azithromycim
JF-Expert Member
- Apr 18, 2019
- 580
- 1,297
Kufanyia torture ndugu wa karibu wa mtuhumiwa au mkosaji nikosa kisheria
Anafikiri polisi huko kwingine hawategemei hivyo vitu,wanategemea nini?!Polisi wetu wangepelekwa nchi zinazozingatia weledi wasingesovu hata kesi moja. Sativa anasema intelijensia yao hutegemea kutesa ama kusinichiwa, mtu asipomsinichi mtuhumiwa hawanaga ujanja wa kusovu kesi
Jambo la maana kabisa,ulaze watu nje halafu ukoo wako wadunde tu wakiwacheka uliowatapeli,sukuma ndaniKwa ufupi
Kuna Kijana alikubaliana na Familia moja huko Arusha kuwa akope pesa, kisha wagawane, sasa mkopo haujarudi, nyumba ya familia inapigwa mnada, Familia imeenda kwa mwigulu, Mwigulu kaagiza Ukoo wa huyo kijana ukamatwe na wasiachiwe hadi pesa ilipwe
Kuna cold cases kibao marekani na ulayaHivi,hao polisi wanapopelekwa CCP huwa wanafundishwa nini kama hawajui hata hatua za upelelezi hadi kuubaini ukweli/uhalifu?Wanapewa maelekezo ya kukamata wasiohusika na uhalifu?Sheria ya makosa ya jinai (Criminal Procedure Act na vifungu vyake)inasemaje kuhusu mtu mmoja kuwajibika kwa makosa aliyoyafanya mtu mwingine?
Sheria haziwezi cover kila kitu, ndiyo maana tapeli kama huyo unashughulika nae kihunihuni tu,hapo familia italala nje kisa *** mmoja,acha nae familia yake ikalalie zege kwanzaKufanyia torture ndugu wa karibu wa mtuhumiwa au mkosaji nikosa kisheria
Wewe Ng'wigulu ndiye mpumbavu, sasa habari hiyo inasaidia nini kutatua kero za Watanzania? Huyu PM ni mpumbavu kabisa.Kila siku mitaani tunalalamika Polisi kukamata ndugu wa mtuhumiwa ikiwa mtuhumiwa hajulikani alipo hata ikiwa ndugu hao hawajamdhamini mtuhumiwa huyo.
View attachment 3522728
Kwani kuwa na nasaba na mtu ni udhamini wa automatically kwa makosa ya wengine?
Kauli ya Waziri Mkuu ni ithibati kuwa kila kinachofanywa na Polisi ni kwa maelekezo na baraka za uongozi wa juu.
Kila siku mitaani tunalalamika Polisi kukamata ndugu wa mtuhumiwa ikiwa mtuhumiwa hajulikani alipo hata ikiwa ndugu hao hawajamdhamini mtuhumiwa huyo.
View attachment 3522728
Kwani kuwa na nasaba na mtu ni udhamini wa automatically kwa makosa ya wengine?
Kauli ya Waziri Mkuu ni ithibati kuwa kila kinachofanywa na Polisi ni kwa maelekezo na baraka za uongozi wa juu.
Huko mbele Mwigulu atafungwaKila siku mitaani tunalalamika Polisi kukamata ndugu wa mtuhumiwa ikiwa mtuhumiwa hajulikani alipo hata ikiwa ndugu hao hawajamdhamini mtuhumiwa huyo.
View attachment 3522728
Kwani kuwa na nasaba na mtu ni udhamini wa automatically kwa makosa ya wengine?
Kauli ya Waziri Mkuu ni ithibati kuwa kila kinachofanywa na Polisi ni kwa maelekezo na baraka za uongozi wa juu.
Sidhani kama huyo mama amenyoosha maelezo! Yaani yeye amekuwa akisubiri mkopo kwa mwaka mzima? Haya yote siyo mambo ya kutokea ndani ya week moja!Yaani kwa kuwa mtoto wao ametapeli ndio familia nzima ikamatwe?
Sheria za nchi yetu zikoje? Yaani utapeli ufanywe na mtu mwingine halafu wakamatwe wengine?
Polisi na vyombo vya usalama vimeshindwa kumkamata mhusika hadi ndugu na jamaa nao wakamatwe?
Taarifa kwa ufupi
Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba amesimulia kisa cha mkazi wa Arusha ambaye amelizwa kiasi cha takriban Sh600 milioni na kijana aliyemuamini akamchukulie mkopo.
Kutokana na kisa hicho, Dkt. Mwigulu amemuagiza Kamanda wa Polisi mkoani Arusha, Justine Masejo, kijana huyo apatikanae na ikiwezekana ukoo wake wote ukamatwe.
“Nimemuelekeza RPC amsake huyo kijana akamatwe hata wakikamatwa ukoo mzima wakamatwe walipe fedha zile, hawezi mama maskini anakosa pa kukaa wakati yule aliyekula fedha anatembea mkanda nje,”amesema.
Pia soma > Mwigulu damu za watanzania mliowaua zinakulilia. Umeanza kuchangamka
Zikichomwa mali za mafisadi mnatetea. Sasa tofauti ya hawa waliochoma mali za mafisadi na huyo anayesema ukoo mzima ukamatwe utofauti wake ni upi?Wakamatwe tu, utapeli umekuwa mwingi.
Kwani kuna rule of law hapa? Ingekuwepo hawa mazafakas wasingekuwa madarakani.Kila siku mitaani tunalalamika Polisi kukamata ndugu wa mtuhumiwa ikiwa mtuhumiwa hajulikani alipo hata ikiwa ndugu hao hawajamdhamini mtuhumiwa huyo.
View attachment 3522728
Kwani kuwa na nasaba na mtu ni udhamini wa automatically kwa makosa ya wengine?
Kauli ya Waziri Mkuu ni ithibati kuwa kila kinachofanywa na Polisi ni kwa maelekezo na baraka za uongozi wa juu.