n-propanol
JF-Expert Member
- Apr 7, 2019
- 5,349
- 7,000
Porojo tupu, ila maalim hawezi kuwa Rais wa Zanzibar. Hakuna Tanzania bila Zanzibar, hakuna Zanzibar bila Unguja na Pemba. Huyo maalim hata akiwa Rais atakuwa rais wa Pemba sio wa Zanzibar. Wazanzibar wameapa kulinda Mapinduzi matukufu na Muungano. Busara ni kutii sharia bila shurti. Maalim atawatanguliza wengi mbele ila yeye kamwe hataweza kwenda mbele kwa lolote including maandamano.hata wazanzibar wote wapigie kura upinzani bado atatangazwa Mwinyi kashinda
Lengo ni kwamba mgombea wa upinzani ataki muungano ccm awawezi kumpa urais Maalim Seif Zanzibar labda kama angegombea mtu mwingine...
Huja jibu swali langu jepesi kabisa !!. Vyama vimehusishwa ?!
Watu maalumu ni wale ambao wanakuwa na majukumu siku ya Uchaguzi
Hili lipo kisheria
Hakuna taifa dunian linalotenda haki,mataifa yote yanafata katiba ambayo ni msingi wa sheria zote pamoja na kanuni za nchi husika.Mithali 34:14
Haki huinua Taifa na dhambi ni aibu ya watu wote
Pia imenenwa kuwa AMANI NI ZAO LA HAKI
Tunapaswa kama Taifa tujiulize je HAKI tunaitenda wakati tunahimiza tudumishe AMANI?
Unapata tabu gani kwani,,,Acheni kutualibia uzi nyie vichaa wa ccm.
Mkuu,
Tunatumia vpn kupata twitter kama alovyotuelekeza Kigogo
🗑️🗑️🗑️Hata wewe ukitaka kukamatwa kafanye Kama alivyo fanya Maalim Seif utajua sababu.
Hili lip kisheria na vyama vyote vimepitisha.Huja jibu swali langu jepesi kabisa !!. Vyama vimehusishwa ?!
It was a two hour detention kaachiliwa baada ya Marekani kukemea detention.Mkuu,
Ninyi watu wa Kigogo mnashangaza. Update ipo JF tangu saa 4 asubuhi kwenye 1st post kuwa Maalim asharudi nyumbani. Au mpaka mkaambiwe na Kigogo ndo mnaamini? Update 2: Maalim Seif alazimishwa kurudi nyumbani. Vipigo vyaendelea kutembezwa - Imevuja!
Kundi maalum ndio la kina nani?
Kwa mujibu wa ZEC: ni baadhi ya maafisa wa Tume ya Uchaguzi, maafisa wa vyombo vya ulinzi na usalama na watu wenye ulemavuKwani kundi maalumu ni wakina nani?
usisahau hilo kundi na umaalumu wake litapiga tena kura kesho ya muungano kituo kile alichopiga leo, kama ni maalum basi walipaswa kupiga kura zote.Kwa mujibu wa ZEC: ni baadhi ya maafisa wa Tume ya Uchaguzi, maafisa wa vyombo vya ulinzi na usalama na watu wenye ulemavu
Na wala hakuna list ya majina yao wala idadi ya hao watu maalumu iliyotolewa na ZEC kwa mujibu wa maelezo ya Maalimu,sasa hapo ndipo unapokuja utata wa hao wanaoitwa kundi maalumu.Kwa mujibu wa ZEC: ni baadhi ya maafisa wa Tume ya Uchaguzi, maafisa wa vyombo vya ulinzi na usalama na watu wenye ulemavu
Raiya wote wanapiga kura kesho, leo nikwaajili ya watumishi watakao simamia uchaguzi kesho na yeye ana lijua hilo.Kwa nini akamatwe wakati anatimiza haki yake ya kiraia ya kupiga kura ?
Ni mzee.Samahani mkuu kwani maalim seif ni mlemavu? Leo maelekezo ni kwamba walemavu na wazee ndiyo wanapiga kura.
"Vijana nyinyi ndio wenye nchi hii msitumiwe na wanasiasa kuleta uvunjifu wa amani, kwa mfano jana usiku Zanzibar kule Pemba, kuna vijana wakati tunasambaza masanduku ya kupigia kura, wameanza kufanya fujo,kutupa mawe...hao baadhi ya vijana wamekamatwa ".#IGP_Sirro.Mimi naona kama vile hata polisi wanampaisha Maalim,wataacha watu wakapige kura za hasira na huruma.
Ninadhani hatayeye alijuatu kama atakamatwa hivyo kwake nikama kete ya ushindi
Harafu kundi maalumu why uchaguzi huu tu. ?Kimkoa chenyewe kina watu 500,000 or so😄Na wala hakuna list ya majina yao wala idadi ya hao watu maalumu iliyotolewa na ZEC kwa mujibu wa maelezo ya Maalimu,sasa hapo ndipo unapokuja utata wa hao wanaoitwa kundi maalumu.