Maamuzi Magumu: Nimeamua kuwa baba wa mtoto wa rafiki yangu

Acha ujinga ww. Kama alikuwa na mapenzi na wewe angekutafuta mkawa wote. Tupo busy na maandalizi ya kampeni. Huyo dadani muhuni nadhani hauwajui wanawake wapore .
 
Acha ujinga ww. Kama alikuwa na mapenzi na wewe angekutafuta mkawa wote. Tupo busy na maandalizi ya kampeni. Huyo dadani muhuni nadhani hauwajui wanawake wapore .
Asante kwa ushauri wa hekima
 
mkuu Mswati nimepitia kisa chako kwa makini, kwanza nikupongeze kwa ujasiri uliochukua. Ni maamuzi magumu, lakini ndiyo uanaume. watu wengi wana moyo dhaifu, ndo maana wanakupinga na hawaelewi. lakini mimi ninaweza kuelewa,
Fanya kitu kwa amani ya moyo wako. usirudi nyuma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekusoma mkuu
 
Mzee wa kula kimasihara, unaanza kuhisi kwamba bro hatungishi?

Hahaaa Riki bwana!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu una siasa kaliii!! Mwanao yupo level gani ya elimu???? Kuna kitu unaficha kuhusu hilii
 
Mzee wa kula kimasihara, unaanza kuhisi kwamba bro hatungishi?

Hahaaa Riki bwana!
Niletee dadako kama ni mrembo, atarudi akitema mate siku chache tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…