Maagizo ya Waziri Mkuu kutaka UKOO MZIMA kukamatwa kwa makosa ya ndugu yao si sahihi kisheria!

Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba amesimulia kisa cha mkazi wa Arusha ambaye amelizwa kiasi cha takriban Sh600 milioni na kijana aliyemuamini akamchukulie mkopo.

Kutokana na kisa hicho, Dkt. Mwigulu amemuagiza Kamanda wa Polisi mkoani Arusha, Justine Masejo, kijana huyo apatikanae na ikiwezekana ukoo wake wote ukamatwe.

“Nimemuelekeza RPC amsake huyo kijana amkamate, hata kama wakikamatwa ukoo mzima wakamatwe walipe fedha zile, hawezi mama maskini anakosa pa kukaa wakati yule aliyekula fedha anatembea mkanda nje,” - Mwigulu

MAONI YANGU:
Yaani kwa kuwa mtoto wao ametapeli ndio familia nzima ikamatwe?

Sheria za nchi yetu zikoje? Yaani utapeli ufanywe na mtu mwingine halafu wakamatwe wengine?

Polisi na vyombo vya usalama vimeshindwa kumkamata mhusika hadi ndugu na jamaa nao wakamatwe?

Taarifa kwa ufupi

Pia soma > Mwigulu damu za watanzania mliowaua zinakulilia. Umeanza kuchangamka
Hayo ni yale ya kambale babu ndevu hata mjukuu aliyezaliwa wa siku moya tu,ndevu kumzidi babu yake na bibi!
 
Wakati Polepole kajiuzulu , vibaka wa Muliro walivamia kwa dada yake wakiamini yuko pale wakaishia kumpiga dada yake na kumkamata baada ya kumkosa Polepole.

Baadae wakaanza kuwafuatilia familia yake mmoja mmoja na magari yenye namba zisizoeleweka.

Hivyo hicho kitu ni "order of the day" kwao.
 
Hivi million 600 unamuaminiji mtu akakuchilie,Ina maana zilitolewa mkononi,mkopo sihuwa inatolewa kwenye akaunti ya mhusika,hapa Kuna sintofahamu
 
Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba amesimulia kisa cha mkazi wa Arusha ambaye amelizwa kiasi cha takriban Sh600 milioni na kijana aliyemuamini akamchukulie mkopo.

Kutokana na kisa hicho, Dkt. Mwigulu amemuagiza Kamanda wa Polisi mkoani Arusha, Justine Masejo, kijana huyo apatikanae na ikiwezekana ukoo wake wote ukamatwe.

“Nimemuelekeza RPC amsake huyo kijana amkamate, hata kama wakikamatwa ukoo mzima wakamatwe walipe fedha zile, hawezi mama maskini anakosa pa kukaa wakati yule aliyekula fedha anatembea mkanda nje,” - Mwigulu

MAONI YANGU:
Yaani kwa kuwa mtoto wao ametapeli ndio familia nzima ikamatwe?

Sheria za nchi yetu zikoje? Yaani utapeli ufanywe na mtu mwingine halafu wakamatwe wengine?

Polisi na vyombo vya usalama vimeshindwa kumkamata mhusika hadi ndugu na jamaa nao wakamatwe?

Taarifa kwa ufupi

Pia soma > Mwigulu damu za watanzania mliowaua zinakulilia. Umeanza kuchangamka
Waziro Mkuu hajui katiba au anaijua anaipuuza?
 
Ni kama nimedandia mtumbwi wa vibwengo. Sijui wanaenda wapi wala wanajadili nini,ngoje niruke tu.
Kuna mambo ya ajabu sana,benki inampa mkopo mwanaume kwa hati yenye jina la kike inawezekana kwenye Nchi yenye taasisi za hivyo tu.
 
Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba amesimulia kisa cha mkazi wa Arusha ambaye amelizwa kiasi cha takriban Sh600 milioni na kijana aliyemuamini akamchukulie mkopo.

Kutokana na kisa hicho, Dkt. Mwigulu amemuagiza Kamanda wa Polisi mkoani Arusha, Justine Masejo, kijana huyo apatikanae na ikiwezekana ukoo wake wote ukamatwe.

“Nimemuelekeza RPC amsake huyo kijana amkamate, hata kama wakikamatwa ukoo mzima wakamatwe walipe fedha zile, hawezi mama maskini anakosa pa kukaa wakati yule aliyekula fedha anatembea mkanda nje,” - Mwigulu

MAONI YANGU:
Yaani kwa kuwa mtoto wao ametapeli ndio familia nzima ikamatwe?

Sheria za nchi yetu zikoje? Yaani utapeli ufanywe na mtu mwingine halafu wakamatwe wengine?

Polisi na vyombo vya usalama vimeshindwa kumkamata mhusika hadi ndugu na jamaa nao wakamatwe?

Taarifa kwa ufupi

Pia soma > Mwigulu damu za watanzania mliowaua zinakulilia. Umeanza kuchangamka
Hili jinga sana hili yaani kupitia uwaziri mkuu ndio limerhibitisha kabisa kumbe ni likiazi, ukisha kuwa kiongozi ni muhimu kuwa makini sana na maneno ya kinywa chako maana kauli yako moja tu inaweza kuleta madhara makubwa sana kwenye jamii
 
Kuna mambo ya ajabu sana,benki inampa mkopo mwanaume kwa hati yenye jina la kike inawezekana kwenye Nchi yenye taasisi za hivyo tu.
Inawezekana kwa kutumia dhamana ya third party. Inaruhusiwa iwapo third party atatos ruhusa mali yake iwe dhamana ya mkopo. Hii habari sijui undani wake. Shida ni pale mkopo ukitoka wakopaji hawalipi .
 
1767157621086.jpg
 
Kuna cold cases kibao marekani na ulaya

Ushasema kuna "cold cases" maana yake zipo kwenye record na upelelezi unafanyika, hapo shitholeni kuna hata kesi inafunguliwa? Si kuuana tu kama wanyama pori? Kuna mstari mwembamba sana kati ya maisha ya wanyamapori kule mikumi na ya wabongo! kama kuna ntu tu anatangazia umma eti "kamata ukoo mzima" kwa sheria gani nikamatwe eti ndugu yangu katapeli? Heunda hatuna hata mawasiliano miaka na sijui alipo

Rule of the jungle! Banana republico
 
Ngurdoto ilikufa siku hizi hamna semina elekezi wanalipuka tu kama bisi ndani ya kikaangio
 
Ushasema kuna "cold cases" maana yake zipo kwenye record na upelelezi unafanyika, hapo shitholeni kuna hata kesi inafunguliwa? Si kuuana tu kama wanyama pori? Kuna mstari mwembamba sana kati ya maisha ya wanyamapori kule mikumi na ya wabongo! kama kuna ntu tu anatangazia umma eti "kamata ukoo mzima" kwa sheria gani nikamatwe eti ndugu yangu katapeli? Heunda hatuna hata mawasiliano miaka na sijui alipo

Rule of the jungle! Banana republico
Unajua maana ya cold cases
 
Unajua maana ya cold cases

We unajua maana ya case? Kesi inakuwepo inapokosa leads ndio inakua cold. Na leads zikiibuka inafufuka

Shitholeni kwani wanafungua hata jalada tu iwe kesi? Si wanaacha tu kama ngiri aliyejifia tu porini
 
Back
Top Bottom