Maamuzi magumu: Mume wangu hanijali kwa chochote, nataka kuachana naye

Mimi ni boss tanesco kama hutajali karibu inbox then nielezee yupo kituo gani i mean mkoa then na jina lake nione nakusaidiaje huna haja ya kukimbia
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe mtoa mada haupo serious na mwanao na future ya mama..
inavyoonekana ww ni mwoga sana wa maisha una hofu ya kuanza upya..unkown fear..
ni kweli wanawake tunavumilia sana sana lakini inafika kipindi unasema basi kwan umezaa naye watoto??yaan hakutunzi alafu bado unahangaika na kujitibia uzaz ukishabeba mimbashoga hapo huwez jichomoa tena.
unaniudhi ...alafu leo nahitimisha kwa hilo kabila..wabinafsi sana kwakweli..!
wewe toka kiroho safi usiogope mahari ulotolewa..khaa wewe wa wap??
hebu toka kwanza hapo then tutafutane.!
Kitaa kutakusumbua kama hujawah hussle lakinI hela kitaan ipo tu...!tegemea kupungua na mwili kbsz๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ’ช!
toka fanya shughuli za kukuingizia kipato..ila USIOLEWE TENA๐Ÿ˜›
 
Vumilia kwa mumeo wewe hyohyo kazi ya uganga ndo inawafanya mnakula. Huenda uliingia kweny ndoa bila kujua kaz yake maalum.
Na suala la kujenga kwao yeye anajua anafanya nn huenda anamipango mingine. Lakn suala la kutokupeleka kwny matibabu wakati unaumwa hilo jamaa nae amezingua. Kaa kwa mumeo vumilia ndoa siyo raha tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mawili,unaweza kumuacha na usiolewe tena au unaweza kuvumilia na maisha unayoyategemea katika ndoto zako yasitimie;bado unanafasi kubwa ya kumbadilisha mumeo kwa sababu mwanaume ni kichwa cha familia na mke ni shingo ya familia inaweza kugeuza kichwa kiangalie kushoto,kulia n.k
 
sio kwa hlo kabila nadhan shida kubwa ni mahari kubwa wanazopangiwa ndo wanaamua kuwakandamiza wake zzao
hawz badilika tabia ni ngozi

 
sio kwa hlo kabila nadhan shida kubwa ni mahari kubwa wanazopangiwa ndo wanaamua kuwakandamiza wake zzao
hawz badilika tabia ni ngozi
Kama hawabadiliki hilo ni tatizo,lakini bibie ana nafasi kubwa ya kushauriana na mwenzake kama kweli walioana bila kulazimishana mbali na kuwa faragha pamoja.
 
Mimi nafikiri bado hujachoka! Mtu alochoka hasubirii kuambiwa ondoka au baki!

Naamini kwenye akili yako una maamuzi ambayo unahisi ni sahihi kwako! Hebu fanya venye moyo wako unapenda!
 
Mimi nafikiri bado hujachoka! Mtu alochoka hasubirii kuambiwa ondoka au baki!

Naamini kwenye akili yako una maamuzi ambayo unahisi ni sahihi kwako! Hebu fanya venye moyo wako unapenda!
[emoji23][emoji23][emoji23] mdogo wangu umenena, huwa naogopa sana kumwambia mtu ondoka na nikimwambia endelea kuvumilia ataona sijali maumivu yake kwa hiyo masuala ya ndoa mimi huwa sitoi ushauri kwa kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Istoshe zijasema hanipi matumiz ya mtoto ...mzazi mwenzangu keshatangulia mbele za haki
Mwanangu yupo kwa mama angu kanikuta nina biashara zangu namsomesha mtoto wangu medium lkn Sasa nimeolewa nimeacha biashara Sina kipato chochote mtoto namleaje?
Pole sana mdada, kanda hiyo ni ngumu sana halafu wazazi wengine utazani hawakuwa na wazazi lakini waliishi maisha yao, jaribu kuongea naye au rudi kwenye ofisi yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mdogo wangu umenena, huwa naogopa sana kumwambia mtu ondoka na nikimwambia endelea kuvumilia ataona sijali maumivu yake kwa hiyo masuala ya ndoa mimi huwa sitoi ushauri kwa kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
Ogopa watu waliojifunika shuka moja dada kwa miaka kadhaa!
Sio kwamba hatuwapendi ila tunaogopa kuwaamulia!

Hebu aamue mwenyewe jamanii!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ