Zanzibar 2020 Maalim Seif akamatwa wakati akienda kupiga kura ya mapema


Tanganyika ipi? Siyo inayokuja kwa Lissu kesho
 
Nini cha kuvaa ili kujikinga dhidi ya mabomu ya machozi na aina nyenginezo za moshi wa kemikali wakati wa maandamano?

1. Vitambaa vya uso: iwe mitandio au bandana kubwa za kutosha kujifunika kutoka pua hadi kidevu.

2. Hakikisha unavaa kinga kwenye macho iwe kwa kutumia miwani ya jua, au ya kuogelea nk.

3. Hakikisha unafunika ngozi yako yote kadiri iwezekanavyo kwa kuvaa suruali ndefu na shati/fulana zenye mikono mirefu.

4. Vaa viatu madhubuti na ambavyo unaweza kuendea navyo mbio.

5. Vipuri vya masikio (earplugs) ili kusaidia kupunguza sauti ya mabomu na risasi.

Nini cha kuchukua wakati wa maandamano?

1. Maji kwenye chupa yako ya plastiki utakayotumia kuosha ngozi yako au macho.

2. Mkoba wa kuvaa mgongoni utakaoweza kuweka vitu muhimu kama chupa ya maji, kitambaaa, vaseline, nk.

3. Kitambulisho au kitu cho chote kinachoweza kutoa taarifa zako wakati wa dharura.

3. Kuchukua simu ya smartphone itakayokuwezesha kuwasiliana na kurekodi kila matukio yote ya uvunjifu wa amani yanayofanywa iwe na polisi, vikosi, majeshi nk.
 
kama amepiga kura na kuamua kuilinda lazima achague moja au kuomba uwakala au kulala sero!
 
CCM wanataka kutuvurugia amani yetu..... !!
 
Mimi naona kama vile hata polisi wanampaisha Maalim,wataacha watu wakapige kura za hasira na huruma.

Ninadhani hatayeye alijuatu kama atakamatwa hivyo kwake nikama kete ya ushindi
Sio kwa Zanzibar. Zanzibar kura zinafahamika hata kabla ya kupigwa; huko hawachaguagi sera au vyama isipokuwa wanachagua upemba na uunguja basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…