Maajabu ya dunia yanazidi kutusogelea wakati Hamas waliozingirwa wakipigana peke yao dhidi ya Marekani na Israel

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
10,509
Reaction score
16,734
Akitoa tamko la kuiarifu dunia kuwa Israel imerudi vitani Gaza,waziri mkuu wa Israel amesema wanaendelea kupambana huko Gaza dhidi ya Hamas kwa kutumia nguvu zao zote.

Naye Donald Trump mara baada ya kuuliwa kwa watu zaidi ya 400 huko Gaza hapo juzi aliipongeza akisema Israel ililazimika kuchukua uamuzi huo uamuzi huo ili kufikia malengo yake.Huko nyuma Trump huyo huyo alithibitisha kuwa Marekani ilikwishawapa Israel kila aina ya silaha walizohitaji.

Kwa mtazamo huo ni wazi kuwa kikundi kidogo kilichozingirwa kwa miaka na ambacho hakina msaada wowote ule kutoka nje na ambao wamezuiliwa mpaka chakula ndio wanaopambana na mataifa mawili makubwa yaliyoungana dhidi yake.

Kuhimili kipigo hicho na kubaki ukihema hata kwa siku moja lazima itaendelea kuwa ni maajabu ya dunia ambayo watu wote wamepewa fursa kuyashuhudia.
 
Inasikitisha sana sana!
 
Na amini Mungu yupo, ila kwanini au ni kwamba mungu kawatelekeza watu wa gaza!? Malaria 2
Hakuna kutelekezwa.Huko tunakuita kufuzu mtihani upande mmoja na kutahiniwa kwa upande mwengine.
Inatoa jibu kwanini Mungu huyo huyo amewafanya watu wa Gaza walie tu bila kumlaumu yoyote.Si Hamas wala waarabu wenzao.
Watu wa Gaza ukiwasikia kuzungumza baada ya kufiwa na kujeruhiwa ni kulalamikia maumivu au njaa.Basi !
 
Jihadists mnajidanganya tu kila siku nyuma ya keyboard magaidi wa Hamas hawawezi kupigana uso kwa uso na Israel na ndio maana wako nyuma ya wanawake na watoto.

Kwa nini wasitoke waende wakapigane uso kwa uso na Israel ili basi kama ni ardhi wachukue kwa nini wanavaa kiraia na kujichanganya na raia..!!?? Bure kabisa hao magaidi na watafanya wapalestina wamalizwe wote.
 
Gaidi Israel,ndio muoga,anapiga watoto na wanawake.
 
Akitoa tamko la kuiarifu dunia kuwa Israel imerudi vitani Gaza,waziri mkuu wa Israel amesema wanaendelea kupambana huko Gaza dhidi ya Hamas kwa kutumia nguvu zao zote.

Naye Donald Trump mara baada ya kuuliwa kwa watu zaidi ya 400 huko Gaza hapo juzi aliipongeza akisema Israel ililazimika kuchukua uamuzi huo uamuzi huo ili kufikia malengo yake.Huko nyuma Trump huyo huyo alithibitisha kuwa Marekani ilikwishawapa Israel kila aina ya silaha walizohitaji.

Kwa mtazamo huo ni wazi kuwa kikundi kidogo kilichozingirwa kwa miaka na ambacho hakina msaada wowote ule kutoka nje na ambao wamezuiliwa mpaka chakula ndio wanaopambana na mataifa mawili makubwa yaliyoungana dhidi yake.

Kuhimili kipigo hicho na kubaki ukihema hata kwa siku moja lazima itaendelea kuwa ni maajabu ya dunia ambayo watu wote wamepewa fursa kuyashuhudia.
Ni kweli , wale wanamgambo wa Hamas si tu wanapigana na Israel na Marekani, bali na vibaraka wote wa kizungu na kiarabu
 
inawezekana ulizaliwa october 6 ndo maana unadhani hamas ndo wameanza october 7
The Muslim conquest of Jerusalem in 638 CE, led by Caliph Umar, occurred after a six-month siege by the Rashidun army, culminating in the city's surrender to Umar personally after negotiations.
 
Akitoa tamko la kuiarifu dunia kuwa Israel imerudi vitani Gaza,waziri mkuu wa Israel amesema wanaendelea kupambana huko Gaza dhidi ya Hamas kwa kutumia nguvu zao zote.

Naye Donald Trump mara baada ya kuuliwa kwa watu zaidi ya 400 huko Gaza hapo juzi aliipongeza akisema Israel ililazimika kuchukua uamuzi huo uamuzi huo ili kufikia malengo yake.Huko nyuma Trump huyo huyo alithibitisha kuwa Marekani ilikwishawapa Israel kila aina ya silaha walizohitaji.

Kwa mtazamo huo ni wazi kuwa kikundi kidogo kilichozingirwa kwa miaka na ambacho hakina msaada wowote ule kutoka nje na ambao wamezuiliwa mpaka chakula ndio wanaopambana na mataifa mawili makubwa yaliyoungana dhidi yake.

Kuhimili kipigo hicho na kubaki ukihema hata kwa siku moja lazima itaendelea kuwa ni maajabu ya dunia ambayo watu wote wamepewa fursa kuyashuhudia.
Hakika mungu anaonyesha ukuu wake
 
Back
Top Bottom