Dawa ya Uvccm
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 2,223
- 4,717
tusingekuwa na hoja hivyo hata mikutano tusingefanya maana wananchi wangewa na maisha bora lakin kitendo cha watoto wa kitila mkumbo na madelu kuwa BOT na TRA ndio moja ya hoja zinazotufanya tufanye mikutano ili kuwaondoa watu kwenye kaz za laana kama bodaboda.Sasa tujibu hao watoto wa viongozi huwa wanajazana hapo kwenye hiyo mikutano au hao wenye kazi za laana ndio hujazana na kusimama juani kwenye hiyo mikutano? Unafikiri hao wote wangekuwa wanafanya kazi huko BOT na TRA hiyo mikutano yenu mngewajaza akina nani?