Maafisa usafirishaji (Bodaboda) wakimsindikiza Rais Samia Arusha

tusingekuwa na hoja hivyo hata mikutano tusingefanya maana wananchi wangewa na maisha bora lakin kitendo cha watoto wa kitila mkumbo na madelu kuwa BOT na TRA ndio moja ya hoja zinazotufanya tufanye mikutano ili kuwaondoa watu kwenye kaz za laana kama bodaboda.
 
watafanyaje boda wako wangapi nchi hii waendelee kuchagua ccm waone watakavyoendelea kupigika kwa upuuz wa ccm.
Mbona unawafanya kama bodaboda wote ccm kwani si wengine wamemsindikiza Lema? Ina maana ni chadema hao wanaipigia kura chadema ila malipo yao kutukwanwa.
 
We kweli chizi huko nchi zilizoendelea tu bado kuna wapinzani wapo na wana hoja ndio itakuwa Tanzania?
 
Huyu atakuwa askari wa zenji maana muda wote anawaza habari za mume tu.
Huwa anasema linaloujaza moyo wake

Ukiona mtu anapenda sana kuwapa watu shutma fulan ujue yeye ndio muhusika wa hyo shutma.
 
Hakuna viwanda na nafasi zilizopo wamezikosa
Hiyo bodaboda ni option yao, shughuli zengine za kufanya zipo ila wao wamechagua hiyo bodaboda tena wengine wameacha ajira za viwandani na kununua bodaboda.
 
Hiyo bodaboda ni option yao, shughuli zengine za kufanya zipo ila wao wamechagua hiyo bodaboda tena wengine wameacha ajira za viwandani na kununua bodaboda.
Hata Malaya wanaojiuza ni option zao, wameacha kazi nyingi tu.
Hata Majambazi nao wamefanya options
 
Huna akili, kuna bodaboda wana masters, sifa ni kwa watoto wa Mawaziri, RCs, RASs, DCs, DASs, wabunge na vigogo wengine? au nafasi ni special kwao tu?
We askari wa zenji nishwambia hizo nafasi hazitoshi watu wote, tufanye bodaboda wote wana sifa za kuweza kufanya kazi huko TRA n BOT je inawezekana kwa bodaboda wote kutosha kwenye hizo nafasi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…