Umeambia ni mjamzito kwani kama wewe ni mwanamke na huja pata uzoefu wa mimba huwezi kuwaelewa wanawake wenzako, kuna muda mke wangu alikuwa na mimba aisee mimba ilimpelekea kunipenda kupita kiasi sasa adha ilikuja hataki kubaki nyumbani anataka niende nae kazini. ....Mwanaume wa kupiga kiasi hiki hapana kwakweli.
Mapenzi matamu mkinuniana kiaina lakini si kwa ulingo huu.huu uwanja ni wakina mandonga mtu kazi
Akili itakuwa imetingishika kidogo.wasubirie akili ipoe,itulie na kukaa mahali pake ndipo waje maswali kama hayo
Umeambia ni mjamzito kwani kama wewe ni mwanamke na huja pata uzoefu wa mimba huwezi kuwaelewa wanawake wenzako, kuna muda mke wangu alikuwa na mimba aisee mimba ilimpelekea kunipenda kupita kiasi sasa adha ilikuja hataki kubaki nyumbani anataka niende nae kazini. ....
Yaaaaani!!!Hajipendi mwenyewe acha auliwe
Ninauzoefu wa mimba zaidi ya moja.Umeambia ni mjamzito kwani kama wewe ni mwanamke na huja pata uzoefu wa mimba huwezi kuwaelewa wanawake wenzako, kuna muda mke wangu alikuwa na mimba aisee mimba ilimpelekea kunipenda kupita kiasi sasa adha ilikuja hataki kubaki nyumbani anataka niende nae kazini. ....
Yani..Kwakweli
Si ndio hapo sasa heeAkawa anakupenda...... Na wewe ukawa unampiga kama hivyo eeeh🙄🙄🙄
Akili imetingishika msameheni tuHajipendi mwenyewe acha auliwe
Kabisa,kuna muda wanawake tunakuwa mazoba kweliMama mwenye ujauzito wa miezi minne Jamila Hamisi (34) mkazi wa mtaa wa Remtula kata ya Elerai Jijini Arusha, amedai amejeruhiwa macho yake kwa kupigwa ngumi za uso na mume wake baada ya kutokea mzozano kati yao desemba 27, 2022.
Jamila ameliomba Jeshi la polisi mkoa wa Arusha limkanye mwanaume huyo ili aweze kuendelea kuishi naye kwakua bado ana upendo naye.
View attachment 2467685
Hawa ndio wanaishiaga kugawana majengo ya serikali - warudiane kisha mmoja aishie mortuary mwingine jela
Nimpige tena...!?Akawa anakupenda...... Na wewe ukawa unampiga kama hivyo eeeh[emoji849][emoji849][emoji849]
Nimpige tena...!?
Kakosea nini kikubwa hicho ni mambo tu ya saikolojia kumuelewa mjamzito na kum care kwa uangalifu zaidi.
Ni kweli mwanaume anakosa lakini hatujui upande wa mwanamke na makosa yake sasa siwezi hukumu mwanaume na sijui huyo mwanamke alimpa maudhi kiasi gani...!Ninauzoefu wa mimba zaidi ya moja.
Kama mwanamke anamimba hapo mwenye kosa ni mwanaume kulingana na mwandiko wako.
kupiga gani huko jamani khee
Na nyie wanawake huwa mnakera kiwango cha HGR.Ndio maana kupendwa kwako haikua maajabu ila kupigwa kwa Huyu mama imekua maajabu
Kuna waUme halafu kuna wahalifu, Huyu mwanaume aliyempiga Huyu dada ni mhalifu aliyebeba nafasi ya mume
Hapo hakuna kumkanya ni kumweka ndani na adhabu kali ili kumfunza adabu yeye kama mfano kwa wanaozunguka eneo hilo!Mama mwenye ujauzito wa miezi minne Jamila Hamisi (34) mkazi wa mtaa wa Remtula kata ya Elerai Jijini Arusha, amedai amejeruhiwa macho yake kwa kupigwa ngumi za uso na mume wake baada ya kutokea mzozano kati yao desemba 27, 2022.
Huyu ni baharia anaelewa kisasi kizuri ni kile cha kumpumbaza mbaya wako, yuko very genius na intelligent huyu Dada, plan to kill when ur with him. A historical episode is loading.Mama mwenye ujauzito wa miezi minne Jamila Hamisi (34) mkazi wa mtaa wa Remtula kata ya Elerai Jijini Arusha, amedai amejeruhiwa macho yake kwa kupigwa ngumi za uso na mume wake baada ya kutokea mzozano kati yao desemba 27, 2022.
Jamila ameliomba Jeshi la polisi mkoa wa Arusha limkanye mwanaume huyo ili aweze kuendelea kuishi naye kwakua bado ana upendo naye.
View attachment 2467685
Hawa ndio wanaishiaga kugawana majengo ya serikali - warudiane kisha mmoja aishie mortuary mwingine jela