Maajabu ya dunia yanazidi kutusogelea wakati Hamas waliozingirwa wakipigana peke yao dhidi ya Marekani na Israel

Nilikuwa nafikiri kwamba kwenye mwezi huu mtukufu waga angalau mnaachana na lugha kama hizo kumbe wengine lile jinamizi linawaelemea kabisa.
Sah mtu akiongea waga sijui namfananisha na mtt s riziki
 
Nakumbusha Tena Wapalestina wamenyang'anywa ardhi na wakoloni. si Leo Wala kesho hawataacha kupigana. Watazidi kupigana siku zote za uhai wao . Ndio watapigana tu hata kama vita itapelekea hatari ya wao kufutika.
Tuanzie hapo ardhi yao walinyang’anywa lini na nani? kipindi hicho walikuwa na Rais, Mfalme,Sultan nani? Pesa yao ilikuwa inaitwa je? Shillings,Dollar,Dinar au rupia?
 
Ni wapumbabu watu wa Gaza, waislamu wenzao kwa hadithi zao za Alinacha za Wuran ya Sherman kaallah wamewatanguliza mbele kwenye ile vita yao ya kaallah dhidi ya Israel. Sasa watadundwa maskini watu hao na kaallah wala hakatawasaidia
 
Huwezi kuelewa kama unatumia hisia, kupigana na mtu asiyekuwa na silaha zaidi ya miaka 50 na umeshindwa kuwamaliza huyo ni mungu tu
 
Uongo huo,,🙏🙏🙌
The Muslim conquest of Jerusalem in 638 CE, led by Caliph Umar, occurred after a six-month siege by the Rashidun army, culminating in the city's surrender to Umar personally after negotiations.
 
Huwezi kuelewa kama unatumia hisia, kupigana na mtu asiyekuwa na silaha zaidi ya miaka 50 na umeshindwa kuwamaliza huyo ni mungu tu
Nani alikudanganya kuwa Hamas hawana silaha? Tumia vizuri akili yako
 
Sawa mlokole kagawe hata tigo kwa waisrael wa mchongo ili ubarikiwe
Did the Muslim Prophet Muhammad have a boyfriend?
Actually, yes. And even though Muhammad claimed homosexuality was wrong, he himself was involved in homosexual behavior.

Sunan Abi Dawud 5224

Narrated Usayd ibn Hudayr:

AbdurRahman ibn AbuLayla, quoting Usayd ibn Hudayr, a man of the Ansar, said that while he was given to jesting and was talking to the people and making them laugh, the Prophet poked him under the ribs with a stick. He said: Let me take retaliation. He said: Take retaliation. He said: You are wearing a shirt but I am not. The Prophet then raised his shirt and the man embraced him and began to kiss his side. Then he said: This is what I wanted, Messenger of Allah!

A man kissing Muhammad's bare chest.

Jami` at-Tirmidhi 2732

Narrated 'Aishah:

"Zaid bin Harithah arrived in Al-Madinah while the Messenger of Allah was in his house. So he went and knocked at the door, so the Messenger of Allah stood naked, dragging his garment - and by Allah! I did not see him naked before nor afterwards - and he hugged him and kissed him."

Naked Muhammad kissing another man.
 
The Muslim conquest of Jerusalem in 638 CE, led by Caliph Umar, occurred after a six-month siege by the Rashidun army, culminating in the city's surrender to Umar personally after negotiations.
Uongo huo.
Watu wanajiandikia tu.
 
Gaza wavumilie ama wasivumilie kipigo kiko pale pale.
Netanyahu ameshasema kwamba muda wa kubembeleza magaidi umekwisha.
Safari hii Ile ardhi lazima muipate,wamekataa kujengewa na wazungu mmeamua muwaulie humor humo.Njaa za kizungu ni kubwa lakini mbaya.WATU WA MUNGU WANASEMAJe kwani?
 
Ilianzia karne ya Saba wakati Majeshi ya Kalif Omar yalipovamia Jerusalem.
Kalif Omar aliongoza jeshi kwenda kuchukua ule msikiti wa waislamu uliojengwa sehemu ambapo mitume kadhaa iliyotangulia walifanyia ibada.Na umetajwa kwenye Qur'an iliyoteremshwa kabla huyo khalifa Omar hajapata cheo hicho.
 
Hii vita ya gaza si iliisha, mbona inaendelea tena?
 
Kalif Omar aliongoza jeshi kwenda kuchukua ule msikiti wa waislamu uliojengwa sehemu ambapo mitume kadhaa iliyotangulia walifanyia ibada.Na umetajwa kwenye Qur'an iliyoteremshwa kabla huyo khalifa Omar hajapata cheo hicho.
Ule ulikuwa ni uvamizi, acheni kudanganya watu
 
Wenzio wanaishuhudia jehanamu yao wewe unasema kituko? Kweli kenge mpaka atoke damu masikioni ndio atajua ameumia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…