Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Kuna koo zina mambo ya ajabu ajabu, huyo binti ashukiru sana Mungu kwa kumuepushia na hiyo ndoa.

labda amshukuru mungu aliyemtoa hiyo Bikra

Hatutaki mikosi kwenye koo zetu
 
Unaweza kuwa upo sawa, lakini mkumbuke hadi mtu kufikia hatua ya kutaka kupeleka mahari kwa wazazi wa mwanamke ni dhahiri wao wawili kama mume na mke mtarajiwa wameshafika mbali, hivyo kukata kwa haraka ama hiyo ni dhahiri mwanamke lazima ataumizwa sana!
Pia ingekuwa busara kama kamta mngemtaka kwanza ndugu yenu amtambulishe bint mbele ya familia na kwa vile yupo hapohapo Moshi, mgejaribu kumfanyia uchunguzi kujiridhisha na tabia zake make sio single mama wote wana tabia moja, kuna wengine huwa wamezalishwa kwa bahati mbaya sana kutokana kutokana na udanganyifu mkali wa wanaume!
Pia kuhusu suala la bikira mie haikuwa sahihi kulitumia kama kigezo provided nduguyo tayari alisharidhika na mzigo, Vingievyo mtasuiri sana na kuna uwezekano akajapata huyo ikira lakii vijitabia vikawa i heri hata agechukua huyu sigle mama!...Mark my words!
 
Mkuu mimi napita hapo Kibosho kwa mama yangu natokea himo...naelekea Arusha nyumbani kwaajili ya sikukuu

Naomba huyo kijana awekwe hapo njia panda ya kupandia kibosho apate viboko 50 kwanza kisha apewe kisusio ale sikukuu na maumivu akiwa amepata funzo
 
Mada zako ukianzisha Siku hizi kuhusu bikra hazina maajabu kivilee
 
Hujamuelewa mleta mada, inawezekana Dogo alijua hayo yote na hakusema na pia hakujua msimamo wa huyu kaka yake
 
Dogo alishindwa nini kusema huyo mchumba ni bikta? Mbona sioni utata.
 
Wewe jamaa ni lofa kutokana na sababu zifuatazo:

1.Unakataa binti wa watu asiolewe kwa sababu siyo bikira wakati dada zako siyo bikira na wataolewa/waliolewa.

2.Unakataa binti wa watu asiolewe kwa sababu siyo bikira wakati wewe pamoja na huyo mdogo wako ni vinara wa kuharibu na kuchafua mabinti za watu na huenda huwa mnakula mpaka tigo kabisa.

3.Unakataa binti wa watu asiolewe kwa sababu siyo bikira wakati wewe pamoja na huyo mdogo wako siyo mabikira.

Kwa kifupi ulichoshauri ni non-sense,wewe pamoja na hao waliokuunga mkono ni mapunguani!
 
Sasa mkuu utajuaje binti ni bikra maana siku hizi watoto wadogo tu tayari wafuska nuksi! Ina maana inabidi umuonje kabla hujamuoa sio?

Hahaha kwamba siku hizi vitu used ni vngi kiasi vinnafanana na vipya?

Unamuuliza wewe ni bikra, mcheki usoni, akikuambia ndio, mwambie nikaone, akikataa piga chini, akikubali kakague mali,

Hata zamani uiruhusiwa kukagua,
KItu kama sio bikra unarudishiwa kila kitu, na fidia juu
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ Aiseee
 
Dogo alishindwa nini kusema huyo mchumba ni bikta? Mbona sioni utata.

Hata kudanganya akashindwa πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€

Ananijua kaka yake nilivyo Mtata, mbona huko ukweni ningeenda wangenitambua, zaidi ya yote ingekuwa aibu kwa ukoo wake, kwani najijua nilivyo
 
πŸ˜„πŸ˜„Acha tu mkuu siku hizi hawa watoto wanajua mambo kuliko hata tulioanza liona jua

Ila hii shughuli sio mchezo πŸ˜‚
 
Jah ni mwema wakati wote, kamuepusha binti wa watu kuingia kwenye ukoo mbaya, uliojaa figisu, kejeri, na dharau.
Ukoo una uswahili tangu wazaz had watoto, afu wake kwa waume Lol.
So sad
 

1. Mkuu sijamkataza kumuoa huyo mwanamke, ila nimejitoa katika zoezi la mimi kushiriki katika mchakato, wangeweza kufanya wengine. Siwezi shiriki kwenda kutoa mahari kwa malaya aposwe na mdogo wangu wa damu, rafiki tuu siwezi.

2. Mimi ni kinara wa kuharibu vilivyo haribiwa yaani kugonga malaya sioni shida, lakini siwezi na sijawahi kutoa bikra ya mtoto wa mtu isipokuwa bikra ya mke wangu niliyemuoa. Nina haribu vilivyoharibiwa, huwezi kuta limwanamke malaya halina bikra alafu useme unaliharibu, unaharibu kitu gani

3. Mimi sio bikra kwa sababu mimi sio mwanamke au shoga. Wanawake ndio wanabikra, na mashoga ndio wanasemaga wao ni bikra hawajawahi kuguswa pindi wanapojitambulisha kwa mabasha zao.

Kwa kifupi, acha tuwe mapunguani. Ni heri niwe kichaa niokote makopo kuliko nijiona nina akili na niheshimiwe wakati nimeoa mwanamke asiye na bikra. Yaani watoto wangu wazaliwe na malaya
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…