Maajabu ya dunia yanazidi kutusogelea wakati Hamas waliozingirwa wakipigana peke yao dhidi ya Marekani na Israel

Mbona unawataja Israel peke yao?
Ondoeni support ya US,UK na baadh ya EU states then uje na hoja hii.
Otherwise kaeni kimyaa.

Vita ndogo tu Usenge Makanisani imewashinda.
 
Ilianza kabla ya mwaka 1948.
Tunachoshangaa hapa ni kuwa Hamas wameachwa mkono mpaka na Mahmoud Abbas lakini bado wanapigana na Marekani na Israel kwa umoja wao.
Acha ujinga wewe unadai ilianzishwa kabla ya 1948 Mwaka gani sasa ilianza? Nina uhakika hujui kitu unafuata tu mkumbo!! Unaongelea kuhusu Mahmoud Abbas wakati Hamas na PA ya Abbas hawana uhusiano kabisa ni paka na panya Hamas inatawala Gaza na PA ya Abbas wanatawala West-Bank Nakushangaa wewe unayedai kuwa wameachwa mkono. Na najua wewe hujui sasa hivi ni miezi 2 Majeshi ya Israel yako huko West-Bank kuharibu miundombinu ya kigaidi na kuwakamata magaidi ambao ni tishio kwa usalama wa Israel. Wewe wadanganye wajinga kama wewe. Hujui lolote kuhusu mzozo huu unachokifanya ni mihemko ya kijinga ya kuambiwa huna facts zozote!!
 
Mbona unawataja Israel peke yao?
Ondoeni support ya US,UK na baadh ya EU states then uje na hoja hii.
Otherwise kaeni kimyaa.

Vita ndogo tu Usenge Makanisani imewashinda.
Nilikuwa nafikiri kwamba kwenye mwezi huu mtukufu waga angalau mnaachana na lugha kama hizo kumbe wengine lile jinamizi linawaelemea kabisa.
 
Gaidi Israel,ndio muoga,anapiga watoto na wanawake.
Hayo mabomu ya Israel yanapiga wototo na wanawake tu na Hamas yanawaogopa? Yanapopiga watoto baba zao daima wanakuwa wapi?? Acheni ujinga watoto na wanawake imekuwa kichaka cha magaidi kuwatumia kama kinga( Human-Shield ) wanajificha kwa watoto ili wakipigwa walalamike kusingizia watoto ili waonewe huruma na jumuia za kimataifa!! Na wewe Mmatumbi mwenzangu unabwabwaja watoto wanauliwa bila hata kujiuliza kwa nini!!
 
Hacheni kufa kwa kujitakia ..........mnawaumiza wengi kwa ujinga wa wachache........hachieni mateka na maiti zao ...........ili kama wakiendelea kuwaua dunia iwatetee
 
inawezekana ulizaliwa october 6 ndo maana unadhani hamas ndo wameanza october 7
Hata kama walianza lini lakini kitendo walichofanya Oct 07,2023 wanapaswa wapigwe mpaka wachakae!!
 
Hacheni kufa kwa kujitakia ..........mnawaumiza wengi kwa ujinga wa wachache........hachieni mateka na maiti zao ...........ili kama wakiendelea kuwaua dunia iwatetee
Ebu fikiria unatembea na maiti kila unakoenda huu kama sio ushetani ni nini? Hawa hamas ni ngumu Sana kuwatetea
 
Una uhakika hawana msaada wowote? Kama huijui dunia nyamaza tu boss

Kama hawana msaada silaha zao hazichakai? Hawaishiwi silaha? Hawali? Au waliweka akiba ya chakula kiasi gani kutosha muda wote huu?

Hizo ni propaganda kutafuta huruma tu. Kiukweli mataifa ya kiarabu yote hadi Misri wanatoa msaada kikamilifu kupitia njia wanazojua wao. Kinachofanywa ni vikundi vinatumika kupeleka misaada badala ya taifa kuepuka kula kibano kwa washirika wa Israel.

Usione Israel kichaa au hamnazo. Anajua kinachoendelea ndiyo maana anasema atatumia nguvu zake zote.
 
Kwa mashambulio yoote yake na ukubwa wa majeshi ya Us na Israel dhidi ya hicho kikundi lakn Bado wako...unataka usibitisho gani ya kua mungu Yuko
Kama madai yao ni ya ukweli huyo Mungu angewasikia sasa kwa bahati mbaya hawezi kuwasikia kwa sababu ni watu tu wametoka katika mataifa kadhaa jirani hapo na kutunga uongo wa kudai ardhi isiyo yao. Bure kabisa.
 
Hakika mungu anaonyesha ukuu wake
Ni kweli kabisa Mungu anaonyesha ukuu wake baada ya Hamas kuvamia Israel Oct 07,2023 Hezbollah walianza kuishambulia Israel,Wahouthi toka Yemen nao walijiunga kuishambulia Israel,waasi huko Iraq na Syria kwa pamoja walianza kuishambulia Israel Bwana wao Iran naye aliishambulia Israel. Ilifikia hatua Israel inapigana na watu 7 kwa mpigo cha kushangaza wote walikuwa wanapigwa kisawasawa alianzia Bwana wao Iran mpaka sasa hivi hana hamu na Israel baada ya kushambulia nchini kwake na AD zake kuharibiwa, Wakafuatia magaidi wa Hezbollah walipigwa wakauwawa viongozi waandamizi karibu wote akiwemo Hassan Nasrallah mpaka wakaomba usitishwaji mapigano na wakakubaliwa. Akafuatia Rais Assad wa Syria yeye alipigwa mpaka akapinduliwa kabisa. Kwa hayo yote hakika Mungu anaonyesha ukuu wake kwa Majeshi ya Israel
 
Sawa mlokole kagawe hata tigo kwa waisrael wa mchongo ili ubarikiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…