Uchaguzi 2020 Maalim Seif anapodai "Mamlaka Kamili" anamaanisha kuvunja Muungano?

Tafakuri makini juu ya msemo huu inahitajika. Kulinganisha mambo mazito yanayohusu nchi na kote la mtu binafsi ni kukosa weledi.
Ni tafsida tu mkuu. Ujumbe ulifika kwa mhusika.
 
Tunapodai serikali za majimbo we unadhani tunamaanisha Nini? ,

Mfumo utakaotumika kwenye majimbo ndo utaunda serikali ya shirikisho,

Serikali tatu, ya shirikisho ya majimbo

Sijui Kama una akili ya kunielewa
 
Zanziba siyo Jimbo mkuu .... ni nchi!!
 
Zanzibar ni koloni la Tanzania, Hati za muungano zipo wapi?
 
Kwani ulipoundwa hizo theluthi zilipatikana au ulifanyika uhuni tu. Hata hivyo wazanzibar ni wamoja linapokuja suala la Muungano kinachotokea ni vitisho kutoka Dodoma ndivyo vinawatia hofu wahafidhina. Kama upinzani ukishika madaraka hata hao CCM wanotishwa hawatotishika tena. Usisahau katiba ya Zanzibar imeweka wazi kupigiwa kura kwa jambo lolote kubwa la kitaifa. Tutaitisha kura ya maoni kuhusu Muungano kama ilivyokuwa kwa Serikali ya umoja wa kitaifa.
 
Huu ni UKULONI WA MTU MWEUS WACHENI WAZANZIBAR WAAMUE HATMA YAO WATANGANYIKA NI WAKOLONI TUU
 
Muungano huu kwa vyovyote vile lazima tuuvunje HATUUTAKI. Hauna maslahi na Zanzibar, wanaofaidika ni Babu Ali, Balozi Mkaazi, Mzee wa Mkuranga na wahafidhina wengine.
 
Wewe mpumbavu kazi yenu kutugawa wazanzibar mpate mtutawale milele kumbuka kwamba hamtafanikiwa WAKOLONI WEUSI
 
Boss, sijasema popote kuwa "muungano ni wa lazima".

Nadhani maudhui ya hoja zangu hukuyaweka maanani.
Huna hoja nyamazaaa Muungano gani kila uchaguzi mtuletee vifaru kuja kutuuwa
 
Wacha kututisha Wazanzibar wamezagaa dunia nzima na wanaishi Bakharesa ana viwanda ktk nchi zote za maziwa makuu wacheni ujinga
 
Mna haki yankufanya lolote kama wazanzibar ila hata watanganyika pia tuna haki zetu kila mmoja atapambana na hali yake
 
Wewe mpumbavu kazi yenu kutugawa wazanzibar mpate mtutawale milele kumbuka kwamba hamtafanikiwa WAKOLONI WEUSI
Matusi yako hayatasaidia wenzako waliutoa ukoloni kwa mapambano ya silaha na wewe nenda ukapambane halafu utapata majibu yake
 
Hata wewe unaweza mmiliki nyumba Dubai
 
Wacha kututisha Wazanzibar wamezagaa dunia nzima na wanaishi Bakharesa ana viwanda ktk nchi zote za maziwa makuu wacheni ujinga
Hakuna anayekutisha ila muungano ukivunjika kila mtu arudi kwao sanasana tutawalipa fidia tutakayoona inafaa
 
Kuna tofauti unapowekeza kama raia au mgeni, ukiwa raia kuna vitu vingi utapendelewa

Tanzania ya Magufuli bora mgeni kuliko huyo raia , kwani hakuna mgeni aliyebambikiziwa kesi za kijinga

Tanganyika ipo tokea hapo zamani na Zanzibar pia ipo tokea hapo zamani. Watu waliishi na kufanya biashara na hatukusikia hizi fujo mpaka alipokuja Laanatullahi Nyerere akaivamia Zanzibar na kumkamata Waziri Mkuu wake Muhammed Shamte na kumfunga katika jela za Tanganyika kabla huo uvamizi kupewa jina la muungano hapo April 26 1964.

Zawadi yako hii
 

Attachments

  • MTIKILA.mp4
    6.4 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…