Nadhan hujataka tu kujihabiidisha kujua nini maana ya neno hapo.Nilikuwa nafikiri kwamba kwenye mwezi huu mtukufu waga angalau mnaachana na lugha kama hizo kumbe wengine lile jinamizi linawaelemea kabisa.
Siwezi Mimi kuthubutu kutukana na nina Muda mrefu sijawahi kumtolea mtu Matusi ,mara nyingi huchagua kunyamaa
Tafuta kwenye Kamusi nini maana ya neno hilo