T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,674
- 29,643
Bikra na iheshimiwe na watu wote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo maana nikasema , kuvunja au kuoa bikra si kwamba ndo tiketi ya uaminifu .Jamaa yangu alitoa bikra demu mmoja baada ya wiki kamfumania demu ashagawa kwa watu wanne.Fungua njia atataka kujaribu nyingine kama ni tamu
😁😁 nishapata watoto sasa hivi nawatafutia chakula na kuwaachia legacy/empireI can feel your pain [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] komaa nao hao hao wanaokuzunguka mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sure uko sawa,bikra is overrated! same as sexNdiyo maana nikasema , kuvunja au kuoa bikra si kwamba ndo tiketi ya uaminifu .
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo si umemuacha kihalali.. na ulikuwa nae kihalaliIna maana ukamuoa kisha ukamkuta bikra halafu ukaitoa , kisha mambo yakawa si mambo ukampa talaka 3 means katika wale watakao muoa tena au kumpiga ukuni bila ndoa pia una adhabu yako?
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipo Bayana ila uhakika ndio hatuna ndio maana kuna Dua za kuomba Funga zetu zikubaliwe.Ndiyo maana funga ikawa ni fumbo hata malaika hawajui ina malipo yapi, na kingine vitu vinavyoharibu funga si vimewekwa bayana? Na vinavyofanya isiwe batili pia vipo mbona ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Toba ya kweli unaijua ? Na masharti yake..?
😀 😀Ukioa bikra hata umkute mkeo analiwa hapo nje, bado unajiamini.
Lakini usipooa bikra hata usipomuona mtu akimfukuzia mkeo bado unakuwa na wasiwasi
Yap unapiga na hizo dua .Vipo Bayana ila uhakika ndio hatuna ndio maana kuna Dua za kuomba Funga zetu zikubaliwe.
kwahiyo maria alivyozaa bikira ilibaki au??KIROHO : Yesu alizaliwa na mwanamke aitwaye MARIA ambaye alikuwa "bikra" na baada ya hapo YOSEFO aliitoa hiyo bikra ya MARIA, kwani huyu Maria na Yosefo walipata madhara?
imeandikwa wapi mkuuYes hivyo vyote unavibeba hata kama hujamtoa Bikra , kitengo cha kumuingilia ni tyr ushayabeba.
Ila kwa kitendo cha kutoa Bikra kinaenda Extra mile..
Kila MWANAUME atakayempitia huyo Mwanamke.. Na Ww mtoaji wa Bikra unapata Commission ya DHAMBI ya Uzinzi ya yule mwanamke.. mpk kufa kwake.
Kwakaiyo bikra Maria alizaa Yesu..alafu anaendelea kuwa bikra...dooohKIROHO : Yesu alizaliwa na mwanamke aitwaye MARIA ambaye alikuwa "bikra" na baada ya hapo YOSEFO aliitoa hiyo bikra ya MARIA, kwani huyu Maria na Yosefo walipata madhara?
Wewe usie Amini wanawake .huyo anaweza kukufaaaMaisha yanahitaji pesa,bikra hana tako sura ya baba ni upuuzi tu
Naona uchafu wako wa tabiaa...utakuwa ni kwasababu ya mamayako..Inshort umeongea ukweli mkuu! Mwanamke unakuta amekojolewa na wanaume kibao huko! Halafu eti njia hiyohiyo anakuzalia mtoto wako!
Huyo mtoto anaishia kuwa na tabia chafu na tabia za ajabuaajabu.
Wanaume tafuteni wanawake mabikira wawekeni ndani! Utazaa watoto safi na utafurahi mwenyewe!