Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Habari Wakuu!

Tangu nijiunge humu JF nimekuwa nikiwapigia chapuo wanawake wenye bikra ndio wake bora.

Asilimia 90% ya wanaume tuliooa wanawake wenye bikra hatuna kesi za ajabu ajabu ndani ya ndoa. Wanawawe sio malaya, wanaadabu, hawana tamaa ya hovyo hovyo. Wakati 10% iliyobakia ya waliooa wanawake wenye bikra wanapata mikasa na vitimbwi vya ndoa.

Hii ni tofauti na wale wenzangu na miye waliooa wanawake wasio na bikra ambao 90% wanahenyeka, wanaipata fresh ya shamba. Huku 10% ndio wakineemeka.

Wakati 99% ya wanaume waliooa single mother wakiiona dunia jehanamu, ndoa chungu na maruweruwe. Huku 1% ya wanaume waliooa single mother ndio wakienjoi.

Sisi tuliooa wanawake wenye bikra mpaka hivi leo tunapeta na wengi tunaenjoi maisha.

Faida ya kuoa mwanamke mwenye bikra

1. Hawezi kukuona kibamia
2. Kiroho mnamafungamano
3. Mtazaa kizazi kisicho cha zinaa tofauti na kuoa mwanamke ambaye tayari ameshafanya uzinzi. Ambapo mtoto wako atapitia kwenye uke ulionajisiwa na wanaume wengine na kumwagiwa manii zingine.

4. Heshima na adabu
Siku zote mwanamke anayekuheshimu atakupa kitu kipya na sio mtumba. Wanawake wa siku hizi wanawadharau wanaume kwa sababu wanaume wengi siku hizi wameamua kula makombo, kula mtumba. Mwanamke hawezi kukuheshimu ikiwa ulimuoa akiwa hana bikra. Hata Mungu mwenyewe hapendi makombo, Mungu kumpa sadaka au zawadi used ni kama umemdharau. Ndio maana akawaambia hata watu wake waoe wanawake bikra, ili wasijitie unajisi wao na kizazi chao.

5. Ukioa Bikra huwezi pata sijui mwanamke aliyetoa mimba, sijui aliyezaa.
Siku hizi wanaume wanaoa wanawake wauaji bila ya wao kujua. Unakuta unaoa jianamke lisilo na bikra kumbe tayari limeshaua watoto kwa kutoa mimba nyingi tuu. Sasa njia bora kuzuia mashaka hayo ni kuoa mwanamke bikra.

6. Mwanamke hatakuwa na Kumbukumbu za Ma-ex wake
Ukioa mwanamke bikra huna wasiwasi, unajiamini kwa sababu wewe ndio wa kwanza. Huwezi linganishwa na mwanaume mwingine kwa sababu hakuna wa kulinganishwa naye. Ila ukioa mwanamke asiye na bikra ni lazima afanye ulinganisho baina yako na wanaume waliompitia. Siku zote awali ni awali. Na siku zote upendo wa kwanza ndio upendo halisi.

Nafahamu mada hii itawaumiza wanawake wengi ambao hawana bikra na hawajaolewa, au waliombioni kuoa mwanamke ambaye hajamkuta bikra. Lakini huo ndio ukweli. Wewe kama huna bikra au uliolewa bila bikra na ukaolewa na mwanaume mwingine ambaye hajakutoa bikra basi tambua wewe ni malaya.

Sisemi malaya wasiolewe, ila lazima mtu kabla hajaoa atambue kuwa changamoto za kuooa malaya ni zipi.
Siku hizi watu wanakuambia ndoa ndoano, au ndoa uvumilivu moja ya sababu ni kuoa wanawake wasio na bikra. Kuoa mwanamke asiye na bikra yataka moyo. Yaani unaoa mwanamke ambaye unafahamu fika kuwa mwanamke huyu ni malaya yaani tayari keshalala na mwanaume mwingine. Kabla hujaoa mwanamke asiye na bikra jiulize utaweza vumilia changamoto za malaya?

Ni tofauti na sisi tuliooa wanawake bikra ambao kimsingi tunakuwa waalimu wa wake zetu tukiwafundisha kila mazuri na mabaya. Lakini unapooa mwanamke asiye na bikra basi tambua yale aliyojifunza kwa waliomtoa bikra basi anakuja ku-apply kwako.

Wakuu bikra zipo, mabinti wapo kibao wenye bikra, acheni kusema bikra hakuna, bikra zipo nyingi kidato cha tano, cha sita, chache zipo chuo.

Nafahamu kuna bikra za kutengeneza, lakini mwanamke bikra hata akili yake huwa bikra hilo ni muhimu.

Bikra matters!

Povu Ruksaa
[emoji817]%✓
The reason only .
Adimu mno kipindi hiki hakika
 
Kakuita malaya kwasabab umeonesha tabia za kimalaya!!!! Mwanamke anayejiheshimu hawezi tamka eti papuchi ni ya kusuguliwa sana!! tena unasema na mtoto ya mtoto wako itumiwe sana!!! Unaleta picha gan kwa jamii kwa hyo maeneno yako na kizaz cha baadae na ww ni mama mtarajiwa,,, binti wadogo watajifunza nn kutoka kwako kama sio umalaya kutokana na kauli yako!!
Mkuu John henry

Humu angalia na watu wakuwa-quote ili kuendeleza mjadala wenye akili kiasi ukikaa baadae unakumbuka unasema kwa kweli fulani japokuwa simfahamu kwa kumuona ila kwa hoja zile kaongea points,otherwise ni kujichosha tu!

Wapo watu humu ni pointless unakuta uzi umejaa vi-post vyao vya hovyo (hasa wanawake walioshaingia menopause bila hata kutamkiwa kwa utani kwamba nitakuowa) kupitia vidole vyao u can tell wanafananaje,wanafanya kazi gani na wana stress kiasi gani,post zao ni kuzi-skip tu maana wanajaza server na utajikuta unatumia muda mrefu kuongea nao but uelekeo kwamba ameelewa japo sentence mbili hakuna.

Hasara sana hii kwa wazazi!!!
 
Hamna kitu hapo Mkuu, huko ni kujazana upepo tu, ndoa imara na yenye upendo hujengwa na uwepo wa pesa tu. Hayo mengine ni ujinga mnaojazana huko kwenye mafundisho yenu, tafuteni pesa kwanza.
 
Nafahamu yote hayo, akichepuka haina shida, nitamfukuza kwa umalaya.
Nitatafuta bikra mwingine, lakini kamwe siwezi oa mwanamke asiye na bikra.

Yaani mtoto wangu apite kwenye njia iliyoingiziwa Mboolo nyingi hiyo sitaruhusu, lipo chini ya uwezo wangu.
The story book "Rose Mistika"

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Mimi nitazungumziaje maamuzi ya watu na miili yao jamani, kwangu mimi na mipaka mtu anayejiskia kufanya na afanye tu kwa Raha zake Mimi ni Nani nihukumu wengine.
Sister nadhani kwa mtazamo wako hukutakiwa kuchangia hapa,pia nadhani humuelewi bwana joka jeusi,tunaposema kitu ni dhambi sio kwamba ni kwa mujibu wa mtazamo wa binadamu mwingine..mfano zinaa au tuseme umalaya hiyo ni dhambi iko wazi katika dini zote

Na suala la mtu kuamua anachotaka kwenye mwili wake ni point ya waovu ambao hata ulaya wanatumia hiyo kuchochea mapenzi ya jinsia moja..Mungu aliekuumba alishaweka sheria za wazi juu ya mwili wako ikiwemo kukataza kuzini,nimefatilia michango yako kwenye hiii mada,nimetambua wewe mtazamo unatetea uovu.

Huwezi sema hata mwanao eti utamruhusu aliwe tu asijitunze sababu ya mumewe,huu ni umagharibi kabisaa na maisha ya kwenye movie,lakini ikija kwenye maagizo ya Mwenyezi Mungu ni dhambi 100% bila kupepesa macho.

Pia natambua kuna dhambi nyingi but mlengo wa uzi huu ni kuzungumzia uzinzi (umalaya kama asemavyo mtoa uzi)

So from the beginning haupo sahihi labda uwe hauna dini,na kama hauna dini bhasi hauna maadili.
 
Nadhani uwepo wa mabikra huchagizwa na wanaume kupunguza/kuacha uzinzi maana wanaowatoa hizo bikra si ni sisi?
Ila naona mkuu Joka hizi mada za mabikra umezivalia njuga milele😄
 
Hata shetani anaupendo.

Ndoa zote uzionazo zilianza kwa upendo lakini kuna upendo wa malaya sijui kama unaujua huo?

Kama anaupendo wa dhati asingekupa kitu used, na ndio maana mwanamke mwenye upendo wa dhati humpa mume wake vinono vikiwa vipya. Sasa mtu anasema anakupenda alafu anakupa K makombo duuu!
**** haina makombo, alisikika padri akihimiza
 
Kuna wengine wametolewa bikra na ufanyaji wa kazi ngumu au michezo ya kuendesha baiskeli wakiwa mabinti wadogo nk nk.

Hawa unawaweka katika kundi gani?
Mkuu umechanganya nyaraka (documents), Hapo wewe umeongelea HYMEN.. Ngoja nikukumbushe kidogo, kuna tofauti kubwa kati ya HYMEN na VIRGINITY.
Mwanamke anaweza kuwa ni VIRGIN lakini asiwe na HYMEN.
• Bikra (Virgin) - inamaanisha mtu ambaye hajawahi kukutana kimwili (sexual inter course).
• Hymen (ni utando flani wa misuli unaoziba kidogo sehemu ya uke)
ikumbukwe kwamba mwanamke anaweza kuwa Bikra (Virgin) na asiwe na huo Utando (Hymen).
Sio kila mwanamke amezaliwa akiwa na Hymen, na wapo wanawake walizaliwa wakiwa na Hymen ila ikatoka kwa njia zingne (kuendesha baiskeli etc.) kabla hata ya kukutana kimwili na Mwanaume.

cariha , Mother Confessor
 
Hyo huwa mnajifariji tu haina maana yoyote hasa sikuhizi bikra xinatengenezwa na uke una banwa vizuri wewe hujui wajiona umepata
We km sio bikra tulia, maana unaforce Sana watu tuone demu asiye bikra n kawaida tuu
 
Mkuu...usimuache mtoto wako awe mzinzi kwa kigezo Cha kuenjoy maisha...Khaaa SASA ULEZI GANI HUU...

yaani utamsihi akatombane afurahie maisha...Mh
Dada ficha ficha bhac ,Yan unatamka waziwazi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji4][emoji23]
 
Kuna watu naona wanahoji kuhusu kama aliyeleta mada an yy alikuwa bikra au la?? Kwa mwanaume ubikra hauna maana yoyote na pia kwa experiece yangu wanawake hawaipi upaumbele bikra kwa mwanaume kama sisi tunavyoipa kipaumbele kwa wnawake!!! Af cha msingi wanaume tunajua kutofautisha sex na hisia na hyo ndo tofauti yetu na wanawake,, mwanaume hata akicheat na ex wake na ana mke hawez kumsahau mke wake au kuondoa feelings kabisa ila mwanamke akianza kukucheat na ex wake au mtu yyte feelings zinahamia huko!!
Good point [emoji3578]
 
Kuna mdau mmoja kafunga ndoa majuzi na binti fresh. Shangazi wa binti kamng'ang'ania atoe zawadi kwa kumtunzia bikra. Nimeipenda sana hii kwamba bado wako watu wanaenzi tamaduni za malezi sahihi ya binti. Hii ni heshima kubwa kwa wazazi wa binti
Utakuja kutupa mrejesho ndoa inaendeleaje
 
Back
Top Bottom