Maamuzi Magumu: Nimeamua kuwa baba wa mtoto wa rafiki yangu

Mwenyezi Mungu akakuongoze katika kutimiza azma hii. Hakika u wa kipekee. Nakuombea kheri.
 
Hongera mkuu wanaume km nyie mpo wachache sana,
Kuna mchepuko nilizaa nae kulingana na ukaribu wetu wa kifamilia ilibidi adanganye baba mwenye mimba kaingia mitini, alivyoanza kliniki akamwambia dr mtoto hana baba, dr akamtaka wawe wote na atamuoa na huyo mtoto apewe ubini wake kwa kua ananipenda sana kakataa...

Tumeenda hadi amejifungua yule dr bado kang'ang'ania lengo lake hadi nyumbani kwao kaenda na huduma akawa anatoa japo huyu binti hakutaka akataka kuja kujitambulisha akakataa na akamkasirikia kabisa, kimoyo moyo natamani akubali kwa kua mimi siwezi kumuoa anajua hilo na nmeshindwa kumwambia akubali maana aneza pagawa nkimshauri hivyo, nkikumbuka kauli yake "nipo tayari hata kua mke wa 200 kuliko kuachana na wewe" mi pia nampenda lkn ni family friend sana.

Hii tread yako imenifanya niamni hata yule dr alikua siriazi kweli sio kumchezea.
 
Duuh kweli kufa kufaana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mkuu unatoa matunzo?
 
Nimekuelewa vema lakini tujue tu
1 Umeoa
2 Unaendeleza mahusiano na biDada au unalea mtoto
3 atakapoelewana na baba wa mtoto na kuamua kumludia nn kitatokea upande wako
4 usiuwashe moto usioweza kuuzima lakini bado nakupongeza kwa maamuzi magumu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu una siasa kaliii!! Mwanao yupo level gani ya elimu???? Kuna kitu unaficha kuhusu hilii
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wewe bangi kwa sauti ya Mbasha
 
Hongera kwa uamuzi wako mgumu, pongezi pia kwa kuwa na moyo wa chuma.
 
Sio majungu mkuu ila binafsi ninavojua wanaojielewa hasa WANAUME wanatoa msaada bila kujitangaza kuwa wamesaidia.
Kwa mawazo yangu finyu kitendo cha kutoa taarifa hapa ni kuwa unampenda huyo dada umeleta uzi kisomi kupata ushauri.

USHAURI:kama unampenda oa yaani oa bila kujali ni single mama.
 
Kwani mtoa mada anategemea malipo gani?
Anategemea kuishi na Huyo mtoto maana kasema atamjengea, sasa jiulize huyu mama mtoto kaenda kwa MTU wake nje huko wakagombana kaja huku kabeba mimba ya mwingne hapo yeye hesabu yake haipo hili swala ukilipeleka kwenye familia hata wadogo zako lazima wakufunge kamba wakakupime vizuri.
 
Wapi amesema anataka kuishi nae? Muwe mnasoma vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…