imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 61,235
- 98,463
Historia.nani kaandika hivyo wewe biblia au quran
Historia.nani kaandika hivyo wewe biblia au quran
Akitoa tamko la kuiarifu dunia kuwa Israel imerudi vitani Gaza,waziri mkuu wa Israel amesema wanaendelea kupambana huko Gaza dhidi ya Hamas kwa kutumia nguvu zao zote.
Naye Donald Trump mara baada ya kuuliwa kwa watu zaidi ya 400 huko Gaza hapo juzi aliipongeza akisema Israel ililazimika kuchukua uamuzi huo uamuzi huo ili kufikia malengo yake.Huko nyuma Trump huyo huyo alithibitisha kuwa Marekani ilikwishawapa Israel kila aina ya silaha walizohitaji.
Kwa mtazamo huo ni wazi kuwa kikundi kidogo kilichozingirwa kwa miaka na ambacho hakina msaada wowote ule kutoka nje na ambao wamezuiliwa mpaka chakula ndio wanaopambana na mataifa mawili makubwa yaliyoungana dhidi yake.
Kuhimili kipigo hicho na kubaki ukihema hata kwa siku moja lazima itaendelea kuwa ni maajabu ya dunia ambayo watu wote wamepewa fursa kuyashuhudia.
Mungu alimtelekeza Yessu na kumuacha kuadhibiwa na kubatizwa?Na amini Mungu yupo, ila kwanini au ni kwamba mungu kawatelekeza watu wa gaza!? Malaria 2
Sijaelewa shekheMungu alimtelekeza Yessu na kumuacha kuadhibiwa na kubatizwa?
Nikweli kaka!Kwa mashambulio yoote yake na ukubwa wa majeshi ya Us na Israel dhidi ya hicho kikundi lakn Bado wako...unataka usibitisho gani ya kua mungu Yuko
Mungu yupi unamuongelea? Au yule Allah wa hamas?Na amini Mungu yupo, ila kwanini au ni kwamba mungu kawatelekeza watu wa gaza!? Malaria 2
GoodJihadists mnajidanganya tu kila siku nyuma ya keyboard magaidi wa Hamas hawawezi kupigana uso kwa uso na Israel na ndio maana wako nyuma ya wanawake na watoto.
Kwa nini wasitoke waende wakapigane uso kwa uso na Israel ili basi kama ni ardhi wachukue kwa nini wanavaa kiraia na kujichanganya na raia..!!?? Bure kabisa hao magaidi na watafanya wapalestina wamalizwe wote.
Yesu alipigwa misumari msalabani kwa mujibu wa wakiristo, jee mungu alimuacha afanyiwe ukatili huo? Kwanini alimuacha?Sijaelewa shekhe
Hao wagalatia hawana akili,yule hakuwa yesu bali walifananishiwa tu.Yesu alipigwa misumari msalabani kwa mujibu wa wakiristo, jee mungu alimuacha afanyiwe ukatili huo? Kwanini alimuacha?
TAQIYYAH ndiyo silaha kuu ya waislamu.Akitoa tamko la kuiarifu dunia kuwa Israel imerudi vitani Gaza,waziri mkuu wa Israel amesema wanaendelea kupambana huko Gaza dhidi ya Hamas kwa kutumia nguvu zao zote.
Naye Donald Trump mara baada ya kuuliwa kwa watu zaidi ya 400 huko Gaza hapo juzi aliipongeza akisema Israel ililazimika kuchukua uamuzi huo uamuzi huo ili kufikia malengo yake.Huko nyuma Trump huyo huyo alithibitisha kuwa Marekani ilikwishawapa Israel kila aina ya silaha walizohitaji.
Kwa mtazamo huo ni wazi kuwa kikundi kidogo kilichozingirwa kwa miaka na ambacho hakina msaada wowote ule kutoka nje na ambao wamezuiliwa mpaka chakula ndio wanaopambana na mataifa mawili makubwa yaliyoungana dhidi yake.
Kuhimili kipigo hicho na kubaki ukihema hata kwa siku moja lazima itaendelea kuwa ni maajabu ya dunia ambayo watu wote wamepewa fursa kuyashuhudia.
Huna akili wewe,siwezi jadiliana nawewe.Kwani Mungu ndiye aliwatuma waishambulie Israel Oct 07,2023?
Unasikitika kwa lipi wakati wao wenyewe walianzisha vita hii Oct 07,2023 walivamia Israel walitarajia Israel inyamaze kimya? Acha wavune walichokipanda!!Inasikitisha sana sana!
Najua huwezi kwa sababu huna hoja unabwabwaja tu bila kujua kitu!!Huna akili wewe,siwezi jadiliana nawewe.
Kwa akili yako ki duchu wewe huko unakuita kufuzu mtihani baada ya uvamizi wao Oct 07,2023 acha sasa wauwawe kama wao walivyoua watu Oct 07,2023Hakuna kutelekezwa.Huko tunakuita kufuzu mtihani upande mmoja na kutahiniwa kwa upande mwengine.
Inatoa jibu kwanini Mungu huyo huyo amewafanya watu wa Gaza walie tu bila kumlaumu yoyote.Si Hamas wala waarabu wenzao.
Watu wa Gaza ukiwasikia kuzungumza baada ya kufiwa na kujeruhiwa ni kulalamikia maumivu au njaa.Basi !