n-propanol
JF-Expert Member
- Apr 7, 2019
- 5,349
- 7,000
Porojo tupu, ila maalim hawezi kuwa Rais wa Zanzibar. Hakuna Tanzania bila Zanzibar, hakuna Zanzibar bila Unguja na Pemba. Huyo maalim hata akiwa Rais atakuwa rais wa Pemba sio wa Zanzibar. Wazanzibar wameapa kulinda Mapinduzi matukufu na Muungano. Busara ni kutii sharia bila shurti. Maalim atawatanguliza wengi mbele ila yeye kamwe hataweza kwenda mbele kwa lolote including maandamano.hata wazanzibar wote wapigie kura upinzani bado atatangazwa Mwinyi kashinda
Lengo ni kwamba mgombea wa upinzani ataki muungano ccm awawezi kumpa urais Maalim Seif Zanzibar labda kama angegombea mtu mwingine...