Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

[emoji817]%✓
The reason only .
Adimu mno kipindi hiki hakika
 
Mkuu John henry

Humu angalia na watu wakuwa-quote ili kuendeleza mjadala wenye akili kiasi ukikaa baadae unakumbuka unasema kwa kweli fulani japokuwa simfahamu kwa kumuona ila kwa hoja zile kaongea points,otherwise ni kujichosha tu!

Wapo watu humu ni pointless unakuta uzi umejaa vi-post vyao vya hovyo (hasa wanawake walioshaingia menopause bila hata kutamkiwa kwa utani kwamba nitakuowa) kupitia vidole vyao u can tell wanafananaje,wanafanya kazi gani na wana stress kiasi gani,post zao ni kuzi-skip tu maana wanajaza server na utajikuta unatumia muda mrefu kuongea nao but uelekeo kwamba ameelewa japo sentence mbili hakuna.

Hasara sana hii kwa wazazi!!!
 
Hamna kitu hapo Mkuu, huko ni kujazana upepo tu, ndoa imara na yenye upendo hujengwa na uwepo wa pesa tu. Hayo mengine ni ujinga mnaojazana huko kwenye mafundisho yenu, tafuteni pesa kwanza.
 
The story book "Rose Mistika"

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Mimi nitazungumziaje maamuzi ya watu na miili yao jamani, kwangu mimi na mipaka mtu anayejiskia kufanya na afanye tu kwa Raha zake Mimi ni Nani nihukumu wengine.
Sister nadhani kwa mtazamo wako hukutakiwa kuchangia hapa,pia nadhani humuelewi bwana joka jeusi,tunaposema kitu ni dhambi sio kwamba ni kwa mujibu wa mtazamo wa binadamu mwingine..mfano zinaa au tuseme umalaya hiyo ni dhambi iko wazi katika dini zote

Na suala la mtu kuamua anachotaka kwenye mwili wake ni point ya waovu ambao hata ulaya wanatumia hiyo kuchochea mapenzi ya jinsia moja..Mungu aliekuumba alishaweka sheria za wazi juu ya mwili wako ikiwemo kukataza kuzini,nimefatilia michango yako kwenye hiii mada,nimetambua wewe mtazamo unatetea uovu.

Huwezi sema hata mwanao eti utamruhusu aliwe tu asijitunze sababu ya mumewe,huu ni umagharibi kabisaa na maisha ya kwenye movie,lakini ikija kwenye maagizo ya Mwenyezi Mungu ni dhambi 100% bila kupepesa macho.

Pia natambua kuna dhambi nyingi but mlengo wa uzi huu ni kuzungumzia uzinzi (umalaya kama asemavyo mtoa uzi)

So from the beginning haupo sahihi labda uwe hauna dini,na kama hauna dini bhasi hauna maadili.
 
Nadhani uwepo wa mabikra huchagizwa na wanaume kupunguza/kuacha uzinzi maana wanaowatoa hizo bikra si ni sisi?
Ila naona mkuu Joka hizi mada za mabikra umezivalia njuga milele😄
 
**** haina makombo, alisikika padri akihimiza
 
Kuna wengine wametolewa bikra na ufanyaji wa kazi ngumu au michezo ya kuendesha baiskeli wakiwa mabinti wadogo nk nk.

Hawa unawaweka katika kundi gani?
Mkuu umechanganya nyaraka (documents), Hapo wewe umeongelea HYMEN.. Ngoja nikukumbushe kidogo, kuna tofauti kubwa kati ya HYMEN na VIRGINITY.
Mwanamke anaweza kuwa ni VIRGIN lakini asiwe na HYMEN.
• Bikra (Virgin) - inamaanisha mtu ambaye hajawahi kukutana kimwili (sexual inter course).
• Hymen (ni utando flani wa misuli unaoziba kidogo sehemu ya uke)
ikumbukwe kwamba mwanamke anaweza kuwa Bikra (Virgin) na asiwe na huo Utando (Hymen).
Sio kila mwanamke amezaliwa akiwa na Hymen, na wapo wanawake walizaliwa wakiwa na Hymen ila ikatoka kwa njia zingne (kuendesha baiskeli etc.) kabla hata ya kukutana kimwili na Mwanaume.

cariha , Mother Confessor
 
Hyo huwa mnajifariji tu haina maana yoyote hasa sikuhizi bikra xinatengenezwa na uke una banwa vizuri wewe hujui wajiona umepata
We km sio bikra tulia, maana unaforce Sana watu tuone demu asiye bikra n kawaida tuu
 
Mkuu...usimuache mtoto wako awe mzinzi kwa kigezo Cha kuenjoy maisha...Khaaa SASA ULEZI GANI HUU...

yaani utamsihi akatombane afurahie maisha...Mh
Dada ficha ficha bhac ,Yan unatamka waziwazi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji4][emoji23]
 
Good point [emoji3578]
 
Kuna mdau mmoja kafunga ndoa majuzi na binti fresh. Shangazi wa binti kamng'ang'ania atoe zawadi kwa kumtunzia bikra. Nimeipenda sana hii kwamba bado wako watu wanaenzi tamaduni za malezi sahihi ya binti. Hii ni heshima kubwa kwa wazazi wa binti
Utakuja kutupa mrejesho ndoa inaendeleaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…