M Moonsoon Member Joined Mar 3, 2025 Posts 39 Reaction score 42 Mar 20, 2025 #81 Imeloa said: Nilikuwa nafikiri kwamba kwenye mwezi huu mtukufu waga angalau mnaachana na lugha kama hizo kumbe wengine lile jinamizi linawaelemea kabisa. Click to expand... Nadhan hujataka tu kujihabiidisha kujua nini maana ya neno hapo. Siwezi Mimi kuthubutu kutukana na nina Muda mrefu sijawahi kumtolea mtu Matusi ,mara nyingi huchagua kunyamaa Tafuta kwenye Kamusi nini maana ya neno hilo
Imeloa said: Nilikuwa nafikiri kwamba kwenye mwezi huu mtukufu waga angalau mnaachana na lugha kama hizo kumbe wengine lile jinamizi linawaelemea kabisa. Click to expand... Nadhan hujataka tu kujihabiidisha kujua nini maana ya neno hapo. Siwezi Mimi kuthubutu kutukana na nina Muda mrefu sijawahi kumtolea mtu Matusi ,mara nyingi huchagua kunyamaa Tafuta kwenye Kamusi nini maana ya neno hilo