Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Asa akili zingine bhn, yaani nikose wadada wote duniani mpaka nioe single mother UTOPOLO [emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Sasa utaoaje mwanamke aliyeachika wakati unajua mme aliyezaa naye yupo?
Nadhani single mother mzuri wa kuoa hata kama amezaa,ni yule aliyefiwa na mmewe basi! Kinachotakiwa ukimuoa kama mnataka kuishi naye vizuri mpende mtoto wake.
Unachopaswa kujua kabla ya kuoa Single mother,NI VIGUMU KUMTENGA MAMA NA MTOTO WAKE ALIYEMZAA! Uchungu wa mwana anaujua mama siyo baba.
 
Umeniacha hoi, eti hatajua mambo ya vibamia! Ni kweli maadamu hajawahi kutembea na mwanaume atajua wanaume wote wako hivyo. Na wewe mwanaume kama hujawahi kutembea na mwanamke utajua wanawake wote ni size ya mke wako.

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
Mpo poah wakuu!

Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu..

Tumerudi nyumbani, Moshi kama ilivyo ada, kwa wakazi wa moshi mjini, Nipo hapa Kibosho Road. Mimi ndio nilikuwa wakwanza kuja moshi kabla ya dogo ambaye amekuja jumapili ya wiki hii.

Sasa juzi jumanne Dogo katuweka kikao, akatuambia amepata mchumba na anafikiri kuwa huyo ndiye mke wake. Tukafurahi, Dingi akaagiza kreti ya bia ili kikao kikamilike.

Mama na Baba waliuliza maswali yote ya msingi kumhusu huyo mchumba wake, Dogo akayajibu vizuri sana, Wazazi walifurahi mno.

Kikao kilikuwa na watu kumi. Baba, Mama, ndugu zangu wanne, yaani mimi, kaka yangu, dada, na huyo dogo wetu wa mwisho mwenye mchumba, Baba mdogo na mke wake na watoto wadogo wawili wa baba mdogo.

Kwa vile ndugu zangu wakubwa wako bize, nikateuliwa mimi ndio siku yakwenda kutoa mahari basi mimi niwe bega kwa bega na dogo. Dogo alifurahi ukizingatia mimi naye tumenyang'anyana ziwa na tunapenda kichizi.

Katika hali isiyotarajiwa, hali ikavurugika, kutokana na swali langu nililouliza, Niliuliza hivi; Huyo mchumba wako ni bikra? Kama ni bikra nitaenda na wewe kutoa mahari, kama sio tafuta mwingine wakuenda naye.

Kauli hiyo ilileta ukimya kisha,kilichiofuata ni kelele kutoka kwa Dogo, kikao kikagawanyika katikati, wapo walioniunga mkono akiwepo Baba, Mama yangu, na Dada yangu, lakini Kaka Mkubwa, Baba mdogo na mama Mdogo wakaungana na Dogo.

Siku ikaisha, dogo akaondoka nyumbani akaenda kwa Baba Mdogo Anakaa Majengo.

Jana jioni karudi, amenuna mno, hataki kuongea na mtu. Nikamuita, tukazungumza kwa kirefu kama lisaa na nusu. Mbaya zaidi ananiambia huyo mrembo anamtoto mmoja. Hapo ndio nikawambia kabisa sio kwenye mahari tuu sitaenda,, hata kwenye harusi yako sitakuja, na wala sitakuja kwako kabisa, na wala usinihusishe na mambo ya nyumba yako.

Aliponiuliza kwa nini, nilimuelezea sababu nyingi sana, tuliongea mpaka saa sita za usiku

Leo asubuhi wakati tunapara kifungua kinywa, alizungumza maneno mafupi sana.
" Naombeni mnisamehe. Nimewaelewa"

Sikukuu ndio kesho, familia imeamua hakuna wakupinga.

Jokajeusi
 
Alafu hii ni story ya kutunga tu

Sasa huyo mdogo wako awe na mahusiano na huyo msichana mpaka wafikie hatua ya kufunga ndoa, asijue kuwa huyo msichana ni singo maza.

Je huyo mdogo wako nae ni bikra?
Kama na yeye alishat*mb watoto wa Watu na kuwaacha, leo hii aanze lilia bikra?
 
Sema tunatofautiana kimtazamo

Kama na yeye anao uhakika ajawahi lala na msichana yoyote yule bhasi ni sawa kulilia Bikra

Ila kama alishafanya uhuni huko nyuma, inakua haileti maana
 

Wapi nimesema alikuwa hajui mkuu?
Kwenye kikao cha wote hakusema kuwa binti huyo anamtoto. Kaniambia tukiwa wawili.

Maswali mengine wanauliza mademu au mashoga, tangu lini mwanaume akawa bikra? swali la hivi wanauliza mademu na mashoga. Kwa maana wao ndio wanabikra.

Mwanaume sio bikra na hawezi kujiita bikra labda awe shoga anayejitambulisha kwa basha wake.
 
Sema tunatofautiana kimtazamo

Kama na yeye anao uhakika ajawahi lala na msichana yoyote yule bhasi ni sawa kulilia Bikra

Ila kama alishafanya uhuni huko nyuma, inakua haileti maana

Kulala tutalala na wanawake mpaka dunia iishe.
Ila hatuwezi toa bikra za watu, tunaharibu vilivyoharibiwa. Lakini hatuoi vilivyoharibiwa

Lakini kamwe hatuwezi kuoa mwanamke asiye na bikra
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…