Maajabu ya dunia yanazidi kutusogelea wakati Hamas waliozingirwa wakipigana peke yao dhidi ya Marekani na Israel


Wana tofauti gani na Hitler alipowazingira Wayahudi??
 
Mwandishi wa uzi nadhani hujui historia za vita duniani, hujawahi walau kujipa muda na utafiti au kuhesabu idadi ya vita vilivyo wahi kupiganywa kwenye hi sayari; just for your information, ni rahisi sana kupigana na taifa fulani na mshindi kupatikana kirahisi au kwa muda mfupi, mifano iko mingi sina sababu ya kutaja hata mmoja, ipo wazi sana; ni ngumu sana kupigana na vikundi, hizi ni aina za vita ambazo zinachukuaga muda mrefu sana na sometimes zinaishiaga kwa mazungumzo tu. Nenda kaangalie Joseph Kony wa Uganda alisimbua miaka mingapi, watazame Alshabaab wa Somalia, nenda Nigeria na kundi lao la Boko Haram, halafu jiulize why wachukue muda mrefu kuwamaliza? Same Nigeria yenye jeshi bora kabisa Africa ambayo iliweza kumaliza migogoro kule Liberia na Sierra Lion akishirikiana na ECOWAS? Swali la mwisho, just kwa faida yako tu, unadhani kuna taifa lingeweza hata kuota tu ndoto ya kupiga makao makuu ya jeshi la Marekani yaani Pentagon plus jengo la WTC pale New York na inasemekana mpango ulikua pia kupiga Ikulu ya white house? It was only Alqaeda ya Osama Bin Laden? Then jiulize why that? Ni kikundi, sio serikali and hence hakuna cha ajabu kwa Hizbollah or Hamas kusumbua muda mrefu.
Alamsiki and jioni njema
 
Good
 
Maajabu gani sasa hapo Hamas ni sawa na panya road wanashambulia wanajificha kwa raia hawana uwezo wa kupambana man tu man
 
Strategy ya Hamas ya kujificha kwenye raia ni Strategy ya kijinga sana.
 
TAQIYYAH ndiyo silaha kuu ya waislamu.
 
Kwa akili yako ki duchu wewe huko unakuita kufuzu mtihani baada ya uvamizi wao Oct 07,2023 acha sasa wauwawe kama wao walivyoua watu Oct 07,2023
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…