Maajabu ya mwanamke mjamzito kuomba police wamwambie mume asimpige tena sababu anampenda sana, hii ni baada ya kupewa kipigo kizito!

mama D

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
19,981
Reaction score
35,581
Mama mwenye ujauzito wa miezi minne Jamila Hamisi (34) mkazi wa mtaa wa Remtula kata ya Elerai Jijini Arusha, amedai amejeruhiwa macho yake kwa kupigwa ngumi za uso na mume wake baada ya kutokea mzozano kati yao desemba 27, 2022.

Jamila ameliomba Jeshi la polisi mkoa wa Arusha limkanye mwanaume huyo ili aweze kuendelea kuishi naye kwakua bado ana upendo naye.

Hawa ndio wanaishiaga kugawana majengo ya serikali - warudiane kisha mmoja aishie mortuary mwingine jela
 
Mwanaume wa kupiga kiasi hiki hapana kwakweli.

Mapenzi matamu mkinuniana kiaina lakini si kwa ulingo huu.huu uwanja ni wakina mandonga mtu kazi

Akili itakuwa imetingishika kidogo.wasubirie akili ipoe,itulie na kukaa mahali pake ndipo waje maswali kama hayo
 
Umeambia ni mjamzito kwani kama wewe ni mwanamke na huja pata uzoefu wa mimba huwezi kuwaelewa wanawake wenzako, kuna muda mke wangu alikuwa na mimba aisee mimba ilimpelekea kunipenda kupita kiasi sasa adha ilikuja hataki kubaki nyumbani anataka niende nae kazini. ....
 
Akawa anakupenda...... Na wewe ukawa unampiga kama hivyo eeeh🙄🙄🙄
 
Umeambia ni mjamzito kwani kama wewe ni mwanamke na huja pata uzoefu wa mimba huwezi kuwaelewa wanawake wenzako, kuna muda mke wangu alikuwa na mimba aisee mimba ilimpelekea kunipenda kupita kiasi sasa adha ilikuja hataki kubaki nyumbani anataka niende nae kazini. ....
Ninauzoefu wa mimba zaidi ya moja.

Kama mwanamke anamimba hapo mwenye kosa ni mwanaume kulingana na mwandiko wako.

kupiga gani huko jamani khee
 
Mama mwenye ujauzito wa miezi minne Jamila Hamisi (34) mkazi wa mtaa wa Remtula kata ya Elerai Jijini Arusha, amedai amejeruhiwa macho yake kwa kupigwa ngumi za uso na mume wake baada ya kutokea mzozano kati yao desemba 27, 2022.
Jamila ameliomba Jeshi la polisi mkoa wa Arusha limkanye mwanaume huyo ili aweze kuendelea kuishi naye kwakua bado ana upendo naye.

View attachment 2467685

Hawa ndio wanaishiaga kugawana majengo ya serikali - warudiane kisha mmoja aishie mortuary mwingine jela
Kabisa,kuna muda wanawake tunakuwa mazoba kweli
 
Nimpige tena...!?
Kakosea nini kikubwa hicho ni mambo tu ya saikolojia kumuelewa mjamzito na kum care kwa uangalifu zaidi.

Ndio maana kupendwa kwako haikua maajabu ila kupigwa kwa Huyu mama imekua maajabu

Kuna waUme halafu kuna wahalifu, Huyu mwanaume aliyempiga Huyu dada ni mhalifu aliyebeba nafasi ya mume
 
Ninauzoefu wa mimba zaidi ya moja.

Kama mwanamke anamimba hapo mwenye kosa ni mwanaume kulingana na mwandiko wako.

kupiga gani huko jamani khee
Ni kweli mwanaume anakosa lakini hatujui upande wa mwanamke na makosa yake sasa siwezi hukumu mwanaume na sijui huyo mwanamke alimpa maudhi kiasi gani...!
 
Ndio maana kupendwa kwako haikua maajabu ila kupigwa kwa Huyu mama imekua maajabu

Kuna waUme halafu kuna wahalifu, Huyu mwanaume aliyempiga Huyu dada ni mhalifu aliyebeba nafasi ya mume
Na nyie wanawake huwa mnakera kiwango cha HGR.
 
Mama mwenye ujauzito wa miezi minne Jamila Hamisi (34) mkazi wa mtaa wa Remtula kata ya Elerai Jijini Arusha, amedai amejeruhiwa macho yake kwa kupigwa ngumi za uso na mume wake baada ya kutokea mzozano kati yao desemba 27, 2022.
Hapo hakuna kumkanya ni kumweka ndani na adhabu kali ili kumfunza adabu yeye kama mfano kwa wanaozunguka eneo hilo!

Huruma sana kwa huyo mwanamke na kiumbe chake tumboni ishhh! Sijui kitakua salama mungu wangu!?

Shida ya wanaume ni ulevi uliokithiri kupita kiasi hata kumpelekea mtu kujichukulia maamuzi mkononi kiasi hicho eeh! Inasikitisha sana, Wanawake mjihadhari na vibwanga kama hivi ona sasa huyo dada si amekua chongo kwa hali hiyo!
 
Mama mwenye ujauzito wa miezi minne Jamila Hamisi (34) mkazi wa mtaa wa Remtula kata ya Elerai Jijini Arusha, amedai amejeruhiwa macho yake kwa kupigwa ngumi za uso na mume wake baada ya kutokea mzozano kati yao desemba 27, 2022.
Jamila ameliomba Jeshi la polisi mkoa wa Arusha limkanye mwanaume huyo ili aweze kuendelea kuishi naye kwakua bado ana upendo naye.

View attachment 2467685

Hawa ndio wanaishiaga kugawana majengo ya serikali - warudiane kisha mmoja aishie mortuary mwingine jela
Huyu ni baharia anaelewa kisasi kizuri ni kile cha kumpumbaza mbaya wako, yuko very genius na intelligent huyu Dada, plan to kill when ur with him. A historical episode is loading.
 
Back
Top Bottom