuriMaadili Huwa ni utaratibu wa maisha ambayo watu wa jamii Fulani wamejiwekea kutokana na Imani zao au mienendo Yao.
Maadili hupangwa na watu kama ambavyo watu walikaa wakaandika katiba, tunataka katika jamii yetu tuishi kwa mtindo huu na huu, nini tunataka na nini hatutaki, kama ambavyo nyumbani pengine uliwahi kuambiwa.
"Kurudi hapa kwangu mwisho saa 12" ni utaratibu ambao baba au mama Yako waliuweka na huna budi kuufata.
Maadili pia yaliletwa na dini. Dini zilikuja na sheria na taratibu zake mbalimbali, ukiwa muumini wa dini hiyo basi huna budi kufata sheria na kanuni zilizowekwa, ndipo tukajikuta tunapata maadili.
Mfano: Uislamu na Ukristo unakataza kuoa dada, mama Yako. Ni kinyume na utu wa mtu.
Waumini wa Imani hizi wakiwa wengi na kujaza jamii unakuta zinakuwa sheria na zinaingizwa katika maadili ya jamii husika, na ukienda kinyume umeenda kinyume na maadili.
Kwa jinsi ninavyoelewa mimi maadili.
Hata nikifa vibaya, kufa vibaya nako ni ushahidi kwamba Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote hayupo.Ipo siku utakuja kufa vibaya wewe! Nakuhakikishia utamlilia huyo Mungu unayemkebehi sasa hivi naye hatakusikiliza!
Uko sahihi mimi napenda sana ala za muziki.Wewe Allah wako yuko wapi? Na ni dubwasha gani hilo? Au ni ala ya kutunzia kisu?
Kwahiyo ni kwamba:Nalinganisha na muhusika wa hadithi ya kutungwa na watu.
Sawasawa na Willy Gamba wa Musiba au James Bond wa Fleming.
Dhana ya Mungu inafikirika, inabunika.Kwahiyo ni kwamba:
A: kwa Maelezo ya dini na historia dhana ya "Mungu" ipo ila dini hazina uwezo wa kuthibitisha, linasimama tu kama dhana.
B: Kwa kigezo cha sifa za dhana, dhana "Mungu" haifikiriki, haibuniki, haithibitishiki wala haieleweki. Hivyo dhana "Mungu" haijulikani kama inatakiwa iwepo au isiwepo.
Huenda hapa ndipo Tofauti yetu ilipo lakini ni kidogo saana.
Mbona hayatajwi hayo au list yake?Maadili ni asilia(innate).
Kimsingi kabisa maadili ni kanuni zinazoepusha kutoweka kwa jamii ya viumbe.
Kila kiumbe kina maadili yake.
Unavyoona viumbe vinaishi na kuzaliana bila kuumizana ujue maadili yamehusika.
nimeongea kiujumlaMbona hayatajwi hayo au list yake?
Ni kwamba hupaswi kumfanyia sio kwamba huwezi kumfanyia.Hii kitu ya kwamba kitu ambacho hupendi kufanyiwa huwezi kumfanyia mwenzio ni uongo tu.
Wezi ni wakiuka maadili.Mwizi hapendi kuibiwa ila anapenda kuiba, mchawi anaroga hapendi kurogwa. Inshort mabaya tubayofanyia watu sisi hatupendi kufanyiwa.