Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Hivi ni kijiji gani kule tanga kimejaa mabikra wanasubiria ndoa na mahali za gharama??
 
KIROHO : Yesu alizaliwa na mwanamke aitwaye MARIA ambaye alikuwa "bikra" na baada ya hapo YOSEFO aliitoa hiyo bikra ya MARIA, kwani huyu Maria na Yosefo walipata madhara?
kwahiyo maria alivyozaa bikira ilibaki au??
 
imeandikwa wapi mkuu
 
Mkuuu jokha JEUSI inabidi Upanue wigo..JF inawatu wachache unaweZa ukaweka spika pale manzese...kila weekend ukawa unasisitiza hili ....nadhani utafikia hadhira kuubwa zaidi

Hongera kwa kuoa bikra na tajiri..Mungu akupe Nini[emoji23][emoji23][emoji23]
 
KIROHO : Yesu alizaliwa na mwanamke aitwaye MARIA ambaye alikuwa "bikra" na baada ya hapo YOSEFO aliitoa hiyo bikra ya MARIA, kwani huyu Maria na Yosefo walipata madhara?
Kwakaiyo bikra Maria alizaa Yesu..alafu anaendelea kuwa bikra...doooh
 
Inshort umeongea ukweli mkuu! Mwanamke unakuta amekojolewa na wanaume kibao huko! Halafu eti njia hiyohiyo anakuzalia mtoto wako!

Huyo mtoto anaishia kuwa na tabia chafu na tabia za ajabuaajabu.

Wanaume tafuteni wanawake mabikira wawekeni ndani! Utazaa watoto safi na utafurahi mwenyewe!
 
Naona uchafu wako wa tabiaa...utakuwa ni kwasababu ya mamayako..

Kweli kabisa Usioe mke Kama Mama yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…