Maadili yameshuka sana ndio maana watu wanachekea matatizo

Maadili yameshuka sana ndio maana watu wanachekea matatizo

Kwani hutaki tumwombeee? Huyu si ni wa sisi wote?
Hujakatazwa kumuombea,

Wewe muombee aendele kuwa na afya njema akuletee maendeleo wewe pamoja na hilo genge lenu la wahuni
 
Crimea leo kaingiza mkwanja wa nguvu kuliko wote wa Lumumba. Maana hulipwa kwa idadi ya jumbe zilizotumwa JF na kwingineko.
Ndio mnavyodanganyana katika hilo kundi lenu?
 
Hujakatazwa kumuombea,

Wewe muombee aendele kuwa na afya njema akuletee maendeleo wewe pamoja na hilo genge lenu la wahuni
Leo amesaini mafaili mangapi? maana siku za nyuma mlituonyesha akiwa amezungukwa na mafaili kila kona ya meza yake.
 
Leo amesaini mafaili mangapi? maana siku za nyuma mlituonyesha akiwa amezungukwa na mafaili kila kona ya meza yake.
Nenda ofisini kwake ukapate ripoti. Au la subiri uone matokeo ufanyaji kazi wake
 
Maadili hayajashuka, Ila watu watakutreat kulingana na wewe unavyowatreat.

What goes around comes back around. Tusitafute mchawi.
Ndiyo Ukweli Wenyewe
Nasema Uongo Ndugu Zangu
😏🙄😶😑😐🤨😶😑😐😎
 
Kwanamna matamshi yanayotoka kwa viongozi wetu,inawezekana ndiyo wamesababisha jamii kuwa hivi.....kuanzia madc-state house lugha zinazotumika zinachangia usugu wa hiki kizazi cos saizi kuna reasoning tofauti na enzi za early 1990's.......na technologia hii ndiyo inaongeza uelewa zaidi kwa kizazi hiki
 
Siyo jamii bali ni wajinga wachache sana wenye hasira za mbelgiji kupigwa kwenye uchaguzi
 
Hamna mtu anashangilia uvumi, bali wengi tunaomba kila siku parapanda lililie jizi lolote la kura litangulie ahera.
Ndio Lissu atakuwa Rais?

Hata 2025 mtagongwa tena mnarudi kuomba mtu afe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ujinga ni mzigo
 
Mkuuu What goes around Comes around. Kila kitu ni matokeo ya kilichopandwa.
 
Tugongwe kwani mna uwezo wa kushindana kisiasa, au kugongwa kwa maagizo ya mlevi wa madaraka,?
Sasa kama hamjitambui unataka sisi tufanyaje?

Lazima uchaguzi ukija tuwapige za uso
 
Sasa kama hamjitambui unataka sisi tufanyaje?

Lazima uchaguzi ukija tuwapige za uso

Sio kwa kura, labda kwa kura za kwenye mabeg meusi. Kwa njia ya kura halali mtasubiri sana.
 
Back
Top Bottom