Inasikitisha sana sana!Akitoa tamko la kuiarifu dunia kuwa Israel imerudi vitani Gaza,waziri mkuu wa Israel amesema wanaendelea kupambana huko Gaza dhidi ya Hamas kwa kutumia nguvu zao zote.
Naye Donald Trump mara baada ya kuuliwa kwa watu zaidi ya 400 huko Gaza hapo juzi aliipongeza akisema Israel ililazimika kuchukua uamuzi huo uamuzi huo ili kufikia malengo yake.Huko nyuma Trump huyo huyo alithibitisha kuwa Marekani ilikwishawapa Israel kila aina ya silaha walizohitaji.
Kwa mtazamo huo ni wazi kuwa kikundi kidogo kilichozingirwa kwa miaka na ambacho hakina msaada wowote ule kutoka nje na ambao wamezuiliwa mpaka chakula ndio wanaopambana na mataifa mawili makubwa yaliyoungana dhidi yake.
Kuhimili kipigo hicho na kubaki ukihema hata kwa siku moja lazima itaendelea kuwa ni maajabu ya dunia ambayo watu wote wamepewa fursa kuyashuhudia.
Hakuna kutelekezwa.Huko tunakuita kufuzu mtihani upande mmoja na kutahiniwa kwa upande mwengine.Na amini Mungu yupo, ila kwanini au ni kwamba mungu kawatelekeza watu wa gaza!? Malaria 2
Haikuanza oct 7, oct 7 ilikuwa retaliation.October 07 wao ndio waliolianzisha.
Ilianzia karne ya Saba wakati Majeshi ya Khalif Omar yalipovamia Jerusalem.Haikuanza oct 7, oct 7 ilikuwa retaliation.
Uvamizi wa Karne ya Saba uliofanywa na Omar Jerusalem, na njama za kuficha jina la mji na kuuita Aqsa au mnasahau mapema sana.Ilianza kabla ya mwaka 1948.
Gaidi Israel,ndio muoga,anapiga watoto na wanawake.Jihadists mnajidanganya tu kila siku nyuma ya keyboard magaidi wa Hamas hawawezi kupigana uso kwa uso na Israel na ndio maana wako nyuma ya wanawake na watoto.
Kwa nini wasitoke waende wakapigane uso kwa uso na Israel ili basi kama ni ardhi wachukue kwa nini wanavaa kiraia na kujichanganya na raia..!!?? Bure kabisa hao magaidi na watafanya wapalestina wamalizwe wote.
Tupe nondo hizoUvamizi wa Karne ya Saba uliofanywa na Omar Jerusalem na njama za kuficha jina la mji na kuuita Aqsa au mnasahau mapema sana.
Ni kweli , wale wanamgambo wa Hamas si tu wanapigana na Israel na Marekani, bali na vibaraka wote wa kizungu na kiarabuAkitoa tamko la kuiarifu dunia kuwa Israel imerudi vitani Gaza,waziri mkuu wa Israel amesema wanaendelea kupambana huko Gaza dhidi ya Hamas kwa kutumia nguvu zao zote.
Naye Donald Trump mara baada ya kuuliwa kwa watu zaidi ya 400 huko Gaza hapo juzi aliipongeza akisema Israel ililazimika kuchukua uamuzi huo uamuzi huo ili kufikia malengo yake.Huko nyuma Trump huyo huyo alithibitisha kuwa Marekani ilikwishawapa Israel kila aina ya silaha walizohitaji.
Kwa mtazamo huo ni wazi kuwa kikundi kidogo kilichozingirwa kwa miaka na ambacho hakina msaada wowote ule kutoka nje na ambao wamezuiliwa mpaka chakula ndio wanaopambana na mataifa mawili makubwa yaliyoungana dhidi yake.
Kuhimili kipigo hicho na kubaki ukihema hata kwa siku moja lazima itaendelea kuwa ni maajabu ya dunia ambayo watu wote wamepewa fursa kuyashuhudia.
inawezekana ulizaliwa october 6 ndo maana unadhani hamas ndo wameanza october 7October 07 wao ndio waliolianzisha.
The Muslim conquest of Jerusalem in 638 CE, led by Caliph Umar, occurred after a six-month siege by the Rashidun army, culminating in the city's surrender to Umar personally after negotiations.inawezekana ulizaliwa october 6 ndo maana unadhani hamas ndo wameanza october 7
nani kaandika hivyo wewe biblia au quranThe Muslim conquest of Jerusalem in 638 CE, led by Caliph Umar, occurred after a six-month siege by the Rashidun army, culminating in the city's surrender to Umar personally after negotiations.
Hakika mungu anaonyesha ukuu wakeAkitoa tamko la kuiarifu dunia kuwa Israel imerudi vitani Gaza,waziri mkuu wa Israel amesema wanaendelea kupambana huko Gaza dhidi ya Hamas kwa kutumia nguvu zao zote.