interegenciadick
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 698
- 1,090
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kwako kashasha,Alikuwa na mpenzi nje ya nchi na akaenda kufanya mipango ya kuolewa.....akarudi pia kuna jamaa flani alimnyemelea kitambo naye akala na kapachika mimba ila huyu dada anajielewa sana sababu kabla ya kwenda nje kumfuata mpenzi wake ulirusha ndoano na ukamvua kama kawa...ila hii chain nyoko sana
Ila fresh ili ulimwengu u balance lazima kuwepo na mafala kama ww
Rikiboy, wewe bado mvulana kwa ufahamu ulio nao.Mkuu umetoa ushauri mzuri sana na hii jamaa inaonekana Amempenda demu kwa muda tu maana hana mpango wa Kumuoaa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Genye zitaishaa tuuu ataamka toka usingizinii
Haya mkuu suala jema sanaa...!! Bhasi kila lakherii... Hongera kwa moyo mkuuuRikiboy, wewe bado mvulana kwa ufahamu ulio nao.
Age yangu na uzoefu wangu nimemaliza mihemko ya kingono.
Nimevuka utoto huo.
Nina ushawishi kwa mwansmke yeyote nimtakaye na sina haja ya kutumia hila hii
Na hicho ndio ninachokiona. Tena atamchoka haraka huyo demu,ataanza kujiona tofauti kwa maamuzi ya haraka. Muda mwingine maamuzi kama huwa yanaenda moja kwa moja kuharibu mfumo wake wa maisha woteMkuu umetoa ushauri mzuri sana na hii jamaa inaonekana Amempenda demu kwa muda tu maana hana mpango wa Kumuoaa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Genye zitaishaa tuuu ataamka toka usingizinii
Huu unaitwa uhuru wa mawazo lakini hujaelewa chochoteNa hicho ndio ninachokiona. Tena atamchoka haraka huyo demu,ataanza kujiona tofauti kwa maamuzi ya haraka. Muda mwingine maamuzi kama huwa yanaenda moja kwa moja kuharibu mfumo wake wa maisha wote
Mkuu nitasaidia na shukrani sio jadi yangu kutakaNeno moja fanya wema nenda zako ukisubiri shukran utajiua bure tukose mchango wako kwenye uchumi wa kati
Kwa kifupi kama ni kusapoti sijaanza leo, ninesomesha binti 2 bila mtu kujua na sasa wako chuo na wsnaniheshimu kama mlezi na sijataka fadhila ya ngono
Hajanijibu badoo...Wwe una mtoto mkuu au tayari umefanya vasectomy
Wewe una watoto wako wa kuwazaa???????????Kwa kifupi kama ni kusapoti sijaanza leo, ninesomesha binti 2 bila mtu kujua na sasa wako chuo na wsnaniheshimu kama mlezi na sijataka fadhila ya ngono
Vijana na ujana mkuuHajanijibu badoo...
Mkuu wewe ni time Traveller uliishi zama za Yesu sasa umerudi katika ulimwengu huu[emoji23][emoji23][emoji23] Sema anyway itakuwa unampenda sana huyo mdada lakini Angalia usiwe unategemea kulipwa wema 100% huyo dada anaweza kuendeleza mechi za ugenini na Jamaa aliekataa mimbaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Maana wanawake achana nao mkuu.
Muhimu ni basic needs mkuuKwa kifupi Mungu hajaninyima chochote muhimu